#COVID19 UKIMWI umeua Waafrika kuliko COVID-19; mbona haujalazimishwa kutumia kondomu, mbona viongozi wa dini wanapinga?

#COVID19 UKIMWI umeua Waafrika kuliko COVID-19; mbona haujalazimishwa kutumia kondomu, mbona viongozi wa dini wanapinga?

robinson crusoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2020
Posts
762
Reaction score
1,236
Nahisi viongozi wetu wana usahaulifu au uelewa usiolingana na wananchi wa nchi hii. Viongozi wa dini wamepinga matumizi ya kondomu miaka yote, lakini hatujawahi sikia serikali ikiagiza wakamatwe. Dini zote kubwa hapa nchini, hawataki kuruhusu waumini wao kutumia kondomu. Kosa la Gwajima lina tofauti gani na hao wengine?

UKIMWI unaua watu wengi Afrika hii na Tanzania yetu kuliko COVID-19. Kinga ikiwa ni matumizi ya kondomu. Kondomu zikapigwa vita hadhalani! Serikali hawa hawa! CCM hawa hawa! Hadi leo wameufyata! Nauliza swali kama la Gwajima, Chanjo ina manufaa gani kwa viongozi wetu kuliko barakoa?
 
Sasa, Mjadala umenoga!

Kweli! Tofauti ya kinga ya UKIMWI na COVID-19 ni ipi? magonjwa haya yote ni kirusi. Ukivaa kondomu unajikinga na kuwakinga wengine. Ukichanjwa unajikinga na kuwakinga wengine. Kwa nini Serikali ikamate wanaopinga chanjo ya corona lakini wanaopinga matumizi ya kondomu wao wana haki?
 
Umeenda pembeni. Tunajadili wanaowaongoza waumini wao kukataa kondomu. Ni Gwajima, Mahseikh, Mapadri, Maaskofu, n.k. Gwajima akikamatwa na wao wamatwe! Lakini pia tutauliza ilikuwaje wakaachwa miaka yote hiyo wakipinga?
Umesema '

Mbona haujalazimishwa kutumia kondomu".​

Ulitaka kulazimishwa kwa style gani?
 
hivi kweli we kichwani ni mzima?
Pole boss! Hukutegemea kuulizwa hili? Au corona ni hatari kuliko UKIMWI?
Waziri alishajifanya ni bingwa wa vituko na manjonjo! Kabinywa sehemu nyeti badala na kutafuta oxygen, kaanza mambo ya serikali mufilisi! Kamata huyo! Ziba mdomo!
 
korona ni hatari kuliko ukimwi inaua ndani ya muda mfupi
 
Kuelimisha jamii ni jambo gumu sana.
Hili suala linatolewa ufafanuzi every now and then.. Ktk nafasi ya Mh Rais SSH kazi yake ni kuilinda jamii ya Kitanzania.. Kupitia chanjo, ambayo ndo njia ameichagua, ili uzuie maambuziki yasiendelee ktk jamii unatakiwa kuchoma watu wengi kadiri uwezavyo upto more than 60-70%.

Kila kwenye mkusanyiko wa watu 10, angalau watu 7 wawe wamechoma chanjo. Hapo hata kukiwa na mwenye COVID-19 infection, chance ya kuambukiza itakuwa ndogo sana cz kwenye huo mkusanyiko tayari watu wapo immunized.
Ila ukiwa na mkusanyiko ambao kati ya 10 ni watatu tu wapo vaccinated, chance ya kuambukiza ni kubwa.
 
Wewe pia jikite kwenye kamata kamata inayoagizwa. Mbona wanaopinga kondomu miaka yote hawajawahi kamatwa? Tuache hadithi za sayansi ambazo rais itamchukuwa umri wake kuifahamu.
 
Vitabu vyote vitakatifu vimekataza Zinaa...hao viongozi wa dini waliipinga kondom kwa sababu ya kuchochea zinaa huku zinaa ikikatazwa na dini zao... walio kwenye ndoa ruksa tu kubanduana bila kondom ikiwa wote wazima...

Haya tuambie geneus, Kitabu gani kitakatifu au maandiko gani matakatifu ambayo yanauhusiano kuchochea dhambi kama watu wakichanja......
 
Wewe pia jikite kwenye kamata kamata inayoagizwa. Mbona wanaopinga kondomu miaka yote hwajawahi kamatwa? Tuache hadithi za sayansi ambazo rais itamchukuwa umri wake kuifahamu.
Sijawahi sikia wapinga condoms Tanzania---Naomba ufafanuzi---
Ninachofahamu, healrh facilities zote zilizopo chini ya kanisa katoliki zinagawa condoms.
Nifafanulie, ewe mtaalam!
 
Kosoa kwa maelezo ili tunufaike. UKIMWI na COVID-19 vyote ni public health issues!
Usilinganishe ukimwi na corona!
Ukimwi unaweza kuukwepa kiaina! Kuanzia kanisani, msikitini, kwenye mikusanyiko....
Corona huna pakukwpea!
 
Brother/madame uzima na ufufuo wanasemaje hapo

GWAJIMA, anasemaje anapinga kondom kweli siku hizi hua unamwona transformer (lusekolo) yale ndo matokeo ya upinga kondom, kondom sisi wastarabu nilazima tuendelee kuzitumia huwezi Acha mchepuko, ni kweli covid na ukimwi yanaangukia kwenye faragha lakini muhimu ulinde afya
 
Sijawahi sikia wapinga condoms Tanzania---Naomba ufafanuzi---
Ninachofahamu, healrh facilities zote zilizopo chini ya kanisa katoliki zinagawa condoms.
Nifafanulie, ewe mtaalam!
Kutosikia ni matatizo yako binafsi.
Kama huna taarifa za msimamo wa kanisa katoliki na makanisa mengine, kaa kimya! Hakuna kiongozi wa dini aliyewahi kubali kondomu kwa waumini wake. Wao binafsi wanatumia, lakini makanisani kama anavyofanya Gwajima walishakataa.
 
Usilinganishe ukimwi na corona!
Ukimwi unaweza kuukwepa kiaina! Kuanzia kanisani, msikitini, kwenye mikusanyiko....
Corona huna pakukwpea!
Sayansi ya sayari gani hiyo?
 
Back
Top Bottom