Ukimya wa familia ya Nchimbi unashangaza

Hapa ndiyo umesema sasa siyo kwamba mna uchungu nae sana hapana ila mmepata agenda
Lazima uelewe kwamba kutekwa au kupotezwa kwa yeyote katika nchi ni jambo baya linalopaswa kupingwa bila kujali aliyepotezwa au aliyetekwa ni nani. Sikubaliani na siasa za Polepole lakini sikubaliani na kupotezwa kwake. Ukishakubali au kuona ni sawa baadhi ya watu kutekwa, kupotezwa au kunyamazishwa hiyo inakuwa slippery slope ya kuelekea kuzimu.
 
Wewe una uhakika ametekwa mkuu?

NB : Kila mtu atavuna alichopanda huruma sio malezi
 
Sijui kama ametekwa, amenyamazishwa au yuko detention, hakuna anayeelewa yuko wapi.

Mimi kupinga utekaji, kupotezwa au watu kunyamazishwa sio huruma bali ni principle tu. Sikubaliani na yoyote kutekwa, kupotezwa au kunyamazishwa. Watu kama wana makosa wapelekwe mahakamani wahukumiwe.
 
Kwani nani kasema anaunga mkono utekaji mkuu?

Basi kama hujui kama ametekwa au amenyamanzishwa subirini muda utasema
 
Nawaza huenda walikuwa wameweka mizizi mirefu sana ya upigaji, Kuharibu kwa Nchimbi ni pigo kwa familia yake na watu wake kwa ujumla, si mke wala watoto.

Katika hali ya kawaida ni ngumu kupambaniwa kama watu wako wa karibu wapo kimya,
Wanakuwa vulnerable sana kuzuiwa kwasababu wana vingi vya kupoteza kukupazia sauti.
ok.🐒
 
Kinachocho fanyika nikutisha kila mtu mwenye kujitambua katika chama chao , ila mbona naona yana mwishoo soon , tena ndandani wao
 
Back
Top Bottom