LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
usiombe hiyo hali itokeeWatu watapukutika kama uyoga mwaka huu. Wengine watakuwa wanatembea wanapeperuka kama bendera za CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiombe hiyo hali itokeeWatu watapukutika kama uyoga mwaka huu. Wengine watakuwa wanatembea wanapeperuka kama bendera za CCM.
Sasa kwanini usipandisje kinga za mwili? Njia za kupandisha si zinajulikana au?
ARV zinafubaza virusi, haiviui, shida ndio ipo hapo.., walete zinazoua virusi kabisa
kizazi cha sasa hawajui ukimwi ni niniTukiwaambia ngwengwe ipo mnajifanya wabishi, ss hivi mnaanza kutusumbua tuwatie moyo..!! HAKUNA DAWA YA UKIMWI
Swali lipo clear, kwanini usipandishe kinga za mwili? Njia za kupandisha kinga si tunazijua wote?Kuelewa unaelewa ila unakaza fuvu tu
usiombe hiyo kitu itokee ni hatariUkimwi wa 1995-2000 ukirudi watu watakufa kama kumbi kumbi.
Swali lipo clear, kwanini usipandishe kinga za mwili? Njia za kupandisha kinga si tunazijua wote?
🙄🙄Shida ya hizi Arv.
Hao viruses wanatoka kwenye damu wanakimbilia kujificha kwenye fizi na kucha.
Kuwaondoa kabisa inakuwa ngumu.
tutachoka kuzika usiombe kitu hichoWanatoka mmoja mmoja,trump akikaza sana tutazika kila siku
Ni kwa njia ya nutrition (food na food supplements). Haya , sasa kwanini usipandishe kinga?Hatuzijui mtaalam
Huwa wanatabia ya kujificha mahali mwilini.Wewe umejuaje
Ni kwa njia ya nutrition (food na food supplements). Haya , sasa kwanini usipandishe kinga?
Madaktari wote wanajua!!!!!, kama unabisha muite daktari yeyote hapa jukwaani unaemjua, aje hapa, nipo namsubiri, aje abishee!!! Tatizo wako underspecific instructions kuhakikisha mashudu ya ARV yanaliwa kwa wingi kuliko chakula lishe. Then baadae wanakuuzia figo kwa milioni 200…..Peleka huo ushauri hospitals mkuu utawasaidia wengi. Pia donates some moneys for food and food supplements