UKIMWI upo ndugu zangu

UKIMWI upo ndugu zangu

Hakuna kidume hajawahi kuingia kwenye situation kama hii, ilinitokea Niko chuo last year, nilipopanga walikuja kupanga madanga wakali mnoo.
Mmoja wao aliamua kunipongeza easy tu.
Kama siku tatu hv nikakumbuka kumpima uzur vipimo nlikua navyo, Cha ajab alikataa tena kwa msisitizo mkali sana(kwakufoka) hii ilinipanikisha mno.

Nilikonda sana na overstress japo mungu alininusuru tu dadek.
 
Sio poa
 
Serikali inajitahidi kutoa matangazo daily, vijana mjikinge, gonjwa bado lipo. Asie sikia la mkuu huvunjika guu, nampa pole, mtie moyo sana, azingatie tu matibabu
Unakuta ndiyo msomi wa ukoo ukoo ulijichanga nenda kasome lakini akaenda kuvuna kifo.

Ni huzuni sana na Tanzania hii isiyokuwa na ajira kijana aliyekuwa na malengo yake baada ya kuhitimu kuja kuishi akiwa guaranteed kwamba muda wowote ataumwa au atakufa huku akiwa ajira hana wala kibarua cha kudumu hana.
 
Back
Top Bottom