Usma alikuwa shirikisho kipindi hicho ns sasa yupo shirikisho nn kimebadilika kwa usma?Kwa maana iyo kipindi kile ndio kipindi hiki? USM alger ya sasa ndio Ile ya kipindi kile kiubora? Kama wangekuwa na ubora wa kipindi kile basi wasingekuwa shirikisho msimu huu,,ilikuwa shirikisho but alimfunga yanga kwenye hatua gani,,je kwasasa ubora wake anaweza kusimama na yanga Tena akamfunga?
Ubora wa timu unajengwa na vitu vingi ikiwemo uongozi Bora,,kama viongozi wako walishindwa kusajili wachezaji Bora basi uwezi kuleta utetezi wa namna iyo hapaBasi hoja ya kusema umetolewa kwenye mashindano fulani itabaki kuwa ni hoja ya kipumbavu kama haipo supported na ubora wa timu
Alibahatisha tu wewe kweli timu inavuka na points 8.Kwani Tabora United inashiriki mashindano gani? Simba kakuzidi kila kitu, ligi mnaoshiriki wote Simba ndiye anaongoza, ranks za timu bora Afrika kwa mujibu wa CAF umeachwa mbali,ungekuwa hukubahatisha kuingia robo fainali mwaka jana ungepita na mwaka huu
Kama usm alger ni kibonde na alikufunga maana yake wewe ni kibonde uliyepitiliza yaani BOGUS.Wewe ndio Bure kabisa,,kaongoza wakina nani kwenye michuano ipi? Mbona unajitoa ufahamu aisee? Angekuwa mzuri si angecheza klabu bingwa,,Algeria imetoa timu 4, Mc alger na belouzdad ndio wako klabu bingwa uyo USM alger na Constantine wako shirikisho unasemaje kuongoza kundi lake ndio ubora? Darasani ata kama wote amna akili lazima awepo mwenye kaunafuu kuliko wenzake ndio icho unachokisemea kuongoza kundi!
Unaweza kumleta na sasa hivi anipasue? Kwani yanga hii inashika nafasi ya ngapi kwenye caf ranking mpaka sasa? Nijibu alafu utakuwa umejijibu kama yanga imepanda kiubora ama aijapanda!Usma alikuwa shirikisho kipindi hicho ns sasa yupo shirikisho nn kimebadilika kwa usma?
Wewe amekupasua huko shirikisho ukiwa bingwa wa ligi hebu niambie nn kimebadilika kwako? Au unataka kusema Yanga hii imepanda kiwango kuliko ile?
Alinifunga msimu upi?Kama usm alger ni kibonde na alikufunga maana yake wewe ni kibonde uliyepitiliza yaani BOGUS.
Basi hoja ya kusema umetolewa kwenye mashindano fulani itabaki kuwa ni hoja ya kipumbavu kama haipo supported na ubora wa timu
Nasema hivi sikatai kwamba alinifunga but tunazungumzia now current performance ya USM alger ikoje? Unaweza kumleta amfunge Tena yanga kama alivyofanya kipindi kile?Hata wakati anawafunga alikua Shirikisho, hakuwafungeni champions league
Tuanze kutumia ranking za Caf tena?Unaweza kumleta na sasa hivi anipasue? Kwani yanga hii inashika nafasi ya ngapi kwenye caf ranking mpaka sasa? Nijibu alafu utakuwa umejijibu kama yanga imepanda kiubora ama aijapanda!
Sasa USM ALGER atawezaje kukufunga wakati haushiriki michuano yoyote ya CAF umeshatolewa hatua ya makundi?Kwa maana iyo kipindi kile ndio kipindi hiki? USM alger ya sasa ndio Ile ya kipindi kile kiubora? Kama wangekuwa na ubora wa kipindi kile basi wasingekuwa shirikisho msimu huu,,ilikuwa shirikisho but alimfunga yanga kwenye hatua gani,,je kwasasa ubora wake anaweza kusimama na yanga Tena akamfunga?
Si ndio ushangae na wewe mkuu kwanini asiwasubiri malimao kwenye FA cup huko aonyeshe uwezo wakeSasa USM ALGER atawezaje kukufunga wakati haushiriki michuano yoyote ya CAF umeshatolewa hatua ya makundi?
Sasa atakufungaje wakati umeshatolewa?Nasema hivi sikatai kwamba alinifunga but tunazungumzia now current performance ya USM alger ikoje? Unaweza kumleta amfunge Tena yanga kama alivyofanya kipindi kile?
Sasa mm nakuletea wapi na mmetolewa ndugu? Au unataka nae friend match?Unaweza kumleta na sasa hivi anipasue? Kwani yanga hii inashika nafasi ya ngapi kwenye caf ranking mpaka sasa? Nijibu alafu utakuwa umejijibu kama yanga imepanda kiubora ama aijapanda!
Kaka yanga itakuua, povu jingi mnoooo, inatosha aisee pumzika kidogo, mwezi wa Tisa sio mbali, tuombe uhai😃Mnajitoa sana ufahamu nyie watu, uwezi kuelewa maana yangu kama auna D-2,,ni kwamba usilinganishe ubora wa timu unazocheza nazo uko na ubora wa timu zilizoko klabu bingwa,,narudia Tena shirikisho ni shirikisho tu na ndio maana wanashindanishwa washindwa kwa washindwa upo hapo!
Mi nashindwa kushangaa mkuu.Si ndio ushangae na wewe mkuu kwanini asiwasubiri malimao kwenye FA cup huko aonyeshe uwezo wake
Sasa USM ALGER atawezaje kukufunga wakati haushiriki michuano yoyote ya CAF umeshatolewa hatua ya makundi?
Kwa maana iyo robo klabu bingwa na fainali shirikisho timu zote azikuwa na ubora kwa misimu mitatu mtawalia? Nyie ndio Rage aliwachambua akawapima IQ zenu akatoka na jibu Moja tu!Yanga wamepanda ranks za CAF kwa bahati tu kwa vile walikutana na timu vibonde robo na nusu fainali, Rivers United iko wapi now, Simba alimpiga nje ndani, Nusu walikutana na Marumo iliyoshuka daraja msimu uliofuata.Hizo ranks za Shirikosho ndio wanatambia sasa.
Akuna povu hapo ni hoja juu ya hoja,,wanaleta hoja nawajibu we Kaa kwa kutulia tutafika tuKaka yanga itakuua, povu jingi mnoooo, inatosha aisee pumzika kidogo, mwezi wa Tisa sio mbali, tuombe uhai😃
Yanga ya Mayele inamfunga MC Algers vizuri tu Tanzania.Nasema hivi sikatai kwamba alinifunga but tunazungumzia now current performance ya USM alger ikoje? Unaweza kumleta amfunge Tena yanga kama alivyofanya kipindi kile?
Hata msimu ule zinacheza zilikuwa unga,najua umeanza kufuatilia mpira juzi, hizo timu hazijawahi kuvuka makundi kabla ya hapo utasemaje sio vibonde? Simba alishawapiga nje ndani, Yanga kabla ya mwaka jana, mara ya mwisho kucheza makundi CL ilikuwa lini? consistency ndio kipimo cha ubora,mmebahatisha last year sasa hivi mmerudi kwenye levels zenuKwa maana iyo robo klabu bingwa na fainali shirikisho timu zote azikuwa na ubora kwa misimu mitatu mtawalia? Nyie ndio Rage aliwachambua akawapima IQ zenu akatoka na jibu Moja tu!