Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende?

Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Kwanza anza na hii video
View: https://youtu.be/kg56zhQjTOg?si=WL_ZQz4gr8fX1VV1

angalieni nchi za wenzetu,linganisha na kwetu, Dr Tulia wa IPU na Dr Tulia wa pale mjengoni kwetu, unaweza kudhani ni watu wawili tofauti.

Hili ni bandiko la swali la kuzungumzia uwezo wa wanawake kwenye lile "jambo letu lile", (naomba nisiliseme), ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe ni mwanamke, then mwanamke mwingine ni Dr. Tulia Akson Mwansasu, ameonesha uwezo, analiweza lile "jambo letu" hivyo kwenye bandiko hili nauliza, je tumchagize kwenye lile "jambo letu", kwasababu ambazo ziko obviously au tuache tuu mambo yaende hivyo hivyo yanavyopaswa kwenda, kama maji kufuata mkondo, kwa kuachia ule utaratibu wa kawaida wa mserereko hata kama ni bora liende, liende tu?

Angalizo: JF ni ukumbi wa wote, watoto, vijana, wakubwa na wazee, mimi ni mwandishi wa habari wa wote, nawaandikia watoto, vijana, wakubwa na wazee, ila pia kuna baadhi ya hoja ni za kikubwa, kwanza huwa zinapanda muda watoto wamelala hivyo huwa nawaandikia , wakubwa tuu na sio watoto, hivyo hili sio bandiko la watoto.

Namna ya kujipima kama wewe ni.mkubwa ama mtoto, ni ukijiona umesoma pale nilipoandika "jambo letu" ukijiona wewe unajiuliza hilo "jambo letu" ni jambo gani, basi ujijue tuu hili bandiko sio zaizi yako, okoa tuu muda wako, jiendee mabandiko mengine ya saizi yako.

Hapa ninauzungumzia huo uwezo mkubwa wa Dr. Tulia alionao na aliouonyesha hapo juzi kati, ni upi, kauonyeshea wapi na ana fiti vipi kwa lile "jambo letu lile"?

Kwanini Dr. Tulia auonyeshee uwezo wake huo kule badala ya hapa nyumbani wakati ni jukumu la mhimili wake kuisimamia serikali yetu!, Je tumshinikize kwa Bunge letu kwanza li do the right thing, kuitekeleza ile hukumu ya Mahakama ya Rufaa, kuhusu ubatili wa katiba yetu na ubatili wa sheria zetu?, kwanini Bunge letu liendelee kututungia sheria batili zinazokwenda kinyume na katiba?

Kitendo cha kumpa Rais wetu kuzisaini sheria batili kinyume cha katiba, kutakuja kutokea wabunge makini ambao watahitaji Ibara ya 46A ya katiba yetu itekelezwe, kwanini huu mhimili wetu wa Bunge utufanyie hivi wakati mhimili huu uko chini ya Mwanasheria nguli, mbobezi na mbobevu?

Endelea kufuatana nami mdogo mdogo. ambapo Rais Samia japo anaitwa Mama, kwa umri wangu mimi ni Dada (mimi ni wa 60s) na Dr. Tulia, ni mdogo kwangu, hivyo mimi nawaita ni madada wawili, mtu na dada mtu, au mtu na dada yake, mmoja ni Dada Mkubwa, mwingine ni Dada Mdogo.

Mhimili Mkuu kabisa ni Serikali unaongozwa na Dada Mkubwa, mhimili wa pili kwa ukubwa ni Bunge, unaongozwa na Dada mdogo, tena almanusa na ule mhimili wa tatu, kama tusingepindisha katiba, CJ aendelee kinyume cha katiba, kwenye hierarchy ya mhimili ile, the most senior ilikuwa aingie Mwanamke!,ikabidi katiba ipindishwe kidogo hivyo tungekuwa chini ya madada watatu, "Three Sisters". Jaji Mugasha Apewe Maua Yake Kupinga Uvunjifu wa Katiba Ukomo wa CJ, ila Mbona Hili ni Dogo Tuu, Kubwa ni Katiba Yetu Imenajisiwa! Why Wako Kimya?

Kuhusu jambo letu, kwa vile mada ni kumhusu Dada Mdogo na uwezo wake kwenye lile jambo letu, sio vibaya nikiendelea kusisitiza kuwa hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Dada Mkubwa, tena wengi walimjua baada ya kukabidhiwa lile jambo baada ya lile tukio, lakini angalia akina sisi, tulianza nae wapi, au tulianza nae lini.

