UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

UKIMWI (AIDS) sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa, na yote yanatiba zinazofahamika, Kuna mtu anabisha?

Je, ukapata huo upungufu wa kinga mwilini na ‘hypothetically’ usipate maambukizi yeyote yale ukiacha yale ya HIV, utapata shida yeyote ile katika utendaji wa mwili wako? Yeyote ile?
HIV NI UGONJWA MFALME ...jambazi siyo lazima yeye mwenyewe akafanye ujambazi anaweza kuwa jambazi anaye watuma watu kufanya ujambazi huenda yeye mwenyewe hana mikono wala miguu yupo kwenye kiti cha wagonjwa ila ndiyo jambazi mkuu ...hivyo HIV NI ....💥UGONJWA KING 💥 Kumbuka osama bin laden aliitwa gaidi mkuu na marekani japo yeye mwenyewe atujawai kumwona akifanya ugaidi wowote personal
 
Kwa ukiangazia hii hypothetical sterile environment, kama mtu anazingatia dose atakuwa na kinga madhubuti na atakuwa free from opportunistic diseases lakini bado kuna shida inakuja...matumizi ya arv kwa mrefu at some extent inapelekea drug resistance, kwahiyo itabidi mgonjwa aende kwa wataalamu ili atafutiwe alternative formulations ambazo zitafanya kazi kwake, suala ambalo linaweza chukua mda kwa baadhi ya watu, na hii ndio sababu kubwa ya watu kufariki anyway ingawa walitumia arv, hata hivo matumizi sahihi ya arv bado ni muhimu

Kitu kingine ni kwamba hio unayosema hypothetical sterile environment, sawa tunaweza assume ipo externally kwenye mazingira lakini pia kwenye mwili wa binadamu kuna bacteria ambao wanapatikana ndani ya mwili, wanakazi mbalimbali, microbiota, hawa wakizidi wanaweza kuleta shida, mfano; microbiota wanaopatikana ukeni wakizidi, wanaleta magonjwa kama bacterial vaginosis BV, mdomoni ndio kuna bacteria wakutosha, akina staphylococcus aureus, streptococcus mutans, treponema denticola, poorphyromona gingivalis etc.

Hawa wakizidi, wanaweza kusambaa kupitia njia ya hewa au GI tract, wakifika huko wanaweza kuingia kwenye damu, unapata sepsis, hii sepsis ndio hatari sasa, inakuua chap tu.

Kwa kusema haya bado uzingatiaji wa arv ni muhimu hata kama utakuwa kwenye ideal sterile environment..
Maneno meengi, halafu useless. Elewa hoja. Ni kwamba bila kupata maambukizi menngine zaidi ya hayo ya HIV, mtu hatoumwa.
 
HIV NI UGONJWA MFALME ...jambazi siyo lazima yeye mwenyewe akafanye ujambazi anaweza kuwa jambazi anaye watuma watu kufanya ujambazi huendq yeye mwenyewe hana mikono wala miguu yupo kwenye kiti cha wagonjwa ila ndiyo jakbazi mkuu ...hivyo HIV NI ....💥UGONJWA KING 💥 Kumbuka osama bin laden aliitwa gaidi mkuu na marekani japo yeye mwenyewe atujawai kumwona akifanya ugaidi wowote personal
Jibu swali, atapata shida yeyote katika utendaji wa mwili wake?
 
Jibu ...tanzania tuna polisi ...na unajua polisi haipo kujilinda yenyewe zaidi bali imeanzishwa kulinda wananchi na mali zao dhidi ya wahalifu ....sasa wahalifu wakasemezana kuwa kila tukivamia mali za wananchi polisi wanakuja kutuangamiza basi mtu mmoja wao akasema yeye ataunda kikundi cha kuwaangamiza polisi wenyewe kwanza ...basi akaunda kundi la kuua polisi na kuanza kazi ya mauaji ....swali je ilo kundi linalo ua POLISI NI WAHALIFU AU SIYO WAHALIFU?....kwa akili zako wewe utajibu siyo wahalifu kwa kuua polisi maana awakwenda kuua raia na mali zao ...hoja yako itakuwa kama wahalifu wa kawaida wasinge kuwepo basi polisi isingekuweko wala isinge hitajika hivyo hao wanao ua polisi siyo wahalifu ...BASI JUA HIV NI UGONJWA MKUU kwa sababu wenyewe una halibu ulinzi wa mwili wako
Jibu swali, atapata shida yeyote katika utendaji wa mwili wake?
 
Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha?

- Magonjwa haya husababishwa na kushuka kwa kinga ya mwili (upungufu wa kinga mwilini), lakini unaweza kuyapata hata kama huna upungufu wa kinga mwilini, mfano T.B.

- Upungufu wa kinga mwilini husababishwa na virusi vya ukimwi, lakini unaweza kupata upungufu wa kinga mwilini (Ukimwi) kwa sababu zingine mbali mbali, mfano lishe duni.

- Magonjwa hayo yote yanaweza kutibika kwa dawa za kawaida zinazofahamika, mfano kama una T.B, unaweza kupaata dawa za T.B na ukapona 100%.

