Ukimwi unaniuwa kwa haraka jamani

hivi huyu sio yule alikuja na stori kafiwa na mkewe ili aonewe huruma na wanawake wa humu?mie hizi drama za humu siziwezo...lol:yo:
 
Ukienda hospitali waambie wakufanyie elisa test. Hii inaweza kutambua maambukizi hadi ya masaa 32. Magomeni kuna hospitali wana hicho kipimo, sina uhakika wapi. Agha khan nadhani watakuwa nacho.

Elisa test haiwezi kuonyesha results kwa hiyo time frame,thats why anaonekana bado hana kitu kwa kuwa yenyewe inaangalia antibodies,ila PCR(Polymerase Chain Reaction) inaweza kuonyesha hata kama ni few days but ni expensive na si hospital zote wana machine hizo.
 

U r done!! Asipouchukua huu ushauri imekula kwake!!
 
Jmn pole, vumilia hyo miez 3 ipite huku ukijipa moyo na kusali
 
hivi huyu sio yule alikuja na stori kafiwa na mkewe ili aonewe huruma na wanawake wa humu?mie hizi drama za humu siziwezo...lol:yo:

Ungetoa link tungeconfirm...ila kumbuka this is JF bhana
 
hivi huyu sio yule alikuja na stori kafiwa na mkewe ili aonewe huruma na wanawake wa humu?mie hizi drama za humu siziwezo...lol:yo:

Hapana ndugu.
Hii ni post yake ya kwanza,anaonekana amejiunga leo tu. Tatizo ninaloona kwake ni kwamba,mbona amepost kisha amejiweka pembeni kimya? Hakuna response tena.
 
China kuna watu walishawahi kuugua na kuoneesha dalili zote za ngome,lakini walikuwa kila wakipiMwa ni negative.Wataalam wanasema Ukiwa unawaza kuwa umeambukizwa ukimwi bila kupima,na mawazo hayo yakaendelea kwa muda wa mwezi mzima,UTAANZA KUUGUA DALILI ZOTE ZA NGOMA HAPA CHINI,kumbuka hizi ni dalili za HIV na sio AIDS.
  • Lack of energy
  • Weight loss
  • Frequent fevers and sweats
  • Persistent or frequent yeast infections
  • Persistent skin rashes or flaky skin
  • Short-term memory loss
  • Mouth, genital, or anal sores from herpes infections.
 
Mkuu Tuko PEP kwa kirefu ni POST EXPOSURE PROPHYLAXIS ni mchakato unaohusisha kupewa dawa za kuzuia maambukizi ya virusi vinavyosababisha ukimwi haraka iwezekananyo pale mtu anapokuwa amekuwa exposed na either maji maji ya mwili,damu,au mtu kabakwa na mtu au watu wanaodhaniwa wameathirika,au kwa kushiriki ngono isio salama na mtu ambaye ameathirika,lakini inatakiwa iwe ndani ya masaa 72 yaani siku 3 toka mtu amekuwa exposed.
 

We unaumwa zaidi saikplojia... acha uoga. Zaidi ya 55% ya wanaume wanaofanya mapenz na wanawake waathirika kwa mara moja hawapati maambukizi. Hii ina maana kuwa una 55% probability ya kuwa hujaathirika. Pili, hata kama umeathirika, una zaidi ya miaka 5 kabla hujaanza kupata magonjwa nyemelezi (CD4 kushuka sana). Tatu, hata baada ya CD4 kushuka sana, una zaidi ya miaka 15 ya kuwa na afya njema kwa kutumia ARVs.

Kwa hiyo, Kwanza 55% kuwa hujaathirika, pili, miaka 5 kabla hujaugua, tatu miaka 15 au zaidi ya kuishi na afya kwa ARV..
miaka 5+15=20... hiyo ni minimum... ina maana hata kama kwa bahati mbaya uliambukizwa, una zaidi ya miaka 20 ya kuishi. Hivi hadi miaka 20 ijayo, tiba ya HIV itakuwa haijapatikana kwa kweli? Mi nadhani itakuwa imepatikana...

