GE2025 Ukimvamia Polepole kichwa-kichwa utakuwa umejichanganya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
1. Huyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu wewe ndio unakua Topic.
2. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, anabagaza sio poa.
3. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka atakapoishiwa pumzi akamatwe, ahukumiwe tujue moja. Tumeshachoka.

4. Sema HP kama anatupanga vile. Anaonekana kama bado anafanya kazi za Kitengo. HAZUNGUMZII KABISA MASLAHI YA TAIFA, BALI YA CCM wenzetu.

5. Mwamba kaajiriwa Kitengo toka Sekondari ila Leo anatuzuga!
 
Huyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu unalo. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, ana za ndani sana. Mwenezi mstaafu. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka atakapoishiwa pumzi akamatwe
Ana viapo vingi na kumjibu ni kucheza ngoma sa wachawi

He has just finished himself

Ni assange wa Tanzania in his manual self
 
1. Huyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu wewe ndio unakua Topic.
2. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, anabagaza sio poa.
3. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka atakapoishiwa pumzi akamatwe, ahukumiwe tujue moja. Tumeshachoka.
Tumchukue CHAUMMA aje kutoa ratiba za kula Ubwabwa wilaya kwa wilaya
 
Mtu kaamua kuacha ubalozi ujue alikua na Povu kubwa sana moyoni sio kidogo ni vile hizi kazi wanapeana kama fadhila wapo mabalozi wengi hawakustahili kuwa huko ni vile hakuna watu makini wa kushauri hili na kuwatafuta watu makini kwa kuwapa kazi hii..
 
Ana viapo vingi na kumjibu ni kucheza ngoma sa wachawi

He has just finished himself

Ni assange wa Tanzania in his manual self
Kuna baadhi ya mambo ndugu huyu anaongea ni very sensitive na yanaleta sense. Lakini Jambo la msingi la kujiuliza kama ndugu huyu ana any end-game plan. Maana kama itabakia kuongea tuu mtandaoni basi si muda mrefu watu watamchoka na na wataanza kupuuzia episodes zake. So, i hope amejipanga na anajua what else baada ya matamko.
 
Mwenye sikio...
 
Attachments

  • Screenshot_20250809_014019_Biblia.jpg
    Screenshot_20250809_014019_Biblia.jpg
    196.9 KB · Views: 20
Kuna baadhi ya mambo ndugu huyu anaongea ni very sensitive na yanaleta sense. Lakini Jambo la msingi la kujiuliza kama ndugu huyu ana any end-game plan. Maana kama itabakia kuongea tuu mtandaoni basi si muda mrefu watu watamchoka na na wataanza kupuuzia episodes zake. So, i hope amejipanga na anajua what else baada ya matamko.
Ngoja tumuone mzee wa roadmap! Kuna nyuzi anafumua hata kama yatapita ila kidonda chake ni hatari kwa nchi! Anasema mambo mazito sanaa yule janja!
 
1. Huyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu wewe ndio unakua Topic.
2. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, anabagaza sio poa.
3. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka atakapoishiwa pumzi akamatwe, ahukumiwe tujue moja. Tumeshachoka.
Polepole ni mgonjwa- hazipo sawasawa. Serikali impeleke mirembe kwa matibabu ituokoe na kelele zake. Sitanii
 
Polepole sio Mgonjwa sema hatuna Taasisi makini ya kushauri mambo mengi muhimu Tanzania hatuna kabisa ndio maana unaona wanaoteuliwa ni vichwa maji kabisaa na ndio chanzo cha Nchi kuwa masikini hatuna vichwa ni wahuni tu wamejaa huko..

Wapo Mawaziri kama Polepole kwenye serikali hii wapo Mabalozi pia tatizo ni kwenye chanzo cha kuwafanyia Vetting nani apewe nafasi ipi kwa manufaa ya Taifa watu wanapewa kazi muhimu kama sehemu ya kwenda kupumzika au fadhila haya ndio madhara yake...
 
1. Huyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu wewe ndio unakua Topic.
2. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, anabagaza sio poa.
3. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka atakapoishiwa pumzi akamatwe, ahukumiwe tujue moja. Tumeshachoka.
kabla ya kumkamata, wenye nia hiyo watakuwa weshakufa wote, asema BWANA wa majeshi.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Hebu ongeza nyama nyama mkuu tukuelewe vizuri
 
Back
Top Bottom