Kili kitu kumhusu Dada Mkubwa na Dada Mdogo na Jambo letu zama deep hapa.

Mimi ni mtu wa mastori mastori, kwa wale wa short and clear unaweza kumruka Dada Mkubwa, uka jump kwa Dada Mdogo.

Dada Mkubwa tulimspoti tangu 2010 New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!
Wanabodi,
2. Mwingine ni Samia Suluhu Hassan.
Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, sasa ameingia Bunge la JMT, atapewa important portfolio kumuandaa ama kuwa rais wa Zanzibar 2020 kisha kuja rais wa JMT 2025 huku bara, au kuja kuwa the 1st woman VP 2015!.

List inaendelea, unaweza kuongeza listi kwa mtazamo wako ila lazima utoe sababu sio kutaja taja tuu majina.
Pasco
Kuna wengi wamemjua Dada Mkubwa baada ya kuwa..., hapa najikumbusha watu walimpoti lini na wakasema nini kuhusu 2025, tangu 2010, fifteen years back!.
Mtu kama huyu, leo anapomsifia Dada Mkubwa, mtu kumuita, chawa sio kumtendea haki!, ni sawa tuu na kama kumtukana!.
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani,

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Wanabodi, hili ni bandiko la 2015, 9 years back, watu tulizungumzia jambo letu kumhusu Dada Mkubwa na tulisema kitu kuhusu 2025 ambacho ni cha kweli na huo ndio ukweli wenyewe.

Tulipoanza kulizungumzia jambo letu enzi zile na kujadili possibility ya mwanamke kuwa, aliyeibuka kinana ni Dada Mkubwa Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material? tulisema
Wanabodi,

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani,

Hebu tuwakumbuke the top ten female politicians in Tanzania, na nafasi wanazoshika! Je, wamefikaje hapo, kwa kupanda wenyewe, au wamebebwa ndipo wakafika hapo? Je, wana sifa za urais?
  1. Top No.1 ni Mhe. Samia Suluhu Hassan.
    Huyu mama ni very powerful in Zanzibar na miongoni mwa wanawake wachache wa shoka kutoka Zanzibar. Ni Mjumbe wa CC na NEC wa CCM.
    Very high profile woman from Zanzibar, baada ya kuhudumu kwa miaka 10 kwenye Baraza la Wawakilishi, ameingia Bunge la JMT for 5 years sasa ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Rais. Ndiye alikuwa Makamo Mwenyekiti wa Bunge la Katiba. Huyu ni presidential material, sasa ni kumuandaa kwanza kuwa rais wa Zanzibar kwa kumpumzisha Dr. Shein kipindi chake cha pili, kisha 2020 aje urais wa Muungano, ili hili ifanyike, itabidi, CCM iachane na ule utaratibu wake wa two terms za urais, kwasababu kusubiria 2025, kwa huyu mama itakuwa too little too late, age itakuwa imemtupa mkono.
Natoa wito kwa wanawake, kama ni kweli mna uwezo, jitokezeni kwenye urais, ili hata msiposimamishwa, angalau 2015, tuwe na makamo rais mwanamke, au Waziri Mkuu Mwanamke!

Paskali.
Wanabodi, hili ni bandiko la 2015, 9 years back, watu tulizungumzia jambo letu kumhusu Dada Mkubwa na tulisema kitu kuhusu 2025 ambacho ni cha kweli na huo ndio ukweli wenyewe.

Yule Mwamba alipoingia (Blaza Wangu), tulimlaumu kuteua wanaume zaidi kwa hoja kuwa wanawake hawatoshi Tuacheni Kumlaumu Rais Kuteua Wanaume, TZ Hatuna Wanawake Wenye Sifa na Vigezo vya Kuteuliwa! ila ukweli sio kweli kuwa wanawake hawatoshi, bali ni tatizo la mfumo dume ulioota mizizi kwenye jamii nyingi za kiasili za Kiafrika.

Mwaka 2017, pia nilizungumza jambo kumhusu Dada Mkubwa na 2025 Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” nilisema
Wanabodi,
Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu.

She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.

Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

Mungu ambariki sana Mama Samia na kuwabariki wanawake wote leo siku ya Wanawake Duniani.

