robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 762
- 1,236
Kosoa kwa maelezo ili tunufaike. UKIMWI na COVID-19 vyote ni public health issues!hivi kweli we kichwani ni mzima?
Umeenda pembeni. Tunajadili wanaowaongoza waumini wao kukataa kondomu. Ni Gwajima, Masheikh, Mapadri, Maaskofu, n.k. Gwajima akikamatwa na wao wamatwe! Lakini pia tutauliza ilikuwaje wakaachwa miaka yote hiyo wakipinga?Yaani wakushike mborow yako wakuvishe ndomu sio?Mafutah yatakuhusu.
Wakwende zao hawa! Wanatafuta sifa za kijinga eti tumechanja wengi, US wametusifu sana, So what?Mararia inaua sana ila sijaona kampeni kali kama hii ya chanjo ya covid
Umesema 'Umeenda pembeni. Tunajadili wanaowaongoza waumini wao kukataa kondomu. Ni Gwajima, Mahseikh, Mapadri, Maaskofu, n.k. Gwajima akikamatwa na wao wamatwe! Lakini pia tutauliza ilikuwaje wakaachwa miaka yote hiyo wakipinga?
Pole boss! Hukutegemea kuulizwa hili? Au corona ni hatari kuliko UKIMWI?hivi kweli we kichwani ni mzima?
korona ni hatari kuliko ukimwi inaua ndani ya muda mfupiPole boss! Hukutegemea kuulizwa hili? Au corona ni hatari kuliko UKIMWI?
Waziri alishajifanya ni bingwa wa vituko na manjonjo! Kabinywa sehemu nyeti badala na kutafuta oxygen, kaanza mambo ya serikali mufilisi! Kamata huyo! Ziba mdomo!
anaelezea wapinzani wa condom, mbona serikali ipo kimya? Jikite humo mkuu, usibadiri topicYaani wakushike mborow yako wakuvishe ndomu sio?Mafutah yatakuhusu.
Wewe pia jikite kwenye kamata kamata inayoagizwa. Mbona wanaopinga kondomu miaka yote hawajawahi kamatwa? Tuache hadithi za sayansi ambazo rais itamchukuwa umri wake kuifahamu.Kuelimisha jamii ni jambo gumu sana.
Hili suala linatolewa ufafanuzi every now and then.. Ktk nafasi ya Mh Rais SSH kazi yake ni kuilinda jamii ya Kitanzania.. Kupitia chanjo, ambayo ndo njia ameichagua, ili uzuie maambuziki yasiendelee ktk jamii unatakiwa kuchoma watu wengi kadiri uwezavyo upto more than 60-70%.
Kila kwenye mkusanyiko wa watu 10, angalau watu 7 wawe wamechoma chanjo. Hapo hata kukiwa na mwenye COVID-19 infection, chance ya kuambukiza itakuwa ndogo sana cz kwenye huo mkusanyiko tayari watu wapo immunized.
Ila ukiwa na mkusanyiko ambao kati ya 10 ni watatu tu wapo vaccinated, chance ya kuambukiza ni kubwa.
Sijawahi sikia wapinga condoms Tanzania---Naomba ufafanuzi---Wewe pia jikite kwenye kamata kamata inayoagizwa. Mbona wanaopinga kondomu miaka yote hwajawahi kamatwa? Tuache hadithi za sayansi ambazo rais itamchukuwa umri wake kuifahamu.
Usilinganishe ukimwi na corona!Kosoa kwa maelezo ili tunufaike. UKIMWI na COVID-19 vyote ni public health issues!
Kutosikia ni matatizo yako binafsi.Sijawahi sikia wapinga condoms Tanzania---Naomba ufafanuzi---
Ninachofahamu, healrh facilities zote zilizopo chini ya kanisa katoliki zinagawa condoms.
Nifafanulie, ewe mtaalam!
Sayansi ya sayari gani hiyo?Usilinganishe ukimwi na corona!
Ukimwi unaweza kuukwepa kiaina! Kuanzia kanisani, msikitini, kwenye mikusanyiko....
Corona huna pakukwpea!