UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

Wapi nimesema kwamba ndio suluhisho?

Hayo niliyoyasema yote ni facts na unaweza kuverify kwa njia yoyote .unayopendelea.

Taja chochote nilichosema ili nikupe ushahidi.
 
Wapi nimesema kwamba ndio suluhisho?

Hayo niliyoyasema yote ni facts na unaweza kuverify kwa njia yoyote .unayopendelea.

Taja chochote nilichosema ili nikupe ushahidi.
Tusaidie tu, peleka hilo wazo lako Wizara ya Afya ili waone ni namna gani watalitumia kwa ustawi wa afya ya jamii.
 
tutachoka kuzika usiombe kitu hicho
Nahisi serikali itakuja na mpango mbadala na viwanda vitatengeneza dawa za bei nafuu, ARVs itauzwa kama panadol, na uwezekano wa mtu kufikisha miaka 80 hautokuwepo tena.
 
Una kg ngapi
 
Likiwa moja moja yanatibika ila kwa mkupuo ngumu sana mkuu. Mashambulizi yanakuwa makali mno na kinga za mwili zinaelemewa
Kuna point ambapo kinga nayo huchanganyikiwa na kutorespond kabisa.
Immunity iki respond kwenye multiple infections inao uwezo wa kuleta mauti kwenye battle hiyo.
Naturally immunity ni kwa akili ya ulinzi wa mwili na inajuwa kuwa go cha mwisho ku respond.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…