monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sibebagi vibaka wa chuo 😂😂😂Ulikamiwa nn? mbona unawapa vidonge vichungu hawa😅😅
Kiongoz mbona umekomaa sana na uandishi .si wote wamesoma hkl kaka.Upo chuo mwaka wa tatu halafu unaandika kama hivi mkuu? Unasoma chuo gani na kozi gani?
Yan mungu apange wew ufe na ngoma?ili iweje,hebu tumien akil ndugu zangu..hii dunia bila kutumia akil ndo matatzo kama haya sasa...unaukwaa kizembe kwa utamu wa dk kadhaaKuna mipango ya Mungu
😅😅😅Sio bure kuna walakini baadae utawap kidonge kipyaMi sibebagi vibaka wa chuo 😂😂😂
Wakat nipo udsm 2014 namaliza chuo..kuna wana wawil walikuwa ni viwembe balaa..wote wanatokea moshi,..hao walikua wanahadithia kabisa jinsi wanavyowala mademu ambiance na ma baa medi..na wao ni kutwa kushinda sinza na survey na mabaa ya mwenge pale.kitimoto kwa sana na gambe...kuna mmoja nilianza ona afya yake ina dorora nkasema tayar,nilikua nimewapita darasa moja.Washkaji walimtonya demu anaukimwi
Hili ndio tatizo la waafrika, huku ulaya kondom kwenye kumbato ni kama jembe kwenye kulima. Yaani hakuna demu utambato kavu labda mkubaliane kupata watoto na kuanzisha familia.Kwani kupata hiv kuna ujanja au ushamba mkuu? Ngoma anapata yoyote, awe mwaminifu anakutana na asiye mwaminifu...anapata.
Huwezi kutumia kinga kila mara, huwezi kuwa unapima kila mara.
Hakuna mwenye guarantee ya kutopata huu ugonjwa.
Mpe ushauri maisha yanaendelea. Ukimwi wa sasa umepungua nguvu hivyo ataishi miaka mingi tu akifuata ushauri wa madaktari.UKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi
ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.
Tuwe makini na wadada.
Ulishakunywa dawa mfululizo wewe! Unajua madhara ya ARV wewe. Acheni kuongea kindezi. Hizi dawa zinafubaza si kutibu. Nakushangaa unaposema ukimwi si tatizo. Ukimwi ni tatizo kubwa.Sina lakini hizi dawa wanazopewa zinawasaidia sana
mzee unatibu ukimwi halafu upo kimya husemi?Mwambie anitafute mimi ili nipate kumtibia asikate tamaa wakati dawa ipo ya kutibu maradhi ya ukimwi auguwe pole zake.
Mshkaji wako alibakwa?Anayemuhisi kuna demu tunasoma nae mwaka wa TATU
Si kweli kabisa mkuu, unaweza ishi vizuri kabisa tena bila ya changamoto zozote za kiafya hata kwa miaka 40 mbele. Kuna watu nawajua walipima tangu miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni, mpaka leo wako poa na hawaifichi hali yao ingawa kunyanyapaliwa bado kupo sana. Tatizo ukiamua kujificha, hautumii dawa ipasavyo, lishe duni n.k lazima uondoke mapema.Shida sio utakufa lini. Ni ule uhakika kwamba muda wowote unaweza kufa.
Ukimwi ni death sentensi hata kama hutakufa kesho
mkuu kuna raha yake kula mbususu pekuvijana wa hovyo bado mnakulana peku tu maamayeeer mtajuta umbwa nyie , mliambiwa vitoto vya miaka ya 2000 hamna kitu hamsikii mnavinywea energy tu sasa ndio madhara yake hayo.
ni rafiki yako kweli au ni wewe mwenyeweUKIMWI upo ndugu zangu , nimetoka kumpeleka rafiki yangu hospital kupima ukimwi , ameathirika aisee , analia mpaka basi, amekata tamaa.
Tuwe makini na wadada.