Paskali
April, 2020, nilisema tena kitu kumhusu Dada Mkubwa, na lile jambo letu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza nilisema
Wanabodi,

Kwa hoja za muungano Mama Samia alizoshusha, ningekuwa ni uwezo wangu, ningeshauri October 2020, Mama Samia ndiye ampokee Dr. Shein kule Zanzibar, ili 2025, aje ampokee Magufuli, maana kwa maoni yangu, kwa uongeaji huu, huyu mama ndiye Mzanzibari pekee anayekubalika kuweza kuchagulika kuwa rais wa JMT kutokea Zanzibar, vinginevyo Wazanzibari wausahau kabisa urais wa Muungano, wao mwisho wao ni umakamo wa rais pekee.

Kwa hoja kama hizi za huyu mama Samia, kama age sio issue sana, si huyu mama atatufaa sana 2025 au tuwashauri kwa vile Magufuli analamika sana kuhusu urais, mara ni mateso, mara ni kazi ngumu, mara ni mzigo mzito, tumshauri rais Magufuli, kwa vile Samia anatosha sana, hivyo tumpunguzie mateso, hana haja ya kuendelea na mateso, mzigo mzito na kazi ngumu ya urais, na hata kama ni wale tausi au wanyama wa Magogoni, au yale majabali ya Chamwino, tutamjengea Chato na kumuomba bora apumzike tuu mapema, na kumpisha Mama Samia ndio amalizie ngwe yake iliyobakia?. Hili mnalionaje?.

Paskali
Hapa nilisema kitu kumhusu Dada Mkubwa na lile jambo letu.

Hivyo alipoingia, Dada Mkubwa akazungumzia jambo letu, nami nikaunga mkono kwa kushauri
Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! hapa nilieleza sii lazima awe Dada Mkubwa, bali yule aliyepangiwa, hivyo mpaka ninapoandika hapa, Mpangaji wa yote bado hajatuambia amempangia nani, kuweka posibili ya Dada Mdogo, hawa kwa kuzingatia HII kitu!, na ni kufuatia hiyo kitu, ndipo jina la Dada Mdogo, lilipoibuka!.
Tuje kwa Dada Mdogo ambaye ndiye mwenye Bandiko lake. Naomba kuanza na declaration of Interest,
Dada Mdogo ni mwalimu wangu wa sheria, mwaka wa kwanza UDSM, somo letu la kwanza, hivyo naomba usijekuonekana hapa ni mwanafunzi anampigia promo mwalimu wake ili ndio awe yeye kwenye lile jambo letu!. No!, hapa ni meritis, facts na hoja.

Kujifagilia rukhsa!, mimi ndie mtu wa kwanza kutangaza humu jf kuwa Dada Mdogo atakuwa Spika wetu Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini... humo nilisema
Wanabodi,

Kuna mchangiaji mmoja akasema hata Tanzania ikithibitishwa rais Magufuli amevunja katiba kwa kuzuia mikutano ya siasa kinyume cha katiba, anaweza kushtakiwa!.

Ndipo nikauliza ni Bunge lipi hilo la kumshitaki Rais Magufuli?, nikauliza kama ni Bunge hili hili la Mhe. Ndugai au ni Bunge lijalo?, na ndio mara ghafla nikasikia sauti from within, ikiniambia kuwa "Spika ajaye ni Mhe. Dr. Tulia Akson. Sauti hiyo ikaniambia japo Mhe. Ndugai, atakuwa anatamani sana kuendelea kuwa Spika, lakini Ndugai hatakuwa kwa sababu fulani, (japo sauti hiyo imenieleza hizo sababu za kwa nini Mhe. Ndugai hataendelea kuwa Spika Bunge lijalo, lakini sio lazima kusema kila unachosikia, kwa sababu sometimes sio kila unachosikia from within ni sauti kutoka kwa Mungu au ni maono, sauti nyingine ni sauti za shetani tuu na sio sauti za Mungu, kama zilivyo ndoto nyingine, ni ndoto za shetani kama ile "ndoto ya Lema", ukisikia sauti ukahisi inaweza isiwe sauti ya Mungu, au ukiota ndoto ya jambo la ajabu ajabu ukahisi jambo hilo sio la kheri, sio lazima uliseme). Mfano ni tangu August 14, 2014 nilielezwa rais ajaye wa Tanzania ni Magufuli, na nilielezwa sababu kwanini ni Magufuli, nami nikaeleza humu lakini sikuzisema.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli - JamiiForums

Hili la kutokusema kila unachokisikia, nimelisisitiza hapa
Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums

