UKIMWI upo ndugu zangu


 
Ukimwi upo ndugu zangu nimetoka kumpeleka Rafiki yangu tupo chuo mwaka wa TATU ameathirika aisie analia mpka basi amekataa tamaa , tuwe maskini na wadada wanachukua kwa masponser
Ilikuwaje mpaka ukampeleka alizidiwa na homa? Au kwa hiari yake aliamua kwenda kupima akiwa mzima wa afya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…