Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Ndoa inaisha sio kwa sababu Mke kakutwa na Ukimwi LA hasha,sababu ni kiwa hamna Mwanaume anayeweza kuvumilia kuishi na Mwanamke malaya.-hadi kapata ukimwi maana yake hiyo mwanamke hajatulia.Hapa Ndoa inaisha. Ila Angekutwa nao mume ndoa ingeendelea. Life Ain't fair
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Umedadavua Vyema. Hii ndio Point nilitaka kusema, Uzee huu nasahau haraka. Aksante.Ndoa inaisha sio kwa sababu Mke kakutwa na Ukimwi LA hasha,sababu ni kiwa hamna Mwanaume anayeweza kuvumilia kuishi na Mwanamke malaya.-hadi kapata ukimwi maana yake hiyo mwanamke hajatulia.
''Ataleta Dawa inayozuia Ukimwi Afrika'' inashangaza kwakweli....means kuna sababu moja kati ya hizi:-Kwanin Afrika?na Isiwe dunia nzima
Bara la majaribio, huku huku Africa km unakumbuka ndio maabara ya virus ilipoanzia wakaanza na nyani kisha nyani akafanya yake ukaanza kuendelea kuenea kote, kwa hio wakimaliza Africa wamemaliza duniani, in short Africa ndio duniani Africa ndio bara lenye nguvu ila ndio bara masikini, bara lenye utajiri mwingi ulioanza kuchotwa karne na karne na watu wake kubakia masikini karne na karne,Kwanin Afrika?na Isiwe dunia nzima
Kwasababu we are the test subjects acha kututetea. Dawa haipo FDA approved nawewe bado unaitaka[emoji23][emoji23][emoji23], waAfrica tutakufa vibaya aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza lazima iangaziwe jamii isiyositarabika japokua hofu lazima iangaziwe Sana, maana kwa majaribio ya kisayansi tumosana pia
Nani kasema. Naunajua sababu zinazomfanya mke abaki mara nyingi, ungejua wala usingeongea wala mtetea. Kizazi hiki hakuna mwanaume au mke aliyetayari kuteseka, so acha propaganda chief. Watu wameacha watoto sembuse wewe mgonjwa usiyetibika[emoji1787][emoji1787][emoji1787], zama hizo zimepita.Hapa Ndoa inaisha. Ila Angekutwa nao mume ndoa ingeendelea. Life Ain't fair
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini umuombee mwenzako hayo? Why do you want to judge na mkosaji unamjua?Ila Mungu fundi, anaweza mwacha huyo mke huko mbele akaenda ubeba
Wewe jamaa kila sehemu unapost hiki.😂
1[emoji3590]White skin will never sleep never rest, they are struggling to eliminate/vanish black skin.....
The secret they do not know is, melanin is valuable than Gold and Diamonds.... and they don't have one...
Wanapata tabu sana wakiona ngozi nyeusi inadunda kwenye kila majaribio ya maabara zao...
God's Love.
Hapo sasa!Kwanin Afrika? Na Isiwe dunia nzima
Mungu atulinde 🙏🙏White skin will never sleep never rest, they are struggling to eliminate/vanish black skin.....
The secret they do not know is, melanin is valuable than Gold and Diamonds.... and they don't have one...
Wanapata tabu sana wakiona ngozi nyeusi inadunda kwenye kila majaribio ya maabara zao...
God's Love.
Ikishatokea hali ya aina hiyo kwa kawaida huyo mtu aliyenusurika ataongeza umakini wa kujikinga kuliko hata inavyoshauriwaIla Mungu fundi, anaweza mwacha huyo mke huko mbele akaenda ubeba
Ila mara nyingi wanaume ndiyo huwa wabinafsi sana akiwa yeye hana.Ikishatokea hali ya aina hiyo kwa kawaida huyo mtu aliyenusurika ataongeza umakini wa kujikinga kuliko hata inavyoshauriwa
Sio kama namuombea hivyo, wanawake huwa wavumilivu sana. Mwanaume asikutwe nao halafu aendelee kuwepo mmmm hapo kuwe kuna Mungu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanini umuombee mwenzako hayo? Why do you want to judge na mkosaji unamjua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia nikwambie kama haushi kwenye hizi jamii basi jifunze, ndoa zina siri sana utakuta Baba hajiwezi kama ni kisukari Mama anamhudumia tu tumewaona wengi tuNani kasema. Naunajua sababu zinazomfanya mke abaki mara nyingi, ungejua wala usingeongea wala mtetea. Kizazi hiki hakuna mwanaume au mke aliyetayari kuteseka, so acha propaganda chief. Watu wameacha watoto sembuse wewe mgonjwa usiyetibika[emoji1787][emoji1787][emoji1787], zama hizo zimepita.
Sent using Jamii Forums mobile app