Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Ukimwi ni Zimwi mkuu,haupo.Hawa si ndo wanasema ukimwi ni kama malaria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimwi ni Zimwi mkuu,haupo.Hawa si ndo wanasema ukimwi ni kama malaria
Let's stay safeKuna tofauti na mtu ambea amejitaftia mwenyewe principle ni ile ile kuepuka maambukizi mapya
Na njozi pia.Ukiukwaa hata mawazo yanabadilika
Sasa wewe mwenye IQ kubwa ninini kilisababisha huyo ndugu kupatwa na ukichaa kabla ya kuanza kutumia hizo ARV?Una IQ ndogo halafu husomi kwa makini, hizo organ failure si nimesema ni madhara ya kutumia ARV? Au hujui kusoma?
Mhhh! Mbona Myahudi aliweza kuyamudu yale mashambulizi ya mkupuo (axis of war)? Sema tu kuna kitu bado hakijawekwa sawa. Ni kweli ni Mradi wa watu au ni kweli ni Mkakati wa watu au ni kweli ni Uganjwa? Ugonjwa halafu miaka yote bado Tiba haijapatikana. Cjui.Likiwa moja moja yanatibika ila kwa mkupuo ngumu sana mkuu. Mashambulizi yanakuwa makali mno na kinga za mwili zinaelemewa
Lile tendo liliwekwa kwa ajili kuzaa watoto halafu raha by the way tu... shida watu (hasa hasa weusi na masikini) tumeamua kulifanya tendo lile kama starehe na pia kama lifetime achievement goalTrump kapress kidogo tu huku pamejipa, tuungane tu tendo lifutwe hilo lina majanga sana.
Sawa, baada ya kupata huo upungufu, halafu akawekwa in a completely sterile isolation, kiasi asipate ugonjwa mwingine wowote, zipi zitakuwa dalili za hicho unachoita ugonjwa? Inawezekana ugonjwa usiwe na dalili kabisa? Kwanini tunahangaika sasa kama hauna dalili yoyote?
Microbiomes watoke wapi wakati ni ‘hypothetically’ absolute sterile environment?mtu mwenye immunity ndogo hata ukimuweka kwenye sterile environment,
Bado kuna normal microbiomes watamshambulia.
Lakini pia kuna cancers cells.
Hivi vyote immunity inapokuwa imara huwa inadhibiti.
Duh!!! Wewe utakuwa dogo wa miaka ya 1990s imekuja kuwa na akili umekuta watu wanatumia ARVs kwa hiyo hawakondi na kuugua mpaka kufa kama ilivyokuwa kwa watu wenye HIV/AIDS wa miaka ya 1985 mpaka ARV zilipoanza.Wewe uliwaona wapi ukiacha kwenye TV? Walikuonyesha wakichotaka uone.., hata sasa wakitaka watakuonyesha tena endapo mngegomea kama walivyogoma SA..
Mimi nawashangaa hawa watoto waliozaliwa kuanzia miaka ya 1990s hawakuwahi kuona watu walivyokuwa wanaugua huu ugonjwa kabla ya ARV kuanza!!!! Wanadanganyana kweli na kubeza!!!!Duh, Ukimwi umefikia kiwango cha kudharauliwa kiasi hiki? Hebu bwana Trump sitisha ruzuku ya ARV heshima irudi.
Haya sasa kumekucha [kwa sauti ya mzee majuto], kumbe akili mnazo hamtaki tu kuzitumia.Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha?
- Magonjwa haya husababishwa na kushuka kwa kinga ya mwili (upungufu wa kinga mwilini), lakini unaweza kuyapata hata kama huna upungufu wa kinga mwilini, mfano T.B.
- Upungufu wa kinga mwilini husababishwa na virusi vya ukimwi, lakini unaweza kupata upungufu wa kinga mwilini (Ukimwi) kwa sababu zingine mbali mbali, mfano lishe duni.
- Magonjwa hayo yote yanaweza kutibika kwa dawa za kawaida zinazofahamika, mfano kama una T.B, unaweza kupaata dawa za T.B na ukapona 100%.
- Mtu anaweza kupandisha kinga ya mwili (bila kujali imesababishwa na nini) kwa kupata mlo kamili wenye viini lishe pamoja na food supplements za vitamini na madini.
Sasa swali langu ni hili.
Bila kujali kama mtu ana upungufu wa kinga mwilini au la, Mtu akiumwa T.B, unatakiwa umpe ARVs zinazoenda kuuwa ini na figo au unatakiwa umpe Dawa za T.B (zipo na zinajulikana) pamoja na mlo kamili?
Hivi hakuna namna yeyote ili ya kurudisha na kumaingain kinga ya mwili bila kuvifubaza virusi?
===========================
Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!
Muone mwenyewe The challenge... Follow up... Swali: Je ni kweli anachosema huyo daktari kwamba baada ya Thambo Mbeki aliyekuwa rais wa pili wa Afrika kusini kushtukia kwamba ARV ndizo zinaleta upungufu kwenye kinga ya mwili, na ukishaanza tu kutumia, ukiacha unaumwa hadi kufa, alizipiga...www.jamiiforums.com
=========================
Mkuu mimi siyo daktari ila kwa kusoma soma ninaona unachozungumza hapa kina utofauti wake.Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha?
- Magonjwa haya husababishwa na kushuka kwa kinga ya mwili (upungufu wa kinga mwilini), lakini unaweza kuyapata hata kama huna upungufu wa kinga mwilini, mfano T.B.
- Upungufu wa kinga mwilini husababishwa na virusi vya ukimwi, lakini unaweza kupata upungufu wa kinga mwilini (Ukimwi) kwa sababu zingine mbali mbali, mfano lishe duni.
- Magonjwa hayo yote yanaweza kutibika kwa dawa za kawaida zinazofahamika, mfano kama una T.B, unaweza kupaata dawa za T.B na ukapona 100%.
- Mtu anaweza kupandisha kinga ya mwili (bila kujali imesababishwa na nini) kwa kupata mlo kamili wenye viini lishe pamoja na food supplements za vitamini na madini.
Sasa swali langu ni hili.
Bila kujali kama mtu ana upungufu wa kinga mwilini au la, Mtu akiumwa T.B, unatakiwa umpe ARVs zinazoenda kuuwa ini na figo au unatakiwa umpe Dawa za T.B (zipo na zinajulikana) pamoja na mlo kamili?
Hivi hakuna namna yeyote ili ya kurudisha na kumaingain kinga ya mwili bila kuvifubaza virusi?
===========================
Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!
Muone mwenyewe The challenge... Follow up... Swali: Je ni kweli anachosema huyo daktari kwamba baada ya Thambo Mbeki aliyekuwa rais wa pili wa Afrika kusini kushtukia kwamba ARV ndizo zinaleta upungufu kwenye kinga ya mwili, na ukishaanza tu kutumia, ukiacha unaumwa hadi kufa, alizipiga...www.jamiiforums.com
=========================
Hapana, yanaambukizwa kwa njia mbali mbali tofauti, ngono ikiwa moja wapoKwaiyoo Huo mkusanyiko wa magonjwa unaambukizwa na ngono?
Trump ameanza kuwatoa shimoni moja Moja
AIDS ni hoaxy