UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

Kuna chuma inaitwa mkanda wa jeshi, ukiwa na ngoma ukiipata hiyo kitu haichomoki unalala nayo.
Inategemea ni group gani la damu, nawajua wa 3 waliugua na wamepona kabisaaa.

Usidanganyee hapa.
 
Mtu akapata huo upungufu wa kinga, halafu ‘hypothetically’ asipate maambukizi ya pathogen yeyote zaidi ya hao HIV, ataumwa?
 
Mtu akapata huo upungufu wa kinga, halafu ‘hypothetically’ asipate maambukizi ya pathogen yeyote zaidi ya hao HIV, ataumwa?
Kwani neno KUUMWA na neno UGONJWA ni neno moja...? Jibu atakuwa aumwi ila atakuwa na ugonjwa wa HIV
 
Inategemea ni group gani la damu, nawajua wa 3 waliugua na wamepona kabisaaa.

Usidanganyee hapa.

Wameugua mkanda wa jeshi pamoja na ngoma? Ukiwa na ngoma nso inaleta complications kupona
 
Jifariji tu ila huko Mzee Trumpet amesha piga pin uchochoro wa upotevu wa pesa za wamarekani na mrija wa wala kwa urefu wa kamba,wezi mafisadi wavivu wa kazi na kufikiri.
 
Basi unatakiwa unywe dawa zote za kila ugonjwa ili upone magonjwa yote, Right?
 
Kwani neno KUUMWA na neno UGONJWA ni neno moja...? Jibu atakuwa aumwi ila atakuwa na ugonjwa wa HIV
Mgonjwa ni mtu anaeumwa..


Hapo wanasema mgonjwa ni ‘ill person’, yaani mtu anaeumwa.


Hahahhaha, mtu haumwi , halafu at the same tume ana ugonjwa? Kwahiyo anaumwa au haumwi? 😂😂😂 ,

Hata baada ya miaka 100, huyo mtu hataumwa, hivyo huo sio ugonjwa!
 
Basi unatakiwa unywe dawa zote za kila ugonjwa ili upone magonjwa yote, Right?
Hutayapata yote kwa mara moja, unaweza kupata mmoja, au miwili au idadi yoyote ile.., kwahiyo tibiwa kadri utakavyoyapata huku ukipandisha kinga ya mwili..
 
Unachanganya madesa kuna watu wana ugonjwa wa kupoteza nguvu za kiume ...kuna watu wanaugonjwa wa kupoteza hamu ya kula pia kuna watu wana ugonjwa wa iupoteza uwezo wa kuona hayo yote ni nagonywa japo wausika awaumwi miili yao ...wewe ukilala na kuamka ukiwa umepiteza uwezi wa kuona tayari wewe ni mgonjwa wa macho japo hau umwi maumivu popote...NDIYO MAANA KUNA MSEMO KUWA YURE ANA UGONJWA WA HIV (UKIMWI) ILA AUGUI. Hivyo unaweza kuwa na ugonjwa wa HIV ila usiwe unaugua UKIMWI
 
Sasa mtu unashindwa kusimamisha halafu useme huumwi? Umechanganyikiwa? Huyo ni mgonjwa nananaumwa, dallili zake ni hizo kushimdwa kusimamisha..

Upoteze hamu ya kula halafu useme huumwi, huyo ni mgonjwa na anaumwa, dalili zake ni kupoteza hamu ya kulaa..
 
ukitibu tb au ugonjwa mwingine bado HIV ipo na inazaliana kwa wingi kwaiyo ndo maana hauwezi kutoboa,

ARV yenyewe inafubaza HIV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…