UKIMWI upo ndugu zangu

UKIMWI upo ndugu zangu

Great YHC usahili wa uhamiaji umepita??

Na ulifikaje chuo kikuu cha Dar es salaam??

Siku nyingine ukiwa unataka kuleta thread humu ndani, andika kwa kutulia, cooldown your pressure, hariri andiko lako ili kuondoa sintofahamu.
 
Nyie kenge tukiwaambia ukimwi upo hamsikii mnataka kushindana na mlipotoka..!!
Demu humjui unataka ukamie show umuonyeshe we kidume haya sasa dj tusindikize na Amapiano la kizombi 😂😂😂🤣

Weeee kmmk
Kwanini husomi
Mpaka usomewe
Ngono sio salama
Jitahidi usome…….. oyooooooo..!!!🤸‍♀️
Mtu humjui unapiga kavkav
 
Nimepata wazo jipya.... Kama wewe unaukimwi na umekata tamaa njoo zako pm kwa speed (Mwezi mtukufu upo mbele hapo,,,, huenda meza ikapinduka ndani ya mwezi mmoja)

Ntakupatia njia salama kabisa.... N muongozo wa kiibada pekee!!! Pia ntakupatia siri ya kuwa karibu na Allah halafu kwenye ule usiku wa lailatul qadr ntakuombea uzima kwa mwenyez Mungu!!!
Trust me unapona kabisa..... Ninahakika na nnachokiongea!!!

Note: Ramadhan yote mm ntajitaahd kujitenga na maaswi kwa kukaa sehem moja siku zote 30 nikifanya ibada na nyirad zangu(watu wa twariqa tunaita chimbo)


If you have a solution then good luck...... Kuliko kukaa na kulia bila sabb kwanini usifate njia yangu (note: dozi utaendelea nazo Kama kawaida ili uwe na amani)

Halafu huduma n free kabisa
 
Mwambie atulie maisha yataenda tu, watu tunaishi nao tangu 2000 wanakula dawa tu, na maisha yako vizuri. Wanazaa watoto na kulea watoto bila shida yoyote. Jioni mnakutana baa mnagonga mbili tatu bila shida yoyote. Mwambie akubali matokeo na asonge mbele, hiyo sio issue tena miaka hii, ikikupata kubali tu matokeo.
 
Mtu unajua kabisa ukipimwa ukakutwa nao utalia na utakata tamaa na utachanganyikiwa halafu unapima.
 
Back
Top Bottom