Jambo tangu baada ya Spika Sitta, trends za uspika zimeonyesha kiti cha Spika ni just one term only na term hiyo ikiisha, Naibu Spika ndio huwa Spika. Wakati wa Spika Sitta, Naibu Spika alikuwa Anna Makinda, japo Sitta alitamani kuendelea, aliwekwa pembeni, Naibu wake Anna Makinda akachaguliwa kuwa Spika. Wakati wa Spika Anna Makinda, Job Ndugai alikuwa Naibu Spika, baada ya Makinda kumaliza one term yake, Naibu wake Job Ndugai akawa Spika, hivyo trends zinaelekeza baada ya Spika Job Ndugai, automatically, Spika anayefuatia ni Naibu Spika Dr. Tulia Akson, kwa vile Spika ajae kwa mujibu wa maono haya ni Dr. Tulia Akson, hata rais Magufuli akikiuka katiba, Bunge la Dr. Tulia, tena kwa kuzingatia litakuwa ni Bunge la chama kimoja CCM, litaweza kumwajibisha rais?.

Alhamisi Njema.
Paskali
Hivyo, ilipojitokeza fursa ya U Spika, nilisema Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa? na Dr. Tulia alipoukwaa Uspika, hatukumkopesha nilisema Je, Wajua, Naibu Spika, Chini ya "Bora Spika", Anaweza Kuwa "Spika Bora?". Dr. Tulia, "Ukitulia, Una Fursa ya Kuwa Spika Bora Sana!" Hongera Sana!

Alipoingia akaanza moto wake Spika Dkt. Tulia yuko sahihi sana, CHADEMA wajifunze kufanya vitu kwa usahihi na wafanye kiusahihi

Akaendelea kuwasha. Pamoja na mazuri yake yote, Dr. Tulia pia ni binadamu, anaweza kukosoea, hivyo alipokosea kwenye madudu ya IGA ya DPW na bandari zetu, tulimpaka "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

Mazuri yake, yameendelea na Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria? na alipoukwaa urais wa IPU ndio funga kazi, juzi kati ndio kafunga kazi.

Hitimisho.
Kwa vile Dada Mdogo ameonyesha uwezo kuwa anaweza na kiukweli anaweza, kwa vile kwenye lile jambo letu, tumeamua twende na mwanamke, na, japo katiba yetu, imeweka umri wa mwanzo wa lile jambo letu lakini hakuna umri wa ukomo, lakini kwa public service umri wa ukomo wa utumishi wa umma ni miaka 65, ambayo Dada Mkubwa atakuwa ameitimiza kabla ya jambo letu,kwa vile lile jambo letu waliowengi ni generation Z,ambao ni wasumbufu sana, na Dada Mkubwa atakuwa 70 kusumbuana na hawa vijana ni kumchosha bure Dada Mkubwa mnaonaje tukimshauri Dada Mkubwa aamue kumpisha kwa kumuachia Dada Mdogo aimalizie ulemserereko wa lile jambo letu, na yeye ajipumzikie mapema? Maana nilimsikia hapa Kuna Kitu Rais Samia Amekisema Kuhusu Kurejea Kizimkazi “Post 2025”. Nashauri na Nasisitiza Wenye Uwezo Kusaidia, Tumsaidie Kumshauri Ukweli!

Jumamosi Njema
Paskali
 
Dr tulia kutoka kuwa mwalimu wako wa Sheria pale mlimani mpaka kuwa dada yako au ndio mabandiko ya wakubwa.

Nje ya mada mkuu.kule Kwa majirani hawawezi wakatupa yule waliyemtengua na sisi tukawapa dada yako mkubwa?tukajaribu maisha mengine
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kuzungumzia uwezo wa wanawake kwenye lile "jambo letu lile", (naomba nisiliseme), ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe ni mwanamke, then mwanamke mwingine ni Dr.

Tulia Akson Mwansasu, ameonyesha uwezo, analiweza lile "jambo letu" hivyo kwenye bandiko hili nauliza, je tumchagize kwenye lile "jambo letu", kwasababu ambazo ziko obviously au tuache tuu mambo yaende hivyo hivyo yanavyopaswa kwenda, kama maji kufuata mkondo, kwa kuachia ule utaratibu wa kawaida wa mserereko hata kama ni bora liende, liende tuu?.

