FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimesema kwamba ndio suluhisho?K
Kwahiyo hivyo vyakula ulivyo viorodhesha ndio suluhisho la waathirika wa HIV Aids ?
Huo utafiti wako uliufanyia wapi, na ulitumia vipimo, mbinu, nadharia na sampuli gani, ili kuweza kupata hitimisho lako ?
Au ni maoni yako binafsi tu ?
Kumbuka No Research No Right to......
Tusaidie tu, peleka hilo wazo lako Wizara ya Afya ili waone ni namna gani watalitumia kwa ustawi wa afya ya jamii.Wapi nimesema kwamba ndio suluhisho?
Hayo niliyoyasema yote ni facts na unaweza kuverify kwa njia yoyote .unayopendelea.
Taja chochote nilichosema ili nikupe ushahidi.
Imeshindikana ya vidonda vya tumbo, kansa itakuwa ukimwi?ARV zinafubaza virusi, haiviui, shida ndio ipo hapo.., walete zinazoua virusi kabisa
Matamasha ya ukimwi yataanza upya, waacha tufungue NGOsWanatoka mmoja mmoja,trump akikaza sana tutazika kila siku
Nahisi serikali itakuja na mpango mbadala na viwanda vitatengeneza dawa za bei nafuu, ARVs itauzwa kama panadol, na uwezekano wa mtu kufikisha miaka 80 hautokuwepo tena.tutachoka kuzika usiombe kitu hicho
Una kg ngapiHawajui tu!
Uwembamba ndiyo mwili unaopiganiwa duniani, ndiyo mwili mzuri.
Ila usiwe mwembamba sana! Uwe ile uwembamba wa kawaida.
Nina kawaida ya kufanya medical check up mwanzoni mwa mwaka na mwisho wa mwaka ni ratiba yangu.
Nipo miongoni mwa watu ambao si mwembamba wala si mnene! Nipo kati kwa kati.
Nikapima uzito nikamuuliza daktari vipi hapo kilo yangu?
Akaniambia baki hapo hapo! Miili kama yenu inatafutwa sana duniani!
Kuna point ambapo kinga nayo huchanganyikiwa na kutorespond kabisa.Likiwa moja moja yanatibika ila kwa mkupuo ngumu sana mkuu. Mashambulizi yanakuwa makali mno na kinga za mwili zinaelemewa
duh!Nahisi serikali itakuja na mpango mbadala na viwanda vitatengeneza dawa za bei nafuu, ARVs itauzwa kama panadol, na uwezekano wa mtu kufikisha miaka 80 hautokuwepo tena.
Wizara ya afya ipo humu mbonaTusaidie tu, peleka hilo wazo lako Wizara ya Afya ili waone ni namna gani watalitumia kwa ustawi wa afya ya jamii.
Haijashindikana, wanalinda biasharaImeshindikana ya vidonda vya tumbo, kansa itakuwa ukimwi?
noma,,,,alaf mateso yake yalikuwa mazito balaa,,,,,kichwa kma tikiti maji,shingo kama kalamuUkimwi wa 1995-2000 ukirudi watu watakufa kama kumbi kumbi.