- Thread starter
- #121
Mungu atusaidieUnakuta ndiyo msomi wa ukoo ukoo ulijichanga nenda kasome lakini akaenda kuvuna kifo.
Ni huzuni sana na Tanzania hii isiyokuwa na ajira kijana aliyekuwa na malengo yake baada ya kuhitimu kuja kuishi akiwa guaranteed kwamba muda wowote ataumwa au atakufa huku akiwa ajira hana wala kibarua.