Ukimuondoa Zamalek Kombe la Shirikisho naomba, wanitajie timu ambayo ingeweza kuichalenge Yanga hii iliyotolewa Klabu Bingwa!

Kwa maana iyo kipindi kile ndio kipindi hiki? USM alger ya sasa ndio Ile ya kipindi kile kiubora? Kama wangekuwa na ubora wa kipindi kile basi wasingekuwa shirikisho msimu huu,,ilikuwa shirikisho but alimfunga yanga kwenye hatua gani,,je kwasasa ubora wake anaweza kusimama na yanga Tena akamfunga?
Usma alikuwa shirikisho kipindi hicho ns sasa yupo shirikisho nn kimebadilika kwa usma?
Wewe amekupasua huko shirikisho ukiwa bingwa wa ligi hebu niambie nn kimebadilika kwako? Au unataka kusema Yanga hii imepanda kiwango kuliko ile?
 
Kwani Tabora United inashiriki mashindano gani? Simba kakuzidi kila kitu, ligi mnaoshiriki wote Simba ndiye anaongoza, ranks za timu bora Afrika kwa mujibu wa CAF umeachwa mbali,ungekuwa hukubahatisha kuingia robo fainali mwaka jana ungepita na mwaka huu
Alibahatisha tu wewe kweli timu inavuka na points 8.
Wamejaribu mwaka huu na 8 zao wametupwa nje
 
Wewe ndio Bure kabisa,,kaongoza wakina nani kwenye michuano ipi? Mbona unajitoa ufahamu aisee? Angekuwa mzuri si angecheza klabu bingwa,,Algeria imetoa timu 4, Mc alger na belouzdad ndio wako klabu bingwa uyo USM alger na Constantine wako shirikisho unasemaje kuongoza kundi lake ndio ubora? Darasani ata kama wote amna akili lazima awepo mwenye kaunafuu kuliko wenzake ndio icho unachokisemea kuongoza kundi!
Kama usm alger ni kibonde na alikufunga maana yake wewe ni kibonde uliyepitiliza yaani BOGUS.
 
Usma alikuwa shirikisho kipindi hicho ns sasa yupo shirikisho nn kimebadilika kwa usma?
Wewe amekupasua huko shirikisho ukiwa bingwa wa ligi hebu niambie nn kimebadilika kwako? Au unataka kusema Yanga hii imepanda kiwango kuliko ile?
Unaweza kumleta na sasa hivi anipasue? Kwani yanga hii inashika nafasi ya ngapi kwenye caf ranking mpaka sasa? Nijibu alafu utakuwa umejijibu kama yanga imepanda kiubora ama aijapanda!
 
Basi hoja ya kusema umetolewa kwenye mashindano fulani itabaki kuwa ni hoja ya kipumbavu kama haipo supported na ubora wa timu

Hata wakati anawafunga alikua Shirikisho, hakuwafungeni champions league
Nasema hivi sikatai kwamba alinifunga but tunazungumzia now current performance ya USM alger ikoje? Unaweza kumleta amfunge Tena yanga kama alivyofanya kipindi kile?
 
Yanga hamna timu ya kushiriki klabu bingwa, m
Unaweza kumleta na sasa hivi anipasue? Kwani yanga hii inashika nafasi ya ngapi kwenye caf ranking mpaka sasa? Nijibu alafu utakuwa umejijibu kama yanga imepanda kiubora ama aijapanda!
Tuanze kutumia ranking za Caf tena?
Haya niambie kati ya timu hizi zilizopo shirikisho ipi umeizidi kwa hizo ranking
1.Berkane
2.Zamalek
3.Simba
4.USMA
Wewe kubali ni mbovu na umepigwa na wabovu wala usisingizie ugumu wa michuano, Al Hilal na huyo Mc Alger hawaigusi hata timu moja kwa ubora wa ranking za caf
 
Kwa maana iyo kipindi kile ndio kipindi hiki? USM alger ya sasa ndio Ile ya kipindi kile kiubora? Kama wangekuwa na ubora wa kipindi kile basi wasingekuwa shirikisho msimu huu,,ilikuwa shirikisho but alimfunga yanga kwenye hatua gani,,je kwasasa ubora wake anaweza kusimama na yanga Tena akamfunga?
Sasa USM ALGER atawezaje kukufunga wakati haushiriki michuano yoyote ya CAF umeshatolewa hatua ya makundi?
 
