SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Ana viapo vingi na kumjibu ni kucheza ngoma sa wachawiHuyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu unalo. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, ana za ndani sana. Mwenezi mstaafu. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka atakapoishiwa pumzi akamatwe
Tumchukue CHAUMMA aje kutoa ratiba za kula Ubwabwa wilaya kwa wilaya1. Huyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu wewe ndio unakua Topic.
2. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, anabagaza sio poa.
3. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka atakapoishiwa pumzi akamatwe, ahukumiwe tujue moja. Tumeshachoka.
Kuweni makini.Ana viapo vingi na kumjibu ni kucheza ngoma sa wachawi
He has just finished himself
Ni assange wa Tanzania in his manual self
Kuna baadhi ya mambo ndugu huyu anaongea ni very sensitive na yanaleta sense. Lakini Jambo la msingi la kujiuliza kama ndugu huyu ana any end-game plan. Maana kama itabakia kuongea tuu mtandaoni basi si muda mrefu watu watamchoka na na wataanza kupuuzia episodes zake. So, i hope amejipanga na anajua what else baada ya matamko.Ana viapo vingi na kumjibu ni kucheza ngoma sa wachawi
He has just finished himself
Ni assange wa Tanzania in his manual self
Hamna impact zaidi ya adhabu ya Kunyongwa kwakeWacha tuone kauli zake zitaleta impact gani mwishoni😎
Ngoja tumuone mzee wa roadmap! Kuna nyuzi anafumua hata kama yatapita ila kidonda chake ni hatari kwa nchi! Anasema mambo mazito sanaa yule janja!Kuna baadhi ya mambo ndugu huyu anaongea ni very sensitive na yanaleta sense. Lakini Jambo la msingi la kujiuliza kama ndugu huyu ana any end-game plan. Maana kama itabakia kuongea tuu mtandaoni basi si muda mrefu watu watamchoka na na wataanza kupuuzia episodes zake. So, i hope amejipanga na anajua what else baada ya matamko.
anyongwe kwa kosa lipi? kwani amesema anapindua nchiHamna impact zaidi ya adhabu ya Kunyongwa kwake
Polepole ni mgonjwa- hazipo sawasawa. Serikali impeleke mirembe kwa matibabu ituokoe na kelele zake. Sitanii1. Huyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu wewe ndio unakua Topic.
2. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, anabagaza sio poa.
3. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka atakapoishiwa pumzi akamatwe, ahukumiwe tujue moja. Tumeshachoka.
kabla ya kumkamata, wenye nia hiyo watakuwa weshakufa wote, asema BWANA wa majeshi.1. Huyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu wewe ndio unakua Topic.
2. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, anabagaza sio poa.
3. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka atakapoishiwa pumzi akamatwe, ahukumiwe tujue moja. Tumeshachoka.
huyu ni mtumishi wa Mungu kabisa!Polepole, shikilia hapo hapo. Hakuna kuachia mpaka tuone hatma ya Wahuni kwenye hii nchi.