UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

Ugonjwa ni kitendo cha hao wadudu au virus kuzi halibu na kuziua kinga za mwili ...kama baada ya hapo ukapata Malaria hapo tuna hesabu una magonjwa mawili HIV NA MALARIA
Ukibaki na HIV peke yake, Bila malaria, utaumwa?
 
Wewe kichwa chako unafugia nywele au🙄 kuwa na ugonjwa siyo lazima uumwe ndiyo maana magonjwa yana hatua mfano cancer hatua ya 1...2...3....4 baadhi ya hizo hatua unakuwa hau umwi kitu hadi hatua fulani ndiyo unaanza kuumwa
Cancer utaumwa baada ya muda ikifika stage ya juu. Ila HIV , hata baada ya miaka 500 hutaumwa, Labda upate maambukizi ya ugonjwa mmoja wapo…
 
Ukibaki na HIV peke yake, Bila malaria, utaumwa?
Hutaumwa ila utakufa mapema kwa kinga za mwili kuisha.

Huyo uliye mwongelea kuwa alikutwa na wadudu wa HIV na akala na kufanya mazoezi stahiki na akapona.

Huenda vipimo vya kwanza vilikosewa au alipewa vipimo vya mtu mwingine.
Au ulikuwa ni mwujiza.
Hao virus sio wa kuwaongelea kirahisi rahisi namna hii.

Tafiti za wataalamu zilizopitishwa na WHO zimeridhia kuwa RV ndio suluhisho la awali la mtu mwenye HIV.
Who is He to disprove ?
 
Cancer utaumwa baada ya muda ikifika stage ya juu. Ila HIV , hata baada ya miaka 500 hutaumwa, Labda upate maambukizi ya ugonjwa mmoja wapo…
Wewe unaruka ruka na kubadili mada tunazungumzia Kuwa na ugonjwa ...nimesema kuwa....ugonjwa unatangulia hata kabla ya kuumwa ...mada hapa ni neno UGONJWA SIYO KUUMWA ..YAPO MAGONJWA YA AREJI AMBAYO USIPO KULA LABDA NYAMA UPATI TATIZO hivyo mtu huyo tunasema ana ugonjwa wa areji ya kula nyama hata kama ameacha kula nyama maisha yake yote ...napoteza muda kueoimisha ng'ombe
 
Kinga za mwili zikiisha, bila kupata maambukizi yeyote mengine, unakufaje mapema?
 
Tunaposema ‘Hypothetical sterile environment’ tunamaanisja ndani na nje ya mwili, kwamba assuming hakuna pathogen nje wala ndani ya mwili, bali wawepo hao tu wa HIV ambao wanashusha kinga, mtu ataumwa?
Umesahau kwamba unaweza pata cancer kwasababu ya UKIMWI?? cancer haitegemeani na pathogens, wale virus wa ukimwi huwa wana vinasaba vya cancer (oncogenes) ambavyo vinakwenda kwenye dna yako. Sasa kwanini asiumwe ilihali yupo kwenye sterile environment.

Cancer ni moja ya mifano michache, kuna magonjwa mengi tu ambayo anaweza kupata bila kuinteract na pathogen hata mmoja.
 
Kinacholeta Cancer ni ARV’s, hii ni tafiti imefanyika. HIV huua kabisa whiteblood cells, na sio kuzibadilisha na kuleta cancer.

Labda kama kuna pathogen mwingine ataingia as a result ya kinga kushuka na kuketa cancer, labda..lakini sio HIV
 
Kinacholeta Cancer ni ARV’s, hii ni tafiti imefanyika. HIV huua kabisa whiteblood cells, na sio kuzibadilisha na kuleta cancer.
Siwezi kupinga kama arvs zinaleta cancer au la kwa sababu sina elimu nazo, ila nnauhakika kwamba virus wa ukimwi wana oncogenes, hii nnauhakika nayo kabisa
 
Siwezi kupinga kama arvs zinaleta cancer au la kwa sababu sina elimu nazo, ila nnauhakika kwamba virus wa ukimwi wana oncogenes, hii nnauhakika nayo kabisa
Hakuna kitu kama hicho, Pathogen wengine kama wataingia kwa urahisi na kuleta cancer ni sawa, ila sio HIV..,

Muone kwanza na komwe lake, kama taahira..
 
Kinacholeta Cancer ni ARV’s, hii ni tafiti imefanyika. HIV huua kabisa whiteblood cells, na sio kuzibadilisha na kuleta cancer.

Labda kama kuna pathogen mwingine ataingia as a result ya kinga kushuka na kuketa cancer, labda..
Haizibadilishi whiteblood cells, mechanism yake ipo hivi, wale virus wakiingia kwenye mwili wanaattack cd4 receptors, then wanaingia ndani ya seli za t helper, wakiingia kile ki RNA cha ukimwi kinabadilika kuwa DNA, then inaungana na dna ya mwathirika, hiki kipindi virus anatengeneza messenger rRNA, ili itengeneze protein, katika protein zitakazo tengenezwa zitakuwa na sumu inayoleta cancer
 
Unaongea taka taka.., maelezo nayaweka tena hayo hapo. HIV hawaleti cancer, hicho ulichoandika uliota ukiwa wapi sijui..
 
Doesn't directly cause cancer, inacause indirectly, mechanism nimeielezea hapo
Mechanism wameeleza hapo, kwamba kwa kuwa kinga imeshuka, pathogen wengine ndio wanakuja na kusababisha opportunistic cancer, ila sio HIV, unachosema ni scientific gibberish.., mechanism imeelezwa hapo chini…

Kinga za mwili zikiisha, bila kupata maambukizi yeyote mengine, unakufaje mapema?
Mi ninavyo elewa maambukizi yapo wakati wote kwa kiumbe hai, ila kinga za miili yetu zinapambana muda wote kuweza kuwa na afya njema, zikizidiwa ndio maswala ya matibabu yanafuata.

Hebu nikuulize
Kwa utaalamu wako mtu aliyeambukizwa Virus wa HIV na kuanza kuliwa kinga zake hadi kupelekea kinga zake kuzidiwa unamshauri afanyeje ili asipate madhara ya hata kupelekea kifo chake ?
Hebu tupe maarifa yako.
 
Soma uzi tokea mwanzo, kurudia kitu kimoja mara 100 vidole vimechoka.
 
Soma uzi tokea mwanzo, kurudia kitu kimoja mara 100 vidole vimechoka.
Ulisema mtu huyo afanye mazoezi na kula vyakula bora ili aimarishe afya yake.
Vipi mtu asiyeweza kupata hivyo vyakula bora kutokana na kipato chake kidogo?
Na ndio watu wengi katika jamii zetu.
Hao watu unawashauri wafanye mambo gani ?
 
Vyakula bora ni cheaper kuliko toxic Junk food.., hivyo hata aliyekijijini huko anaweza kupata vyakula bora kama mchicha, spinach, maembe, machungwa, karanga, parachichi, ndizi, viazi vitamu, nk.
Maan usije ukawa unafikiri kwamba vyakula bora ni Pizza ya elfu 30 kama inayouzwa pale mlimani city.., hapana!

Eitherway, mimi sio juu yangu kujua mtu atapata wapi pesa ya chakula.., hainihusu..
 
K Kwahiyo hivyo vyakula ulivyo viorodhesha ndio suluhisho la waathirika wa HIV Aids ?

Huo utafiti wako uliufanyia wapi, na ulitumia vipimo, mbinu, nadharia na sampuli gani, ili kuweza kupata hitimisho lako ?
Au ni maoni yako binafsi tu ?
Kumbuka No Research No Right to......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…