thegreat1510
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,523
- 4,040
Sasa kama alikuwa anaishi ndani ya nyumba ya serikali chini umya ulinzi wa serikali geti kali familia yake hata mwandishi wa habari haruhusiwi kuingia kwenda kuhoji (ulinzi umeimarishwa )na wao pia huenda hawajamwona baba %ndugu yao na hawajui wanzie kusemea wapi ..Nawaza huenda walikuwa wameweka mizizi mirefu sana ya upigaji, Kuharibu kwa Nchimbi ni pigo kwa familia yake na watu wake kwa ujumla, si mke wala watoto.
Katika hali ya kawaida ni ngumu kupambaniwa kama watu wako wa karibu wapo kimya,
Wanakuwa vulnerable sana kuzuiwa kwasababu wana vingi vya kupoteza kukupazia sauti.
Picha linaanza mdogo wake Emmanuel Nchimbi, John Nchimbi, ni Mbunge wa Nyasa kwa tiketi ya CCM.Nawaza huenda walikuwa wameweka mizizi mirefu sana ya upigaji, Kuharibu kwa Nchimbi ni pigo kwa familia yake na watu wake kwa ujumla, si mke wala watoto.
Katika hali ya kawaida ni ngumu kupambaniwa kama watu wako wa karibu wapo kimya,
Wanakuwa vulnerable sana kuzuiwa kwasababu wana vingi vya kupoteza kukupazia sauti.
Kwahiyo akisema suuuu 🤣Picha linaanza mdogo wake Emmanuel Nchimbi, John Nchimbi, ni Mbunge wa Nyasa kwa tiketi ya CCM.
CCM kimegeuka chama cha ndugu, jamaa na familia kabisa!Picha linaanza mdogo wake Emmanuel Nchimbi, John Nchimbi, ni Mbunge wa Nyasa kwa tiketi ya CCM.
Hata kama ana matatizo yake hakuwa mtu mkatili, the bar is too low kwa sasa.Imekuaje gafla watu wana uchungu na huyu Nchimbi?
Au ni kwa sababu wa Tanzania sifa yao kuu ni upendo 😊
Polepole alisema alikua ni mwanamtandao sio?Hata kama ana matatizo yake hakuwa mtu mkatili, the bar is too low kwa sasa.
Exactly 💯Tatizo mnachukulia poa maisha ya familia za viongozi hasa wale watatu wajuu
Hivi unadhani circle ya nchimbi wana njaa..?, vipi kama wanajua baba yao alipo
Siyo rahisi watoto au ndugu wa "aliyekuwa" vice president wawe hohehae, ni hivi wanajua ukweli na wapo sehemu nzuri kwa ustawi wa familia zao
Wengi wanaopiga kelele kuuliza nchimbi blah blah hawajui lolote na hilo haliwasumbui familia ya bwana EN.
Sio kila mambo aliyosema Polepole ni ya kweli.Polepole alisema alikua ni mwanamtandao sio?
Halafu mbona watu wa CCM wanachama wenzake hatuoni wakilalama ?
Wanalalama watu wa upinzani?
Hakuna mwandishi wala media yoyote Tanzania yenye ujasiri wa kuhoji lolote, juu ya demokrasia, uhuru wa kujieleza, mauaji, rushwa, kuteka,, Katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi.Sasa kama alikuwa anaishi ndani ya nyumba ya serikali chini umya ulinzi wa serikali geti kali familia yake hata mwandishi wa habari haruhusiwi kuingia kwenda kuhoji (ulinzi umeimarishwa )na wao pia huenda hawajamwona baba %ndugu yao na hawajui wanzie kusemea wapi ..
Yaani familia inaishi kama samaki baharini..kula alitaka kuongea nanajikuta ana maji mdomoni
Basi kama ni hivyo acha wasokotaneSio kila mambo aliyosema Polepole ni ya kweli.
Polepole alikuwa mfuasi wa JPM aliyekunywa maji ya bendera na hakuwa anaelewa mtu yeyote aliyejaribu kumkosoa JPM kama alivyofanya Nchimbi.
Sio kushoboka, adui wa adui yako anaweza kuwa rafiki yako kufikia lengo kuu.Basi kama ni hivyo acha wasokotane
Ni kama mnajipa sana umuhimu hasa kwa huyo Ima heri hata Polepole alikua kama ametubu
Sijui kwanini watu wanashoboka sana
Wote wanaogopa, serikali imewadukua mitandao yao na mazungumzo yao kwa muda mrefu, mpaka watoto.Kwahiyo akisema suuuu 🤣