Angalizo: JF ni ukumbi wa wote, watoto, vijana, wakubwa na wazee, mimi ni mwandishi wa habari wa wote, nawaandikia watoto, vijana, wakubwa na wazee, ila pia kuna baadhi ya hoja ni za kikubwa, kwanza huwa zinapanda muda watoto wamelala hivyo huwa nawaandikia , wakubwa tuu na sio watoto, hivyo hili sio bandiko la watoto.

Namna ya kujipima kama wewe ni.mkubwa ama mtoto, ni ukijiona umesoma pale nilipoandika "jambo letu" ukijiona wewe unajiuliza hilo "jambo letu" ni jambo gani, basi ujijue tuu hili bandiko sio zaizi yako, okoa tuu muda wako, jiendee mabandiko mengine ya saizi yako.

Hapa ninauzungumzia huo uwezo mkubwa wa Dr. Tulia alionao na aliouonyesha hapo juzi kati, ni upi, kauonyeshea wapi na ana fiti vipi kwa lile "jambo letu lile"?.

Kwanini Dr. Tulia auonyeshee uwezo wake huo kule badala ya hapa nyumbani wakati ni jukumu la mhimili wake kuisimamia serikali yetu!, Je tumshinikize kwa Bunge letu kwanza li do the right thing, kuitekeleza ile hukumu ya Mahakama ya Rufaa, kuhusu ubatili wa katiba yetu na ubatili wa sheria zetu?, kwanini Bunge letu liendelee kututungia sheria batili zinazokwenda kinyume na katiba?.

Kitendo cha kumpa Rais wetu kuzisaini sheria batili kinyume cha katiba, kutakuja kutokea wabunge makini ambao watahitaji Ibara ya 46A ya katiba yetu itekelezwe, kwanini huu mhimili wetu wa Bunge utufanyie hivi wakati mhimili huu uko chini ya Mwanasheria nguli, mbobezi na mbobevu?.

Endelea kufuatana nami mdogo mdogo. ambapo Rais Samia japo anaitwa Mama, kwa umri wangu mimi ni Dada (mimi ni wa 60s) na Dr. Tulia, ni mdogo kwangu, hivyo mimi nawaita ni madada wawili, mtu na dada mtu, au mtu na dada yake, mmoja ni Dada Mkubwa , mwingine ni Dada Mdogo.

Mhimili Mkuu kabisa ni Serikali unaongozwa na Dada Mkubwa, mhimili wa pili kwa ukubwa ni Bunge, unaongozwa na Dada mdogo, tena almanusa na ule mhimili wa tatu, kama tusingepindisha katiba, CJ aendelee kinyume cha katiba, kwenye hierarchy ya mhimili ile, the most senior ilikuwa aingie Mwanamke!, hivyo tungekuwa chini ya madada watatu, "Three Sisters".

Tuendelee mdogo mdogo...

Paskali.
Nadhani Dr.Tulia Akson ni msomi mahiri na nguli wa sheria kitaifa na kimataifa. Ni mtu wa utaratibu, regardless unafurahia au hufurahii anachokifanya au kuisimamia kwa niaba ya waTanzania, ilimradi havunji sheria bali anazingatia zaidi maoni ya wawakilishi wa wananchi walio wengi wengi wanasemaje.

Kufanya kwake kazi nzuri katika bunge la Tanzania, ndiyo hasa msingi wa kufanya kwake vizuri zaidi huko duniani kupitia IPU.

Sioni chochote ambacho eti Dr.Tulia Ackson anaweza kushinikizwa kukifanya kwakua mtu au kikundi Fulani cha watu wanaona ni batili na ni kinyume na katiba. Dr Tulia Akson ni miongoni mwa watu wanaoheshimu sheria na katiba ya nchi kwa kiwango cha juu mno. Huenda hilo ndilo kosa lake, na huenda hilo ndilo huwakera baadhi ya watu..

Na ikiwa panahitajika sheria mpya, marekebisho au masahihisho yoyote kwenye sheria, utaratibu uko wazi, ufuatwe inavyostahili, kuliko kutumia shortcut kumlaumu au kumsingizia Dr.Tulia Akson dhidi ya kisicho kufurahisha wewe na pengine wengine. Wabunge anao wasimamia Dr Tulia wakiamua ni wananchi wameamua. Yeye ni nani apinge uamuzi wa wanainchi?

Iweje ashinikizwe Dr.Tulia Akson kwenye maamuzi ya wananchi kupitia wawakilishi wao mjengoni?

