Polepole ni mgonjwa- hazipo sawasawa. Serikali impeleke mirembe kwa matibabu ituokoe na kelele zake. Sitanii
mmhAna viapo vingi na kumjibu ni kucheza ngoma sa wachawi
He has just finished himself
Ni assange wa Tanzania in his manual self
Unafikiri hakujua hayo? Ameshakaa muda mrefu ndani ya mfumo he knows way in and way out, matter of facts wanaompa taarifa ni wenzie ambao wako ndani ya mfumoAna viapo vingi na kumjibu ni kucheza ngoma sa wachawi
He has just finished himself
Ni assange wa Tanzania in his manual self
Ni Baloziβ¦mwehu wewe..ninyi shuleni ndio mlikuwa mnachukua vipeke vya ubuyu mnasugua chini na kuwaunguzia wenzenu..sasa hivi mnauliza mishahara isiyo wahusuβ¦kaulize wizara ya mambo ya ndani huko..Naomba kujua mshahara wa Barozi ni shiling ngapi.?
Waweza kuta mgonjwa ni wewe,maana yote aliyo ongea polepole hakuna ambalo mwenye akili timamu hata lielewaPolepole ni mgonjwa- hazipo sawasawa. Serikali impeleke mirembe kwa matibabu ituokoe na kelele zake. Sitanii
Ni wizara ya mambo ya nje na sio ya ndani . Chupi lako wewe .kazi kudandia mada za wanaume ,mbwa koko wewe .Ni Baloziβ¦mwehu wewe..ninyi shuleni ndio mlikuwa mnachukua vipeke vya ubuyu mnasugua chini na kuwaunguzia wenzenu..sasa hivi mnauliza mishahara isiyo wahusuβ¦kaulize wizara ya mambo ya ndani huko..
Vichaa tunazidiana. Mimi bada sijaanza kutumia dawaWaweza kuta mgonjwa ni wewe,maana yote aliyo ongea polepole hakuna ambalo mwenye akili timamu hata lielewa
Basi ndio maana unaelekea kuchanyikiwa kabisaVichaa tunazidiana. Mimi bada sijaanza kutumia dawa
nilikutega tu mwehu wwNi wizara ya mambo ya nje na sio ya ndani . Chupi lako wewe .kazi kudandia mada za wanaume ,mbwa koko wewe .
ππ€£ππ€£ππ€£ππ€£π―π―π―πππPolepole, shikilia hapo hapo. Hakuna kuachia mpaka tuone hatma ya Wahuni kwenye hii nchi.
Tunatik1. Huyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu wewe ndio unakua Topic.
2. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, anabagaza sio poa.
3. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka atakapoishiwa pumzi akamatwe, ahukumiwe tujue moja. Tumeshachoka.
4. Sema HP kama anatupanga vile. Anaonekana kama bado anafanya kazi za Kitengo. HAZUNGUMZII KABISA MASLAHI YA TAIFA, BALI YA CCM wenzetu.
5. Mwamba kaajiriwa Kitengo toka Sekondari ila Leo anatuzuga!