UKIMWI upo ndugu zangu

UKIMWI upo ndugu zangu

Nyie kenge tukiwaambia ukimwi upo hamsikii mnataka kushindana na mlipotoka..!!
Demu humjui unataka ukamie show umuonyeshe we kidume haya sasa dj tusindikize na Amapiano la kizombi 😂😂😂🤣

Weeee kmmk
Kwanini husomi
Mpaka usomewe
Ngono sio salama
Jitahidi usome…….. oyooooooo..!!!🤸‍♀️
Hahaha mkuu usiseme Ivyo
 
Kwani wewe hapo una guarantee au unajua siku zako, sio kwamba ni muda wowote unaweza kufa? Ninaye shangazi yangu alikutwa na ngoma toka nikiwa primary ila mpaka leo bado yupo, huku ndugu kadhaa na uzima wao tulishawazika
Wala shida sio hiyo. Shida ni ile stigma unayo kuwa nayo ndani ya nafsi yako.

Kumeza vidonge kila siku sio kazi ndogo
 
Ukimwi upo ndugu zangu nimetoka kumpeleka Rafiki yangu tupo chuo mwaka wa TATU ameathirika, aisie analia mpaka basi amekata tamaa. Tuwe makini na wadada wanachukua kwa masponser.
Mwambie anaweza sasa kugegeda kwa uhuru bila hofu ya kupata hiv🤣🤣🤣🤣🤣
Ni mwendo wa kuwapelekea moto wadada tuu sasa
 
Back
Top Bottom