UKIMWI upo ndugu zangu

UKIMWI upo ndugu zangu

Madogo kuweni makini na huo ugonjwa, kama hamfuatilii taarifa hiyo mikoa chini hapo ndio yenye idadi ya vyuo vingi.

Mikoa hiyo mpaka leo inaongoza kwa maambuziki, wakati kule Njombe yamepungua.

Kuweni makini sana ndugu zangu, someni sana Taifa linawahitaji kuja kuwatoa CCM madarakani.

Screenshot_20240306-173820.png
 
Mtoto wa mjini kabisa akimtongoza mdada akatai
Shida sio kutokukubaliwa na madem shida ni ukosekanaj wa umakini na kulewa sifa, kuna mwingine akiona anapendwa na madem bas anageuza kutom...b ndo kaz yake
 
Back
Top Bottom