cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Inategemea ni group gani la damu, nawajua wa 3 waliugua na wamepona kabisaaa.Kuna chuma inaitwa mkanda wa jeshi, ukiwa na ngoma ukiipata hiyo kitu haichomoki unalala nayo.
Usidanganyee hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea ni group gani la damu, nawajua wa 3 waliugua na wamepona kabisaaa.Kuna chuma inaitwa mkanda wa jeshi, ukiwa na ngoma ukiipata hiyo kitu haichomoki unalala nayo.
Mtu akapata huo upungufu wa kinga, halafu ‘hypothetically’ asipate maambukizi ya pathogen yeyote zaidi ya hao HIV, ataumwa?Dalili za huo ugonjwa sindiyo huko kupungua kinga...tatizo lako ujui tofauti ya ugonjwa na dalili ...wewe unadhani ugonjwa ni lazima dalili ziwe dhahili...nikama ugonjwa wa cell mundu ...HIV zina halibu na kuua cell za damu na hiyo ndiyo maana ya ugonjwa ...japo magonjwa hajui ila ni magonjwa na yapo magonjwa yasiyo na dalili isipokuwa kwa vipimo ndiyo dalili zina onekana kama ugonjwa wa HIV...mdudu au virus yoyote anaye fanya uhalibifu kwenye mwili wa mwanadamu huo ni ugonjwa....
watu wanamtafuta babu wa Loliondo baada ya babu Trump kuwatelekeza.Nimechelewa kidogo, kuna nini huku
sijawaona wakipita humu, au wanapita kimya kimyaTrump akiendelea hivi kataa ndoa wote wanaoa na kuhubiri kila mtu atulie na mke wake nyumbani.
Mtu huyo labda akaishi mwezini au kwenye incubatorMtu akapata huo upungufu wa kinga, halafu ‘hypothetically’ asipate maambukizi ya pathogen yeyote zaidi ya hao HIV, ataumwa?
Hahahasijawaona wakipita humu, au wanapita kimya kimya
Yes, ‘hypothetically’ akaishi huko, ataumwa?Mtu huyo labda akaishi mwezini au kwenye incubator
Kwani neno KUUMWA na neno UGONJWA ni neno moja...? Jibu atakuwa aumwi ila atakuwa na ugonjwa wa HIVMtu akapata huo upungufu wa kinga, halafu ‘hypothetically’ asipate maambukizi ya pathogen yeyote zaidi ya hao HIV, ataumwa?
Inategemea ni group gani la damu, nawajua wa 3 waliugua na wamepona kabisaaa.
Usidanganyee hapa.
Jifariji tu ila huko Mzee Trumpet amesha piga pin uchochoro wa upotevu wa pesa za wamarekani na mrija wa wala kwa urefu wa kamba,wezi mafisadi wavivu wa kazi na kufikiri.Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha?
- Magonjwa haya husababishwa na kushuka kwa kinga ya mwili (upungufu wa kinga mwilini), lakini unaweza kuyapata hata kama huna upungufu wa kinga mwilini, mfano T.B.
- Upungufu wa kinga mwilini husababishwa na virusi vya ukimwi, lakini unaweza kupata upungufu wa kinga mwilini (Ukimwi) kwa sababu zingine mbali mbali, mfano lishe duni.
- Magonjwa hayo yote yanaweza kutibika kwa dawa za kawaida zinazofahamika, mfano kama una T.B, unaweza kupaata dawa za T.B na ukapona 100%.
- Mtu anaweza kupandisha kinga ya mwili (bila kujali imesababishwa na nini) kwa kupata mlo kamili wenye viini lishe pamoja na food supplements za vitamini na madini.
Sasa swali langu ni hili.
Bila kujali kama mtu ana upungufu wa kinga mwilini au la, Mtu akiumwa T.B, unatakiwa umpe ARVs zinazoenda kuuwa ini na figo au unatakiwa umpe Dawa za T.B (zipo na zinajulikana) pamoja na mlo kamili?