Infact tuendako, baada ya Dr.samia kumaliza ngwe zake za uongozi,

Rais akiwa Dr.Hussein Mwinyi, basi Dr. Tulia Akson atakua ama makamu wa Rais ama waziri Mkuu. Na ikiwa Rais ni Dr Emmanuel Nchimbi, basi ni dhahiri Dr.Tulia Akson atakua waziri Mkuu wa kwanza mwanamke Tanzania 🐒
 
Ngoja bwana Erythrocyte aje kumwaga nyongo hapa 😂
Huyo amepewa angalizo

Angalizo: JF ni ukumbi wa wote, watoto, vijana, wakubwa na wazee, mimi ni mwandishi wa habari wa wote, nawaandikia watoto, vijana, wakubwa na wazee, ila pia kuna baadhi ya hoja ni za kikubwa, kwanza huwa zinapanda muda watoto wamelala hivyo huwa nawaandikia , wakubwa tuu na sio watoto, hivyo hili sio bandiko la watoto.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kuzungumzia uwezo wa wanawake kwenye lile "jambo letu lile", (naomba nisiliseme), ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe ni mwanamke, then mwanamke mwingine ni Dr.

Tulia Akson Mwansasu, ameonyesha uwezo, analiweza lile "jambo letu" hivyo kwenye bandiko hili nauliza, je tumchagize kwenye lile "jambo letu", kwasababu ambazo ziko obviously au tuache tuu mambo yaende hivyo hivyo yanavyopaswa kwenda, kama maji kufuata mkondo, kwa kuachia ule utaratibu wa kawaida wa mserereko hata kama ni bora liende, liende tuu?.

Angalizo: JF ni ukumbi wa wote, watoto, vijana, wakubwa na wazee, mimi ni mwandishi wa habari wa wote, nawaandikia watoto, vijana, wakubwa na wazee, ila pia kuna baadhi ya hoja ni za kikubwa, kwanza huwa zinapanda muda watoto wamelala hivyo huwa nawaandikia , wakubwa tuu na sio watoto, hivyo hili sio bandiko la watoto.

Namna ya kujipima kama wewe ni.mkubwa ama mtoto, ni ukijiona umesoma pale nilipoandika "jambo letu" ukijiona wewe unajiuliza hilo "jambo letu" ni jambo gani, basi ujijue tuu hili bandiko sio zaizi yako, okoa tuu muda wako, jiendee mabandiko mengine ya saizi yako.

Hapa ninauzungumzia huo uwezo mkubwa wa Dr. Tulia alionao na aliouonyesha hapo juzi kati, ni upi, kauonyeshea wapi na ana fiti vipi kwa lile "jambo letu lile"?.

Kwanini Dr. Tulia auonyeshee uwezo wake huo kule badala ya hapa nyumbani wakati ni jukumu la mhimili wake kuisimamia serikali yetu!, Je tumshinikize kwa Bunge letu kwanza li do the right thing, kuitekeleza ile hukumu ya Mahakama ya Rufaa, kuhusu ubatili wa katiba yetu na ubatili wa sheria zetu?, kwanini Bunge letu liendelee kututungia sheria batili zinazokwenda kinyume na katiba?.

Kitendo cha kumpa Rais wetu kuzisaini sheria batili kinyume cha katiba, kutakuja kutokea wabunge makini ambao watahitaji Ibara ya 46A ya katiba yetu itekelezwe, kwanini huu mhimili wetu wa Bunge utufanyie hivi wakati mhimili huu uko chini ya Mwanasheria nguli, mbobezi na mbobevu?.

Endelea kufuatana nami mdogo mdogo. ambapo Rais Samia japo anaitwa Mama, kwa umri wangu mimi ni Dada (mimi ni wa 60s) na Dr. Tulia, ni mdogo kwangu, hivyo mimi nawaita ni madada wawili, mtu na dada mtu, au mtu na dada yake, mmoja ni Dada Mkubwa , mwingine ni Dada Mdogo.

Mhimili Mkuu kabisa ni Serikali unaongozwa na Dada Mkubwa, mhimili wa pili kwa ukubwa ni Bunge, unaongozwa na Dada mdogo, tena almanusa na ule mhimili wa tatu, kama tusingepindisha katiba, CJ aendelee kinyume cha katiba, kwenye hierarchy ya mhimili ile, the most senior ilikuwa aingie Mwanamke!, hivyo tungekuwa chini ya madada watatu, "Three Sisters".

Tuendelee mdogo mdogo...

Paskali.
Chawa la Kisen#erema...
 
Back
Top Bottom