Yanga wamepanda ranks za CAF kwa bahati tu kwa vile walikutana na timu vibonde robo na nusu fainali, Rivers United iko wapi now, Simba alimpiga nje ndani, Nusu walikutana na Marumo iliyoshuka daraja msimu uliofuata.Hizo ranks za Shirikosho ndio wanatambia sasa.
 
Nasema hivi sikatai kwamba alinifunga but tunazungumzia now current performance ya USM alger ikoje? Unaweza kumleta amfunge Tena yanga kama alivyofanya kipindi kile?
Sasa atakufungaje wakati umeshatolewa?

Utakutana wapi na USM ALGER ili akufunge? USM ALGER yupo ROBO FAINALI we upo UWANJA WA MABATINI UNASUBIRI KUCHEZA NA GEITA?
 
Unaweza kumleta na sasa hivi anipasue? Kwani yanga hii inashika nafasi ya ngapi kwenye caf ranking mpaka sasa? Nijibu alafu utakuwa umejijibu kama yanga imepanda kiubora ama aijapanda!
Sasa mm nakuletea wapi na mmetolewa ndugu? Au unataka nae friend match?
 
Mnajitoa sana ufahamu nyie watu, uwezi kuelewa maana yangu kama auna D-2,,ni kwamba usilinganishe ubora wa timu unazocheza nazo uko na ubora wa timu zilizoko klabu bingwa,,narudia Tena shirikisho ni shirikisho tu na ndio maana wanashindanishwa washindwa kwa washindwa upo hapo!
Kaka yanga itakuua, povu jingi mnoooo, inatosha aisee pumzika kidogo, mwezi wa Tisa sio mbali, tuombe uhai😃
 
Sasa USM ALGER atawezaje kukufunga wakati haushiriki michuano yoyote ya CAF umeshatolewa hatua ya makundi?

Yanga wamepanda ranks za CAF kwa bahati tu kwa vile walikutana na timu vibonde robo na nusu fainali, Rivers United iko wapi now, Simba alimpiga nje ndani, Nusu walikutana na Marumo iliyoshuka daraja msimu uliofuata.Hizo ranks za Shirikosho ndio wanatambia sasa.
Kwa maana iyo robo klabu bingwa na fainali shirikisho timu zote azikuwa na ubora kwa misimu mitatu mtawalia? Nyie ndio Rage aliwachambua akawapima IQ zenu akatoka na jibu Moja tu!
 
Nasema hivi sikatai kwamba alinifunga but tunazungumzia now current performance ya USM alger ikoje? Unaweza kumleta amfunge Tena yanga kama alivyofanya kipindi kile?
Yanga ya Mayele inamfunga MC Algers vizuri tu Tanzania.
 
Kwa maana iyo robo klabu bingwa na fainali shirikisho timu zote azikuwa na ubora kwa misimu mitatu mtawalia? Nyie ndio Rage aliwachambua akawapima IQ zenu akatoka na jibu Moja tu!
Hata msimu ule zinacheza zilikuwa unga,najua umeanza kufuatilia mpira juzi, hizo timu hazijawahi kuvuka makundi kabla ya hapo utasemaje sio vibonde? Simba alishawapiga nje ndani, Yanga kabla ya mwaka jana, mara ya mwisho kucheza makundi CL ilikuwa lini? consistency ndio kipimo cha ubora,mmebahatisha last year sasa hivi mmerudi kwenye levels zenu
 
Back
Top Bottom