UKIMWI ni biashara, nchi za dunia ya tatu tunatumika

Kwa maelezo yako yanaonesha hivyo ikabidi nifafanue

Narudia tena UKIMWI sio ugonjwa, UKIMWI unaosambazwa na kuenezwa habari zake HAUPO, UKIMWI unaoenezwa kwa njia ya ngono HAUPO, VIRUSI VYA UKIMWI vinavyopimwa kwa kutumia anyibodies za mwili havipoo

Ni wapi maelezo yangu yanaonesha kuwa kuna UKIMWI aina mbili tofauti?

-Kaveli-
 
Na pia saratani hiyo inaambukiza,kama mwanaume atakae kutana nae akikutana na mwanamke meingine ana uwezo wa kuambukiza vizur kabisa bila ya kua na madhara yoyote kwa mwanaume
 
Mtoa mada unapotosha watu kabisa,mimi sio mtaalam was afya ila nina amini bila uwepo was ARVS tungekua na magofu mengi sana nchi hii.Hivi mnakumbuka jinsi ukimwi ulivyokua unapukutisha watu miaka ya 90 mpaka 2000 mwanzoni kabla ya ujio wa ARVS? Watoto waliokua wanazaliwa na HIV + lakini sasa kuna dawa za prevention kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

Watoto waliozaliwa HIV + siku hizi wanakua wakubwa kwa sababu ya matumizi ya dawa hizo,mada yenye kupotosha sio nzuri kwa mustakabali was afya za watu.ARVS pia zimepunguza kasi ya maambukizi toka mtu m1 kwenda kwa mwingine japo zina side effects zake lakini bila uwepo wake tungekua na msiba wa kitaifa.

Pia msisahau kwamba wazungu hawakutaka tupate hizi dawa kutoka generic manufacturers wa India ,nchi za Africa zilipiga kampeni ya nguvu sana baada ya kuona ugonjwa unamaliza watu na dawa hakuna ila Ulaya na USA wanadunda tu.Namkumbuka mtoto Nkhosi Johnson toka SA alizaliwa na HIV+ akafariki mwaka 99 kama sikosei,lakini kabla aliongea kwenye UN general assembly akiwa dhaifu mno akaomba nchi masikini ziruhusiwe kutengeneza copy za ARVS kwa gharama nafuu ili kuokoa kizazi kizima cha Africa.

We we unapoanzisha mada kwamba sijua ARVs wazungu wanapiga faida ni upotoshaji,tafuta documentary inaitwa (The Poison in My Blood) toka aljazeera uone jinsi viongozi wa Africa walivyopambana kwa jasho na damu ili ARVS ziweze kumfikia kila muathirika wa ukimwi barani Africa.
 
Acha mama nina rafiki yangu ana saratani ya shingo ya kizazi stage ya kwanza halafu amegoma kutoa kizazi uwiii yaani naogopa, tumemshauri tumechoka maana hana mtoto anasema hawezi kufa bila kuzaa.
Duh!ina mana lazima atoe kizazi hapo??
 
Kwa maelezo yako yanaonesha hivyo ikabidi nifafanue

Narudia tena UKIMWI sio ugonjwa, UKIMWI unaosambazwa na kuenezwa habari zake HAUPO, UKIMWI unaoenezwa kwa njia ya ngono HAUPO, VIRUSI VYA UKIMWI vinavyopimwa kwa kutumia anyibodies za mwili havipoo
Duuh!si mchezo aisee
 
Huenda ni pepo lililowekwa na wajanja ili kumaliza watu wa dunia ya tatu. Walifanya research na kugundua dunia ya tatu wanapenda sana ngono. Dawa huenda ipo wakitaka kuitoa, formula ya kukemea hilo pepo.
 
