UKIMWI sasa baaaasi! Tujiachie tu mpaka shetani ashangae

Sikia nikwambie kama haushi kwenye hizi jamii basi jifunze, ndoa zina siri sana utakuta Baba hajiwezi kama ni kisukari Mama anamhudumia tu tumewaona wengi tu
Nimeishi na ninaishi kwenye jamii. Kipindi au kizazi hiki hakuna mwanamke msamaria mwema. Anaishi sikwasababu anataka bali hana pakwenda. Kipindi cha kumwona mwanamke ni mtakatifu au mwaminifu sana kilishaisha muda na waliobaki ni wazazi wetu ambao ni kizazi cha zamani sio sasa. Mwanamke simwema kama mumtambulishavyo na hana uvumilivu kama msemavyo, bali upendo kwa watoto wake hautaisha. So, nothing new. Jamii ndio hii, uvumilivu hsuna maana kama utamuumiza mwenzako kipsycholojia kwa maneno au vitendo vya dharau. Mke au mme si ndugu na tumeyaona, mnalindwa ili kulinda heshima yenu yaani ya mwanamke ila kuna vitu vingi mnavifanya. Tunaishi katika jamii hii hii nasimkoa mmoja so hakuna uvumilivu kwa mwanamke, msijiongopee sista.
 
Kama huwa unafanya ngono bila CONDOM na malaya unaowanunua Buguruni sio rahisi usiwe nao mpaka sasa, tena na mke wako pia utakuwa tayari umemuambukiza.
Hints zako za ki-conspiracy hazitakusaidia chochote, wahi ukaanze dozi ya ARV.
Naona unakwepa kwasabb huna facts and evidence.
 
Haya maswali yanadhihirisha wewe ni ngumbaru kabisa katika basic biology. O-level biology ilikuwa ni option katika shule uliyosoma au hata sekondari hujakanyaga??
Jibu maswali hayo hayo nikupelekee moto mbele na nyuma
 
KWA sisi tuliovuka age ya kujiachia hio dawa imekuja wakati usio muafaka. Maisha hayarudi nyuma.
 
Dozi kubwa mmo yaani miezi 6? Chanjo imeishia wapi?
 
Upotolo,
Wakishawauwa weusi hao Whites watajaishi Africa?
Why should they kill Africans? Wanataka nin ambacho kwa uwepo wa mtu mweusi wanakikosa...

Hiyo akili yako imevurugwa na mafundisho potofu,
SIKU ZOTE TAJIRI HAWEZI KUWAUWA MASIKINI kwan cheap labour na soko na dampo la bidhaa ni hao masikini
 
Sijui kuhusu 1 na 2 ila hiyo 3 ni ukweli. Ukimwi duniani upo sanasana Afrika tena Kusini mwa jangwa la Sahara
 
Nadhani mafundisho potofu kama unavyosema na tabia ya kutishika na Matamko ya Weupe ndio kunatufanya tuwe Duni na kuamini kwamba whites wana ajenda ya kutufuta weusi ktk uso wa dunia.
 
Sio kweli kuwa hakuna kipimo cha kuona virusi, PCR inahesabu mpaka idadi ya virusi (viral load count), na hizi zipo kwenye kila district hospital, ndio hitumika kujua HIV progress za waathirika wanaopokea matibabu

Pia hakuna suala la virus kutokuwepo kwenye blood circulation kama unavyoeleza, once HIV ipo kwenge CD4 cells siku zote itakua kwenye circulation mwili mzima. Ni viral load ndio inashuka hadi kufikia kiwango hiyo electronic machine (PCR) haiwezi kuhesabu kwa kuwa uwezo wake wa kuhesabu ni kuanzia idadi fulani

Viral load ikiwa ndogo (undetectable level) HIV haiwezi kusababisha AIDS sababu immune system level ambayo ndio hushambuliwa na HIV inakua juu kwa karibu sawasawa na mtu asiye na HIV
 
Uko sahihi mkuu ,kutokana na nature ya mbumbumbu niliokua namjibu ningeeingia ndani zaid mpaka kwenye PCR
Huko ningezid kumpoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…