So, ondoa hofu mdogo wangu... miaka 20 inakutosha kutimiza ndoto zako zote za maisha. By the way unaweza shangaa hata kama usingeathirika na HIV, ndani ya hiyo miaka 20 (au zaidi, maana tafiti zinazidi kugundua dawa imara kila zaidi kila siku), ungekufa labda kwa moyo, cancer au ajali... so kifo kipo tu hata usingeambukizwa...

In addition, kwa nchi zilizoendelea kama ulaya wanatumia 3rd generation ya HIV, inayompa mtu uhakika wa kuishi zaidi ya miaka 40 baada ya kuathirika. Kwa Tanzania kwa sasa tunatumia ARV duni kwa sababu ya ukata wa serikali. Hata hivyo ARV hizo bora zimeanza kushuka bei huko duniani, na bila shaka ndani ya miaka michache, Tz itaanza kuzitumia, na utahakikishiwa kuishi hadi miaka 50 kutoka sasa... Sasa mdogo wangu una miaka mingapi sasa hivi... kama utaishi miaka 50 ijayo, kuna haja ya wewe kuwa na wasiwasi?

Nikuambie kitu... kama unasoma, au unafanya kazi, basi fanya bidii ili baadae uwe na ela ya kutosha kula na kugharamia dawa. Pia kama unasoma, soma kwa bidii ili baadae usilazimike kufanya kazi ngumu na hatarishi, zitakazoyaweka maisha yako hatarini...

Sawa e? Dont worry... wengi unaowaona humu, au huko uliko wanacheka, wanaishi kwa furaha ni waathirika, but hawana wasiwasi na wanaishi maisha mazuri na yenye afya zaidi ya maelfu ya wengine ambao hawajaathirika...

Lastly... Why worry if you can pray? Mungu wako hawezi kukuadhibu na kukutelekeza kwa dhambi moja bana... kula maisha... nothing has changed in you

By the way we ni mzima... hujaathirika...
 
Vipimo vipo ambavyo vinaweza pima hata kama umepata within 72hrs. Mfano PCR. Vipimo hvi hufanya kwa special request mfano kwa watoto below 18 months. Zinapatikana in all referal hospitals mfano Muhimbili, mbeya Bugando. KCMC
 
Hiyo ni panic tu,na usipoacha utaisha zaid ya mwenye nao
 
Yaani mwezi mmoja tu uanze kupata magonjwa nyemelezi?!!.
Wewe utakua umepanick.

The fact is negative emotions of worry, fear, anger etc when matured and chronic has an ability to transform into Emotional Parasites which are deadly than HIV in demolishing Immunity ... so hizo panic na mihemko ...?
 
sasa Tuko PEP watu wanajua ni nini?? ielezee bana.

Namshukuru mkuu Ngahekapahi hapo juu kailezea vizuri sana...

Niliwahi kumtania dk mmoja kuwa kama PEP inasaidi, then mtu ukisex labda katika mazingira ambayo hukujikinga (hasa ulevi), je unaweza kwenda hospitalini kesho yake ukapewa... akacheka, akasema ukipewa itakusaidia, but sio rahisi kwa madaktari wa kibongo kukuelewa...

Nadhani kuna haja ARV zianze kuuzwa pharmacy kama aspirin...
 
Last edited by a moderator:

mludie na mkili mungu kama arivyokushauli mkuu hapa
 
sasa Tuko PEP watu wanajua ni nini?? ielezee bana.

Namshukuru mkuu Ngahekapahi hapo juu kailezea vizuri sana...

Niliwahi kumtania dk mmoja kuwa kama PEP inasaidi, then mtu ukisex labda katika mazingira ambayo hukujikinga (hasa ulevi), je unaweza kwenda hospitalini kesho yake ukapewa... akacheka, akasema ukipewa itakusaidia, but sio rahisi kwa madaktari wa kibongo kukuelewa...

Nadhani kuna haja ARV zianze kuuzwa pharmacy kama aspirin...
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni panic tu,na usipoacha utaisha zaid ya mwenye nao

Mkuu hili neno kubwa .. woga, shaka na hisia kama hizi ni hypnotic emotions, they r magnetic to what caused them .. once ukisha beba huu mzigo immune system haipumziki inajitahidi kuondoa hiyo complex na haitaweza .... finaly itaangamia yenyewe .. hene tota emmune shut down! ... hapo hujagusa effect ya HIV ...!
 

Amen..Huyu itakuwa ni hofu inammaliza
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…