Kinga ya mwili inaposhuka unakuwa hatarini zaidi kupata cancer. Kheri ujue status yako mapema uitunze afya yako na uanze kubugia ARV”s.
pasi na shaka wee utakuwa miongoni mwa watumiaji maana si kwa kuchachamaa huko kuitetea ARV's
 
Mtoa mada unapotosha watu kabisa,mimi sio mtaalam was afya ila nina amini bila uwepo was ARVS tungekua na magofu mengi sana nchi hii.Hivi mnakumbuka jinsi ukimwi ulivyokua unapukutisha watu miaka ya 90 mpaka 2000 mwanzoni kabla ya ujio wa ARVS? Watoto waliokua wanazaliwa na HIV + lakini sasa kuna dawa za prevention kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

Watoto waliozaliwa HIV + siku hizi wanakua wakubwa kwa sababu ya matumizi ya dawa hizo,mada yenye kupotosha sio nzuri kwa mustakabali was afya za watu.ARVS pia zimepunguza kasi ya maambukizi toka mtu m1 kwenda kwa mwingine japo zina side effects zake lakini bila uwepo wake tungekua na msiba wa kitaifa.

Pia msisahau kwamba wazungu hawakutaka tupate hizi dawa kutoka generic manufacturers wa India ,nchi za Africa zilipiga kampeni ya nguvu sana baada ya kuona ugonjwa unamaliza watu na dawa hakuna ila Ulaya na USA wanadunda tu.Namkumbuka mtoto Nkhosi Johnson toka SA alizaliwa na HIV+ akafariki mwaka 99 kama sikosei,lakini kabla aliongea kwenye UN general assembly akiwa dhaifu mno akaomba nchi masikini ziruhusiwe kutengeneza copy za ARVS kwa gharama nafuu ili kuokoa kizazi kizima cha Africa.

We we unapoanzisha mada kwamba sijua ARVs wazungu wanapiga faida ni upotoshaji,tafuta documentary inaitwa (The Poison in My Blood) toka aljazeera uone jinsi viongozi wa Africa walivyopambana kwa jasho na damu ili ARVS ziweze kumfikia kila muathirika wa ukimwi barani Africa.
mimi kuna ndugu yangu mtoto alizaliwa na ukimwi japo wazazi wake wamefariki ila yeye hajawahi kutumia hata dawa ya ukimwi hizo ARV lakini ni mzima wa afya anaingia umri wa miaka kumi na mbili sasa
 
hapo kwenye kunenepa kama nguruwe mimi hoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya kutafakari kwa kina nimegundua UKIMWI sio ugonjwa ila ni biashara ya big pharmaceutical industries.

Hebu jaribu kufatilia na wewe, kwanini ugonjwa huu umepewa kipaumbele kikubwa hivyo na serikali za dunia ya tatu kuliko kwa magonjwa mengine? Jibu ni moja tu wanalazimishwa na huko wanakoomba mikopo na UN (United Nations)wanacontroliwa na US coz 23% ya bugdet yao anatoa USA.

USA ni cooperation owned by Rockafella, uhuni uko hapa pharmaceutical industries karibia zote za usa zinamilikiwa na hii familia ya Rockfella. Rockfella ni lucifer bloodline ambayo inachowaza ni kututawala na pesa tu.

Kwa first world countries concentration iko kwa ugonjwa mwingine uitwao cancer. Research it!!!!!!

Ugonjwa huu unapatikana kupitia vitu vinavyosababisha mwili kuwa more acidic (cocacola,mcdonald,GMO) bidhaa ziko nyingi na zimethibitika kabisa kusababisha huu ugonjwa. Kwanini ugonjwa huu usizuiwe kwa kuzipiga marufuku hizi bidhaa? Hapana hawawezi kwa sababu cancer industry inailetea USA 200 BILLION USD each year.

Chanzo cha UKIMWI sio kutia dyudyu ila kupima. Wanakusisitizia upime ukishapima tu wanakulazimisha ARVS. Hapo ndo safari ya matumaini inaanza. Safari hii ndo inakupeleka kwenye upungufu wa kinga mwilini. Nina imani sasa wote mmeona inachokifanya ARVS kwa wagonjwa, mosi inakunenepesha kama nguruwe, pili inakufanya addict, tatu inaanza kuharibu sehemu muhimu za mwili ikianzia na ini, moyo na figo na kongosho.

Mwisho wa siku upungufu wa kinga unakujia kutokana na hizo sehem kufail (HAINA UBISHI TENA ARVS NDO SABABU YA UGONJWA HUU).

