GE2025 Ukimvamia Polepole kichwa-kichwa utakuwa umejichanganya

GE2025 Ukimvamia Polepole kichwa-kichwa utakuwa umejichanganya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Polepole ni mgonjwa- hazipo sawasawa. Serikali impeleke mirembe kwa matibabu ituokoe na kelele zake. Sitanii

Yaani impeleke hospitali Polepole ambaye ana akili timamu badala ya kukupeleka wewe mwenye uwendawazimu ulio dhahiri?
 
Ana viapo vingi na kumjibu ni kucheza ngoma sa wachawi

He has just finished himself

Ni assange wa Tanzania in his manual self
Unafikiri hakujua hayo? Ameshakaa muda mrefu ndani ya mfumo he knows way in and way out, matter of facts wanaompa taarifa ni wenzie ambao wako ndani ya mfumo

Ma hawa wamejipanga, hajakurupuka
 
Naomba kujua mshahara wa Barozi ni shiling ngapi.?
Ni Balozi…mwehu wewe..ninyi shuleni ndio mlikuwa mnachukua vipeke vya ubuyu mnasugua chini na kuwaunguzia wenzenu..sasa hivi mnauliza mishahara isiyo wahusu…kaulize wizara ya mambo ya ndani huko..
 
Tatizo watu wanajitoa ufahamu. Eti anyongwe! Na nani? Kwa kosa gani? Badala ya watu kujibu au kujadiri anachokisema mnakimbilia kutoa vitisho na mipasho ya kike like ya kwenye khanga Moko! Ukiona nyuki anakuwa mkali kwenye mzinga wake ni mkali sana, basi fahamu kwenye mzinga wa nyuki huyo kuna utamu.
 
Polepole ni mgonjwa- hazipo sawasawa. Serikali impeleke mirembe kwa matibabu ituokoe na kelele zake. Sitanii
Waweza kuta mgonjwa ni wewe,maana yote aliyo ongea polepole hakuna ambalo mwenye akili timamu hata lielewa
 
Ni Balozi…mwehu wewe..ninyi shuleni ndio mlikuwa mnachukua vipeke vya ubuyu mnasugua chini na kuwaunguzia wenzenu..sasa hivi mnauliza mishahara isiyo wahusu…kaulize wizara ya mambo ya ndani huko..
Ni wizara ya mambo ya nje na sio ya ndani . Chupi lako wewe .kazi kudandia mada za wanaume ,mbwa koko wewe .
 
Nimemsikiza mara nyingi , Tena na Tena, na nimejiridhisha ni kijana smart kabisa, akili njema, mwadilifu, na anapaswa kuungwa mkono Kwa Hali na amali. Mimi ntamuombea Kila siku.
 
Hivi huyu fala alijiuzulu ubalozi kwa sababu gani? Na kwa nini hakujiuzulu wakati ule wa dikteta uchwara?
Muda si mrefu ataanza kujutia maamuzi yake. Hawezi kuupiga mkono unaomlisha
 
1. Huyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu wewe ndio unakua Topic.
2. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, anabagaza sio poa.
3. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka atakapoishiwa pumzi akamatwe, ahukumiwe tujue moja. Tumeshachoka.

4. Sema HP kama anatupanga vile. Anaonekana kama bado anafanya kazi za Kitengo. HAZUNGUMZII KABISA MASLAHI YA TAIFA, BALI YA CCM wenzetu.

5. Mwamba kaajiriwa Kitengo toka Sekondari ila Leo anatuzuga!
Tunatik
 
Back
Top Bottom