Vijana wenye ndoto pia wanaambukizwa ukimwi na mishangazi yenye pesa zao kwa kupenda vitonga na wao kuwaambukiza wadada wadogo wenye ndoto zaoWadada wanaambukizwa na wastaafu kwa tamaa zao na kuwaletea vijna wadogo wenye ndoto lukuki[emoji24][emoji24][emoji24]
Sure ila hilo wimbi ni dogoVijana wenye ndoto pia wanaambukizwa ukimwi na mishangazi yenye pesa zao kwa kupenda vitonga na wao kuwaambukiza wadada wadogo wenye ndoto zao
Sawa,Ukiwa unatumia vilainishi ni ngumu sana kupata maambukizi maana hakuna michubuko
Aiseeee kumbe Kuna makundi ya dawa,Hii inatokana na dawa kukukataa
Huwa kuna aina tatu za dawa
Wanakupa ya kwanza ikikataa wanakupa ya pili ikikataa
Wanakupa ya tatu nafikil hii ya tatu ndio balaa coz unameza mara mbili kwa siku kwa hiyo hizo dawa zikigoma zote tatu hapo ndio basi tena unasubili kupata Ukimwi na kufa
Hii inatokana na Virusi kujenga usugu wa dawa. Kisayansi virusi vinapojenga usugu dhidi ya dawa za ARv maana yake ni kuwa hazitaweza tena kupambana na VVU hivyo kuendelea kuzaliana na kinga za mgonjwa CD4 kushuka na hatimaye ataanza kupata magonjwa nyemelezi.Sawa,
Aiseeee kumbe Kuna makundi ya dawa,
Asante mkuu kwa darasa.
Vipi inakuwaje kundi la kwanza la dawa labda kukataa mtu?
Duuuuuh hatari sana,Hii inatokana na Virusi kujenga usugu wa dawa. Kisayansi virusi vinapojenga usugu dhidi ya dawa za ARv maana yake ni kuwa hazitaweza tena kupambana na VVU hivyo kuendelea kuzaliana na kinga za mgonjwa CD4 kushuka na hatimaye ataanza kupata magonjwa nyemelezi.
Sasa virusi vinajengaje usugu??
Kumbuka hizi ARV hazifanyi mtu apone bali zinaingilia kati mfumo wa kuzaliana kwa virusi inapotekea Mviu akawa hatumii dawa kwa usahihi kwa mfano dawa unameza leo saa 12 asubuhi kesho saa 6 mchana unatoa muda wa kirusi kujibadilisha kwa ule muda ambao dawa haipo kwa ajili ya kujijengea mazingira ya kuishi hivyo ukija kutumia dawa haitibu kwa kuwa kirusi kimejibalisha tayali
Sasa unapokutana na mtu mwenye Ukimwi ambae kirusi chake kimejenga usugu wa dawa akakuambukiza VVU maana yake utaambukizwa aina ya virusi ambavyo tayali vimejenga usugu wa dawa hivyo ukapewa dawa aina ya kwanza (first line) haitokusaidia itabidi ubadilishiwe dawa upewe ya pili
Na bado kuna watu huwa inatokea hata dawa ya pili inagoma usiombe yakupate haya.
KabisaTiba??[emoji2962][emoji2962]
hapa mdau kashaona fursa ya kufa kufaana anataka apige watu walio desperate kutaka uzima
kuna mtu atanyooshwa sasaivi
Inafaa kama anatumia dawa awe muwazi kwa wengine sababu mtu anayetumia dawa vizuri na kama ameshaanza kutumia kuanzia miezi sita na zaidi huyu viral load inakuwa chini so inakuwa ni ngumu kuambukizaDuuuuuh hatari sana,
Inaonekana mtumiaji wa dawa za ARV anapaswa asiwe ile kwamba aanze kusex na kila mtu ili kukomoa na wengine.
Mbona vile vidude vya kupima ukimwi vinauzwa bei rahisi sana mkuuWale tusiopenda kupima tupo tunawazoom tu, jitu oga kupima ni mm sshv natak nitulie kbs had nitakapooa jmn
Ngoj nivinunue tu na mmMbona vile vidude vya kupima ukimwi vinauzwa bei rahisi sana mkuu
Kwani vinauzwa shingapi nduguMbona vile vidude vya kupima ukimwi vinauzwa bei rahisi sana mkuu
Huyo wa kukutana nae kwa mara ya kwanza at least angetumia kinga.Angel,
Hata ukimjua mtu, bado haina maana hawezi kukupa. Yaani ngoma is very technical, niambie wewe unamjuaje huyo wako, na mnakulana kavu. Una uhakika gani hachapi nje.
HIV I very technical, huwezi kuhukumu kirahisi hivyo.
Mkuu mwambie anitafute mimi kwa wakati wake ili niweze kumtibia apate kupona maradhi yake ya ukimwi.UKIMWI upo ndugu zangu, nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.
Tuwe makini na wadada.