Ukweli Kuhusu UKIMWI - MUUNGWANA BLOG
Ninavyofaham mkuu ARV's ni chakula cha virus kuwafanya waachane na mwili wako kwa muda ambao wataipata hiyo dawa, kama ambavyo hakuna dawa ya kutibu virus yeyote ila kumpunguza makali
 
mimi kuna ndugu yangu mtoto alizaliwa na ukimwi japo wazazi wake wamefariki ila yeye hajawahi kutumia hata dawa ya ukimwi hizo ARV lakini ni mzima wa afya anaingia umri wa miaka kumi na mbili sasa
Miili yetu iko tofauti jinsi inavyopambana na magonjwa ndiyo maana kuna watu wanaishi dar hawajawahi ugua malaria ila wanaumwa na mbu kila siku.Case zote za wanaishi na HIV haziwezi kufanana kwani hata mimi nina ndugu zangu waliozaliwa HIV+ wanakunywa dawa mpaka kesho ila wako vizuri sana.
 
Kumbe Ulikaa na Ukatafakari Kwa Kina!!!

Haina Shida Ndiyo Mawazo Yako Hayo Uliyoyapata Baada Ya Kujikalia Mwenyeo Ukatafakari Kwa Akili Zako Za Kibongobongo.

Usisahau Kuwatembelea Waathirika Wa Hivyo Virusi vya HIV kama Nilivyofanya Mimi watakueleza Mengi Ambayo Hutoyajua Kwa Kukaa Kwako na Kujitafakaria.

Na Mwisho Watakupa Ushauri Kuwa Usiombe Upate Hayo Maambukizi ya HIV.

Kinachokupa Jeuri Ni Kuwa Bado HIV haijakupata! Lakini Ingelikuwa Tayari umeshaathirika basi usingelipata Jeuri hii Ya Kuandika Porojo hili.
 
Una tambua vzr ulicho andka kwel ww???? Syo lazma kujibu kila swali mda mwingine ni vzr kunyamaza.
[HASHTAG]#Toxoplazima[/HASHTAG] gondii is the protozooan transmitted from cats esp preg n more linked to human femàle abortions dont think about HIV madness
 
Kwa maelezo yako yanaonesha hivyo ikabidi nifafanue

Narudia tena UKIMWI sio ugonjwa, UKIMWI unaosambazwa na kuenezwa habari zake HAUPO, UKIMWI unaoenezwa kwa njia ya ngono HAUPO, VIRUSI VYA UKIMWI vinavyopimwa kwa kutumia anyibodies za mwili havipoo
Ndugu VIRUSI VYA UKIMWI VIPO , na kuna watu wanateseka sana , kama wewe huamini uwepo wa hivi virusi je upo tayari tuchukue damu ya mtu aliepimwa na kuthibitika ana maambukizi na damu hiyo iingizwe mwilini mwako ? Kama upo tayari mimi najitolea kugharamia hilo zoezi na tutashirikisha wataalam waliobobea na uta sign a legal consent ili tumalize mjadala huu kisayansi
 
Huwezi kusema niongezewe damu ya mtu mwenye upungufu wa kinga wakati ana magonjwa yake yaliyosababisha upungufu wakinga, ko wewe hutaniongezea damu yenye VVU bali damu yenye TB, Magonjwa Mengine yanayosababisha upungufu wa kinga kama Kansa ya damu, Homa ya maini, na mengine mengiiii.
 
Mkuu hoja hapa ni kwamba hakuna VVU wala UKIMWI, kama ungeridhia damu husika ingepimwa kwenye maabara zinazotambulika na zenye viwango vya ubora wa kimataifa ili kuhakikisha haina vimelea vya homa ya ini wala magonjwa mengine yoyote yanayoambukizwa, na pia fahamu kwamba TB haiambukizwi kwa damu! Nirudie tena kusema HIV / AIDS is real na kama bado huamini kubali tukufanyie majaribio ili tumalize huu mjadala once and for all
 
Asante kwa marekebisho
NITARUDIII
 
yani km nmemwelewa jamaa anataka awaone kbs hao virus eg wawe isolated labda ndo atakubali um inoculate
 
Back
Top Bottom