Ukimya wa familia ya Nchimbi unashangaza

thegreat1510

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,523
Reaction score
4,040
Nawaza huenda walikuwa wameweka mizizi mirefu sana ya upigaji, Kuharibu kwa Nchimbi ni pigo kwa familia yake na watu wake kwa ujumla, si mke wala watoto.

Katika hali ya kawaida ni ngumu kupambaniwa kama watu wako wa karibu wapo kimya,
Wanakuwa vulnerable sana kuzuiwa kwasababu wana vingi vya kupoteza kukupazia sauti.
 
Sasa kama alikuwa anaishi ndani ya nyumba ya serikali chini umya ulinzi wa serikali geti kali familia yake hata mwandishi wa habari haruhusiwi kuingia kwenda kuhoji (ulinzi umeimarishwa )na wao pia huenda hawajamwona baba %ndugu yao na hawajui wanzie kusemea wapi ..
Yaani familia inaishi kama samaki baharini..kula alitaka kuongea nanajikuta ana maji mdomoni
 
Picha linaanza mdogo wake Emmanuel Nchimbi, John Nchimbi, ni Mbunge wa Nyasa kwa tiketi ya CCM.
 
Wanasiasa wanapata pesa za bure , yaani hawatumii nguvu ndio maana wanatoka tu vitambi , yaani hata akiumwa hatoi pesa yake ,kila ziara ya kikazi ni pesa tu.

Mtu wa hivyo siku akikatiww mirija lazima apotee kwa muda .
 
Tatizo mnachukulia poa maisha ya familia za viongozi hasa wale watatu wajuu

Hivi unadhani circle ya nchimbi wana njaa..?, vipi kama wanajua baba yao alipo

Siyo rahisi watoto au ndugu wa "aliyekuwa" vice president wawe hohehae, ni hivi wanajua ukweli na wapo sehemu nzuri kwa ustawi wa familia zao

Wengi wanaopiga kelele kuuliza nchimbi blah blah hawajui lolote na hilo haliwasumbui familia ya bwana EN.
 
Exactly 💯
 
Polepole alisema alikua ni mwanamtandao sio?

Halafu mbona watu wa CCM wanachama wenzake hatuoni wakilalama ?

Wanalalama watu wa upinzani?
Sio kila mambo aliyosema Polepole ni ya kweli.
Polepole alikuwa mfuasi wa JPM aliyekunywa maji ya bendera na hakuwa anaelewa mtu yeyote aliyejaribu kumkosoa JPM kama alivyofanya Nchimbi.
 
Sasa kama alikuwa anaishi ndani ya nyumba ya serikali chini umya ulinzi wa serikali geti kali familia yake hata mwandishi wa habari haruhusiwi kuingia kwenda kuhoji (ulinzi umeimarishwa )na wao pia huenda hawajamwona baba %ndugu yao na hawajui wanzie kusemea wapi ..
Yaani familia inaishi kama samaki baharini..kula alitaka kuongea nanajikuta ana maji mdomoni
Hakuna mwandishi wala media yoyote Tanzania yenye ujasiri wa kuhoji lolote, juu ya demokrasia, uhuru wa kujieleza, mauaji, rushwa, kuteka,, Katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi.

Inaitwa "mkubwa akiongea mtoto funga mdomo"
 
Sio kila mambo aliyosema Polepole ni ya kweli.
Polepole alikuwa mfuasi wa JPM aliyekunywa maji ya bendera na hakuwa anaelewa mtu yeyote aliyejaribu kumkosoa JPM kama alivyofanya Nchimbi.
Basi kama ni hivyo acha wasokotane

Ni kama mnajipa sana umuhimu hasa kwa huyo Ima heri hata Polepole alikua kama ametubu

Sijui kwanini watu wanashoboka sana
 
Hiyo familia kama ipo kimya maana yake hawana tatizo lolote, lingekuwepo tatizo wangepiga kelele kama familia ya Polepole.

Naona ni sisi huku nje ndio tumegeuka wasemaji tusiokijua tunachokisema.

Inawezekana kila siku wanakaa na baba yao mezani wanakula ugali wao vizuri tu.
 
Back
Top Bottom