UKIMWI upo ndugu zangu

UKIMWI upo ndugu zangu

Ukiwa unatumia vilainishi ni ngumu sana kupata maambukizi maana hakuna michubuko
Sawa,
Hii inatokana na dawa kukukataa
Huwa kuna aina tatu za dawa
Wanakupa ya kwanza ikikataa wanakupa ya pili ikikataa
Wanakupa ya tatu nafikil hii ya tatu ndio balaa coz unameza mara mbili kwa siku kwa hiyo hizo dawa zikigoma zote tatu hapo ndio basi tena unasubili kupata Ukimwi na kufa
Aiseeee kumbe Kuna makundi ya dawa,
Asante mkuu kwa darasa.
Vipi inakuwaje kundi la kwanza la dawa labda kukataa mtu?
 
Hivi yule aliyejinyonga karibu na yombo 4 someone Njelekela miaka iliyopita na yeye si ilikuwa shida hii!

Na huyu aangaliwe vizuri.
 
Afannye afanye mazoezi na ale matunda sana...Itamsaidia.
 
Sawa,

Aiseeee kumbe Kuna makundi ya dawa,
Asante mkuu kwa darasa.
Vipi inakuwaje kundi la kwanza la dawa labda kukataa mtu?
Hii inatokana na Virusi kujenga usugu wa dawa. Kisayansi virusi vinapojenga usugu dhidi ya dawa za ARv maana yake ni kuwa hazitaweza tena kupambana na VVU hivyo kuendelea kuzaliana na kinga za mgonjwa CD4 kushuka na hatimaye ataanza kupata magonjwa nyemelezi.

Sasa virusi vinajengaje usugu??
Kumbuka hizi ARV hazifanyi mtu apone bali zinaingilia kati mfumo wa kuzaliana kwa virusi inapotekea Mviu akawa hatumii dawa kwa usahihi kwa mfano dawa unameza leo saa 12 asubuhi kesho saa 6 mchana unatoa muda wa kirusi kujibadilisha kwa ule muda ambao dawa haipo kwa ajili ya kujijengea mazingira ya kuishi hivyo ukija kutumia dawa haitibu kwa kuwa kirusi kimejibalisha tayali

Sasa unapokutana na mtu mwenye Ukimwi ambae kirusi chake kimejenga usugu wa dawa akakuambukiza VVU maana yake utaambukizwa aina ya virusi ambavyo tayali vimejenga usugu wa dawa hivyo ukapewa dawa aina ya kwanza (first line) haitokusaidia itabidi ubadilishiwe dawa upewe ya pili
Na bado kuna watu huwa inatokea hata dawa ya pili inagoma usiombe yakupate haya.
 
Duuuuuh hatari sana,
Inaonekana mtumiaji wa dawa za ARV anapaswa asiwe ile kwamba aanze kusex na kila mtu ili kukomoa na wengine.
 
UKIMWI - sio kila anayepatikana na ugonjwa huo Ana HIV sasa kinachomliza ni nini??? Yaani kuwa na upungufu wa kinga mwilini basi anaona amekufa!!!
 
Duuuuuh hatari sana,
Inaonekana mtumiaji wa dawa za ARV anapaswa asiwe ile kwamba aanze kusex na kila mtu ili kukomoa na wengine.
Inafaa kama anatumia dawa awe muwazi kwa wengine sababu mtu anayetumia dawa vizuri na kama ameshaanza kutumia kuanzia miezi sita na zaidi huyu viral load inakuwa chini so inakuwa ni ngumu kuambukiza
 
Hana busi kukubaliana na hali halisi maana ndio imeshakuwa hivyo !! Asonge mbele kwa utulivu bila kusahau kuanza matumizi ya dawa husika......kama TLD/Tenofovir+Lamivudine+Dolutegravir.
 
Wale tusiopenda kupima tupo tunawazoom tu, jitu oga kupima ni mm sshv natak nitulie kbs had nitakapooa jmn
 
Watu wengi mnareply mada hii kwa kejeli sana.Lkn hatujui mazingira yaliyopelekea ndugu yetu kupata maambukizi,inawezekana kwa mazingira hayo hata sisi tungeweza kuathirika pia,lkn kwa Huruma ya Mungu tupo salama.Tusijione wajanja au wenye akili sana kwa kuwa wazima,bali tuwahurumie,tuwaombee na tuwafariji wenzetu waliokumbwa na mkasa huo.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Huna ana matatizo yaani kwa Larne hii ulie kwasababu ya ukimwi, siku kuna ma homa ya ini, mara figo na kisukari hayo ndo yanatisha
 
Angel,
Hata ukimjua mtu, bado haina maana hawezi kukupa. Yaani ngoma is very technical, niambie wewe unamjuaje huyo wako, na mnakulana kavu. Una uhakika gani hachapi nje.

HIV I very technical, huwezi kuhukumu kirahisi hivyo.
Huyo wa kukutana nae kwa mara ya kwanza at least angetumia kinga.
Ila kwa mtu wako hakuna namna km kaamua kukucheat...lkn pia kuna haja ya kujenga utaratibu w kupima. Just ushauri tu ingawa tunaishi kwa kuaminiana sana bila ya kujua kila mmoja ana dhamira gani kwa mwenziwe
 
UKIMWI upo ndugu zangu, nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.

Tuwe makini na wadada.
Mkuu mwambie anitafute mimi kwa wakati wake ili niweze kumtibia apate kupona maradhi yake ya ukimwi.
Dr Sebi Tells How He Cures A.I.D.S

View:
 
Back
Top Bottom