Hivi hakuna namna yeyote ili ya kurudisha na kumaingain kinga ya mwili bila kuvifubaza virusi?
===========================
Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!
Muone mwenyewe The challenge... Follow up... Swali: Je ni kweli anachosema huyo daktari kwamba baada ya Thambo Mbeki aliyekuwa rais wa pili wa Afrika kusini kushtukia kwamba ARV ndizo zinaleta upungufu kwenye kinga ya mwili, na ukishaanza tu kutumia, ukiacha unaumwa hadi kufa, alizipiga...www.jamiiforums.com
=========================
🤣🤣🤣🙌Shida ya hizi Arv.
Hao viruses wanatoka kwenye damu wanakimbilia kujificha kwenye fizi na kucha.
Kuwaondoa kabisa inakuwa ngumu.
Imeisha hiyo 🥴Tukiwaambia ngwengwe ipo mnajifanya wabishi, ss hivi mnaanza kutusumbua tuwatie moyo..!! HAKUNA DAWA YA UKIMWI
Mgonjwa ni mtu anaeumwa..Kwani neno KUUMWA na neno UGONJWA ni neno moja...? Jibu atakuwa aumwi ila atakuwa na ugonjwa wa HIV
Hutayapata yote kwa mara moja, unaweza kupata mmoja, au miwili au idadi yoyote ile.., kwahiyo tibiwa kadri utakavyoyapata huku ukipandisha kinga ya mwili..Basi unatakiwa unywe dawa zote za kila ugonjwa ili upone magonjwa yote, Right?
Una utani na mwili wewe.Hutayapata yote kwa mara moja, unaweza kupata mmoja, au miwili au idadi yoyote ile.., kwahiyo tibiwa kadri utakavyoyapata huku ukipandisha kinga ya mwili..
Unachanganya madesa kuna watu wana ugonjwa wa kupoteza nguvu za kiume ...kuna watu wanaugonjwa wa kupoteza hamu ya kula pia kuna watu wana ugonjwa wa iupoteza uwezo wa kuona hayo yote ni nagonywa japo wausika awaumwi miili yao ...wewe ukilala na kuamka ukiwa umepiteza uwezi wa kuona tayari wewe ni mgonjwa wa macho japo hau umwi maumivu popote...NDIYO MAANA KUNA MSEMO KUWA YURE ANA UGONJWA WA HIV (UKIMWI) ILA AUGUI. Hivyo unaweza kuwa na ugonjwa wa HIV ila usiwe unaugua UKIMWIMgonjwa ni mtu anaeumwa..
View attachment 3228204
Hapo wanasema mgonjwa ni ‘ill person’, yaani mtu anaeumwa.
Hahahhaha, mtu haumwi , halafu at the same tume ana ugonjwa? Kwahiyo anaumwa au haumwi? 😂😂😂 ,
Hata baada ya miaka 100, huyo mtu hataumwa, hivyo huo sio ugonjwa!
Sasa mtu unashindwa kusimamisha halafu useme huumwi? Umechanganyikiwa? Huyo ni mgonjwa nananaumwa, dallili zake ni hizo kushimdwa kusimamisha..Unachanganya madesa kuna watu wana ugonjwa wa kupoteza nguvu za kiume ...kuna watu wanaugonjwa wa kupoteza hamu ya kula pia kuna watu wana ugonjwa wa iupoteza uwezo wa kuona hayo yote ni nagonywa japo wausika awaumwi miili yao ...wewe ukilala na kuamka ukiwa umepiteza uwezi wa kuona tayari wewe ni mgonjwa wa macho japo hau umwi maumivu popote...NDIYO MAANA KUNA MSEMO KUWA YURE ANA UGONJWA WA HIV (UKIMWI) ILA AUGUI. Hivyo unaweza kuwa na ugonjwa wa HIV ila usiwe unaugua UKIMWI
Hata we unaoTukiwaambia ngwengwe ipo mnajifanya wabishi, ss hivi mnaanza kutusumbua tuwatie moyo..!! HAKUNA DAWA YA UKIMWI