tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Upo chuo mwaka wa tatu halafu unaandika kama hivi mkuu? Unasoma chuo gani na kozi gani?Ukimwi upo ndugu zangu nimetoka kumpeleka Rafiki yangu tupo chuo mwaka wa TATU ameathirika aisie analia mpka basi amekataa tamaa , tuwe maskini na wadada wanachukua kwa masponser