UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

Francis I love this and I doubt if many people out there know this truth.Baada ya kufuatilia haya mambo kwa miaka mingi,I have come to this very same conclusion.The whole Medical Profession system has the sole aim of killing and maiming humanity,it was never meant to heal.

However as a result of mass formation psychosis,I believe nobody will ever listen to this extremely important truth .God bless you brother.🙏🙏🙏🙏🙏
 
Ana muda mrefu na huo ugonjwa na ashaanza kuzeeka kwa umri.
Kinachoafect na kuvutia magonjwa ni ile hali ya kutokukubali mtu kwamba amepata ajali, ni Bora ukatae kiimani na mikakati kamahiyo ya asali kuliko kukataa kulia kuumia na kuchanganyikiwa hutaishi miaka mingi.

Ila sio kwa asali au any herb ukimwi unapona kabisa mimi nimeona sio mara Moja Wala mbili
 
Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha?

Ukiandika hivi basi utaona HIV/AIDS ni kitu kidogo sana kama ulivyoita ni mkusanyiko wa magonjwa...

Lakini ukipata kujua namna HIV anavyoifanya seli ya mwanadamu kijenetiki, utaona ni kwa namna gani hii kitu si ya kuitania...
 
Hakuna genetic modification yeyote inayotokea kwenye mwili wa binadamu kupitia hicho kirusi, hiyo ingekuwa ni kansa sasa..
 
Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha?

- Magonjwa haya husababishwa na kushuka kwa kinga ya mwili (upungufu wa kinga mwilini), lakini unaweza kuyapata hata kama huna upungufu wa kinga mwilini, mfano T.B.

- Upungufu wa kinga mwilini husababishwa na virusi vya ukimwi, lakini unaweza kupata upungufu wa kinga mwilini (Ukimwi) kwa sababu zingine mbali mbali, mfano lishe duni.

- Magonjwa hayo yote yanaweza kutibika kwa dawa za kawaida zinazofahamika, mfano kama una T.B, unaweza kupaata dawa za T.B na ukapona 100%.

- Mtu anaweza kupandisha kinga ya mwili (bila kujali imesababishwa na nini) kwa kupata mlo kamili wenye viini lishe pamoja na food supplements za vitamini na madini.

Sasa swali langu ni hili.

Bila kujali kama mtu ana upungufu wa kinga mwilini au la, Mtu akiumwa T.B, unatakiwa umpe ARVs zinazoenda kuuwa ini na figo au unatakiwa umpe Dawa za T.B (zipo na zinajulikana) pamoja na mlo kamili?

Hivi hakuna namna yeyote ili ya kurudisha na kumaingain kinga ya mwili bila kuvifubaza virusi?

===========================

=========================
Umekosea ....hicho ulicho eleza
.. kichwa chake kilitakiwa kuwa ....ugonjwa wa ukimwi au hui kinacho ua ni magonjwa nyemelezi ...hivyo ukimwi ni ugonjwa...unao sababishwa haswa na virus vya HIV
 
Umekosea ....hicho ulicho eoeza kichwa chake kilitakiwa kuwa ....ugonjwa wa ukimwi au hui kinacho ua ni magonjwa nyemelezi ...hivyo ukimwi ni ugonjwa...unao sababishwa haswa na virus vya HIV
Mtu akipata kirusi cha ukimwi,halafu kinga yake ikashuka, halafu akawekwa kwenye sterile room ambayo haina pathogen yeyote, kiasi asipate maambukizi ya kitu chochote ukiacha hao HIV ambao anao tayari. Nini zitakuwa dalili za hicho unachoita ugonjwa?
 
Dalili za huo ugonjwa sindiyo huko kupungua kinga...tatizo lako ujui tofauti ya ugonjwa na dalili ...wewe unadhani ugonjwa ni lazima dalili ziwe dhahili...nikama ugonjwa wa cell mundu ...HIV zina halibu na kuua cell za damu na hiyo ndiyo maana ya ugonjwa ...japo magonjwa hajui ila ni magonjwa na yapo magonjwa yasiyo na dalili isipokuwa kwa vipimo ndiyo dalili zina onekana kama ugonjwa wa HIV...mdudu au virus yoyote anaye fanya uhalibifu kwenye mwili wa mwanadamu huo ni ugonjwa....
 
Dalili za huo ugonjwa sindiyo huko kupingua kinga...tatizo lako ujui tofauti ya ugonjwa na dalili ...wewe unadhani ugonjwa ni lazima dalili ziwe dhahili...nikama ugonjwa wa cell mundu ...HIV zina halibu na kuua cell za damu na hiyo ndiyo maana ya ugonjwa ...japo magonjwa hajui ila ni magonjwa na yapo magonjwa yasiyo na dalili isipokuwa kwa vipimo ndiyo dalili zina onekana kama ugonjwa wa HIV...mdudu au virus yoyote anaye fanya uhalibifu kwenye mwili wa mwanadamu huo ni ugonjwa....
Nani amewahi kukiona kirusi cha HIV?
 
Kwani umesha wai kuviona virusi vingine kama cha ebora
Ungejibu nilichokuuliza, lini au microscope gani imewahi kukuonesha kirusi cha HIV?

HIV ni utapeli kama utapeli mwingine
 
Ungejibu nilichokuuliza, lini au microscope gani imewahi kukuonesha kirusi cha HIV?

HIV ni utapeli kama utapeli mwingine
Tumia akili wewe zuzu ..je ni microscope gani imewai kukuonyesha atom ...je mungu umewai kumwona je malaika umewai kuwaona je mudi boy umewai kumwona...pia Google hiv virus image
 
Back
Top Bottom