- Mtu anaweza kupandisha kinga ya mwili (bila kujali imesababishwa na nini) kwa kupata mlo kamili wenye viini lishe pamoja na food supplements za vitamini na madini.

Sasa swali langu ni hili.

Bila kujali kama mtu ana upungufu wa kinga mwilini au la, Mtu akiumwa T.B, unatakiwa umpe ARVs zinazoenda kuuwa ini na figo au unatakiwa umpe Dawa za T.B (zipo na zinajulikana) pamoja na mlo kamili?

Hivi hakuna namna yeyote ili ya kurudisha na kumaingain kinga ya mwili bila kuvifubaza virusi?

===========================

=========================
Utafiti wako umemfanya Trump asitishe ARV, kumbe ukimwi siyo ugonjwa.
Hongera utafiti umekubakika.
 
Aids is not a disease
There is only one disease
–dr sebi–

We need intracellular cleansing and colon cleansing
Ulivyosema hvyo wazungu wakamuua.
 
Jibu ...tanzania tuna polisi ...na unajua polisi haipo kujilinda yenyewe zaidi bali imeanzishwa kulinda wananchi na mali zao dhidi ya wahalifu ....sasa wahalifu wakasemezana kuwa kila tukivamia mali za wananchi polisi wanakuja kutuangamiza basi mtu mmoja wao akasema yeye ataunda kikundi cha kuwaangamiza polisi wenyewe kwanza ...basi akaunda kundi la kuua polisi na kuanza kazi ya mauaji ....swali je ilo kundi linalo ua POLISI NI WAHALIFU AU SIYO WAHALIFU?....kwa akili zako wewe utajibu siyo wahalifu kwa kuua polisi maana awakwenda kuua raia na mali zao ...hoja yako itakuwa kama wahalifu wa kawaida wasinge kuwepo basi polisi isingekuweko wala isinge hitajika hivyo hao wanao ua polisi siyo wahalifu ...BASI JUA HIV NI UGONJWA MKUU kwa sababu wenyewe una halibu ulinzi wa mwili wako
Ni wahalifu, ila so as long as hao wahalifu wengine hawatavamia wananchi baada ya polisi kuuwawa (hypothetical sterile environment), hao wanachi watapata shida yeyote?

Note, kwa huu mfano wako , mhalifu ni ‘Pathogen’ , na matokeo ya uhalifu kwa mwanachi (mwili) ndio ‘Ugonjwa’
 
Kwa hii response inaonekana unauelewa mdogo sana, sasa kwanini asiumwe??
Unaumwaje na hujapata maambukizi mengine yeyote ukiacha hayo yaliyopunguza kinga ya mwili?, maana kinga kupungua ni kitu kimoja, na kushambuliwa baada ya kinga kupungua ni jambo lingine…, sasa upo kwenye sterile environment na hakuna mashambulizi yeyote, unaumwaje?

Soma nilivyojadiliana naye toka mwanzo, usidandie farasi kwa mbele, utakuja kuchanika msamba..
 
Ni wahalifu, ila so as long as hao wahalifu wengine hawatavamia wananchi baada ya polisi kuuwawa (hypothetical sterile environment), hao wanachi watapata shida yeyote?

Note, kwa huu mfano wako , mhalifu ni ‘Pathogen’ , na matokeo ya uhalifu kwa mwanachi (mwili) ndio ‘Ugonjwa’
Hiyo mbona inajulikana kuwa polisi wakiuliwa na wahalifu wasiwepo basi hapatakuwa na shida yoyote ...ila wote ni WAHALIFU yaani yote ni "MAGONJWA" hapo umekubali kwa wote ni wahalifu ...kuhusu hoja yako ya kutokupata madhara hiyo inajulikana na kila binadamu kuwa ugonjwa wa HIV uletao upungufu wa kinga pasipo kuwa na magonjwa mengineyo basi mtu awezi KUUGUA...kwa mfano mtu akipata virus wanao shambulia chembe nyeupe za damu na kuzimaliza mwilini huo ni UGONJWA japo madhara yake hayapo hadi mtu huyo atakapo pata kidonda au jeraha na kusababisha damu kutoka bila kukoma ..
 
Ukimwi wa 1995-2000 ukirudi watu watakufa kama kumbi kumbi.
Maneno kama hayo yametumika pia wakati wa covid 19 kwamba tutakufa kama kumbikumbi hasa kutokana na tuliyokuwa tunaonyeshwa taarifa za habari pamoja na mitandao ya kijamii yanayoendelea huko kwa wenzetu.
 
Mjomba Ukimwi ule ulikuwa hatari mno sio kama Covid 19
 
Siku hizi hakuna ukimwi vile ni vijihoma tu.. mtuulize sisi tulioona wagongwa wa tisini naaa na elfu mbili mwanzoni ile ndio ilikuwa ngwengwe..
Kwa jinsi Tb tu ilivyo hatari na takwimu zinaonyesha kila siku hufa watu 70, sasa zikikosekana dawa za Tb hali inaweza kurudi kama mwaka 2000.
 
Back
Top Bottom