Ukimya huu mkubwa wa Waziri wa Madini Dotto Biteko unanipa sana Mashaka!

Ukimya huu mkubwa wa Waziri wa Madini Dotto Biteko unanipa sana Mashaka!

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Viongozi wa dini husema ukijua umefanya dhambi moja kubwa sana hapa duniani basi jitahidi utubu na usali mno kabla Mwenyezi Mungu hajakuita mazima.
 
Ifike wakat tuelewe sio lazma tuwe wote wanasiasa mi nadhan inatosha wengne tuwe mashabiki tu....wenye hekima wanaiacha pumbavu hawaambiliki
 
Aseme nini sasa wakati nae anapokea order kutoka juu?

Hata hiyo yupo, majuzi tu niliona karani akimuhesabu.
 
Siku ambayo magu alitoweka mambo yote yakarudi upigaji unaendelea mpaka wamepga hela hata bajeti haitoshi sasa wanaleta kodi za kipuuzi kwa watu masikin ili wao wapate ulaji haya tusubili na hii sensa ikiisha kuna kodi zinakuja
img_1_1661003457219.jpg
kama mbili hivi.
 
Siku ambayo magu alitoweka mambo yote yakarudi upigaji unaendelea mpaka wamepga hela hata bajeti haitoshi sasa wanaleta kodi za kipuuzi kwa watu masikin ili wao wapate ulaji haya tusubili na hii sensa ikiisha kuna kodi zinakuja View attachment 2336136 kama mbili hivi.
Dunia ilipofika ukikamata wadhifa halafu usijitengenezee misingi ya kuishi vizuri wewe na wajukuu zako utakuwa boya. Dunia na vyoye viijazavyo ni mali ya nani? Mmepewa mvitumie. Duniani hapa hakuna atakaye kuletea ugali mlangoni kwako kila mtu kwa nafasi yake anapambana kuimarisha misuli ya uchumi wake na familia yake na vizazi vyake vijavyo. Usihadaiwe na maneno ya uzalendo sijui wananchi wangu wanyonge n.k
Nani aliwanyonga?
 
Viongozi wa dini husema ukijua umefanya dhambi moja kubwa sana hapa duniani basi jitahidi utubu na usali mno kabla Mwenyezi Mungu hajakuita mazima.
Mbona yupo anaendelea na majukumu yake Jimboni kwake??
 
Back
Top Bottom