FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #241
Ukibaki na HIV peke yake, Bila malaria, utaumwa?Ugonjwa ni kitendo cha hao wadudu au virus kuzi halibu na kuziua kinga za mwili ...kama baada ya hapo ukapata Malaria hapo tuna hesabu una magonjwa mawili HIV NA MALARIA