Ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe mwanamke, then mwanamke huyo ni Dkt. Tulia, ameonesha uwezo, anaweza! Tumchagize au tuache tu bora liende?

Sasa ,huu ni utani wa nguoni. Secretary na PhD Lawyer!!! Wapi na wapi
 
Kilichochanganya waliowengi ni ile lugha. Aminini kwamba watanzania wanaona mtu akizungumza hiyo lugha ya mtumba anaonekana ana akili sana
Mwenyewe Tulia amesema tusiwe na kasumba za kimagharibi
Umesema ukweli mchungu, Dada yake Paskali huyo Tulia seems alichemka huko, Jamaa wakamjia juu. Huu ni mwanzo Tu, watarudi tena...Tulia alikosea na huo Ndio ukweli kama enzi za AshaRose Migiro
 
Acha uchawa
 
Uwezo wa watanzania kufikiri ni mdogo sana aisee!
Kule kulalamika IPU na kuongea kiingerrza fasaha ndo kigezo cha uongozi??Kiingerrza?Kiingerrza kweli?
 
Uzuri kwenye'jambo letu' aliyenaye jambo ameonyesha ameliweza na amelitendankwa ufanisi. Dr. Tulia atulie na abaki alpotulia. Weakness ndogo aliyonayo Tulia ni emotions! Hili linaweza kuzaa tatizo. atakapokuwa kwenye jambo letu'.
 
Tulia anajua namna ya kuishi kinafiki na mamlaka.

Ila sio vema kumtaja mtu yeyote kuhusu hilo jambo. Dada mkubwa yupo kwenye hali ya hofu, bado hajakubaliana kuwa sio lazima awe yeye hapo mwakani.

Kwahiyo mtu yeyote akitajwa hata kama watu wanamsifia kwa wema tu, inaweza kumchanganya sana mama Dulla. Tumwache amalize mwaka huu mmoja kwa amani.
 
Madada wote hawa hawana viwango vikubwa na ni un-democratic, unfortunately.
 
Eti huyu naye ni wakili labda wa kuhuisha lessen, hebu tuambie ni kesi ipi umewahi shinda hata ya Baraza la ardhi na nyumban wilaya na utume hukumu yake humu tuone.
 
Nje ya academics na mambo yanayofuata utaratibu kama uendeshaji wa Bunge, Dk. Tulia ni mweupe, na akibanwa kwenye angle, madaftari yake aliyosomea sheria hupeperuka kutoka kichwani mwake
 
Famba
 
Kisa kajitetea kwa wazungu au kuna lipi lingine,? Yan utumie kigezo cha kubwatuka huko IPU ndiyo kiwe kigezo cha mtu kuwa rais! wakati hapa nchini ndani ya bunge anaziba midomo wabunge kujadili maswala ya ufisaji yaliyo ibuliwa na CAG ? mimi kwangu bado spika wa viwango hadi sasa anabaki SAMWEL SITTA sijaona wa kufika hata nusu ya level yake hadi sasa, hata PIUS MSEKWA bado hajafikia kwa SAMWEL SITTA maana wote nimeona utendaji kazi wao ndani bunge.
 
Tulia Ackson ameharibu sana kwenye huo mkutano unomsifia. Yawezekana una sugar coat kwa ajili ya vibiashara vyako vya PPR na Ofisi ya Bunge lakini down kwenye ubongo wako unajua kabisa kwamba alichofanya Tulia ni UVUNDO.
In international diplomacy. Rule no 1. Never go bananas at the podium. In other words do not over react. Do not show your anger even when justified. Keep calm.

Jibu sahihi kwa uzoefu wangu lingekuwa simply

Regrettably President Zelenskys schedule made it difficult when I asked to visit. I look forward to visiting Ukraine at his earliest convenience.

Ila kutoa direct answers kwenye forums hizo ni hatari... you are always walking eggshells
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kuzungumzia uwezo wa wanawake kwenye lile "jambo letu lile", (naomba nisiliseme), ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe ni mwanamke, then mwanamke mwingine ni Dr. Tulia Akson Mwansasu,

Wanabodi,

Hili ni bandiko la swali la kuzungumzia uwezo wa wanawake kwenye lile "jambo letu lile", (naomba nisiliseme), ukimuondoa Rais Samia, kama ni lazima awe ni mwanamke, then mwanamke mwingine ni Dr.

Tulia Akson Mwansasu,

Paskali.
Walahu Dr. Tulia anajua kujenga hoja... Lakini kama ni uchaguzi ccm hawachelewi kukuletea Jenista Mhagama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…