Yani hata Umakamu wa Rais katoka Emmanuel Nchimbi, mtoto wa John Nchimbi, kaingia Deo Ndejembi, mtoto wa Pancras Ndejembi.CCM kimegeuka chama cha ndugu, jamaa na familia kabisa!
Ni kama zaidi ya nusu wa viongozi wa sasa ni ndugu, jamaa au wenza wa viongozi walio madarakani au waliopita.
Hapa ndiyo umesema sasa siyo kwamba mna uchungu nae sana hapana ila mmepata agendaSio kushoboka, adui wa adui yako anaweza kuwa rafiki yako kufikia lengo kuu.
Mtoto wa dada yake DAS Wilaya ya Magu..... Yaani hakuna nywi Wala......Picha linaanza mdogo wake Emmanuel Nchimbi, John Nchimbi, ni Mbunge wa Nyasa kwa tiketi ya CCM.
Tutamkumbuka Jiwe kwa mema, sio kwa mabaya😂😁Yani hata Umakamu wa Rais katoka Emmanuel Nchimbi, mtoto wa John Nchimbi, kaingia Deo Ndejembi, mtoto wa Pancras Ndejembi.
CCM ina wenyewe.
Hupendezwi na huruma anayoipata Nchimbi?Imekuaje gafla watu wana uchungu na huyu Nchimbi?
Au ni kwa sababu wa Tanzania sifa yao kuu ni upendo 😊
Kama ni hivyo basi kazi kwaoWote wanaogopa, serikali imewadukua mitandao yao na mazungumzo yao kwa muda mrefu, mpaka watoto.
Wala sina shida kabisa ila naona kama ni unafiki tuHupendezwi na huruma anayoipata Nchimbi?
Sina matatizo nae kabisa mkuuUna matatizo naye binafsi?
Lazima uelewe kwamba kutekwa au kupotezwa kwa yeyote katika nchi ni jambo baya linalopaswa kupingwa bila kujali aliyepotezwa au aliyetekwa ni nani. Sikubaliani na siasa za Polepole lakini sikubaliani na kupotezwa kwake. Ukishakubali au kuona ni sawa baadhi ya watu kutekwa, kupotezwa au kunyamazishwa hiyo inakuwa slippery slope ya kuelekea kuzimu.Hapa ndiyo umesema sasa siyo kwamba mna uchungu nae sana hapana ila mmepata agenda
Wewe una uhakika ametekwa mkuu?Lazima uelewe kwamba kutekwa au kupotezwa kwa yeyote katika nchi ni jambo baya linalopaswa kupingwa bila kujali aliyepotezwa au aliyetekwa ni nani. Sikubaliani na siasa za Polepole lakini sikubaliani na kupotezwa kwake. Ukishakubali au kuona ni sawa baadhi ya watu kutekwa, kupotezwa au kunyamazishwa hiyo inakuwa slippery slope ya kuelekea kuzimu.
Unakumbuka kifo cha Chacha Zakayo Wangwe?...Picha linaanza mdogo wake Emmanuel Nchimbi, John Nchimbi, ni Mbunge wa Nyasa kwa tiketi ya CCM.
Sijui kama ametekwa, amenyamazishwa au yuko detention, hakuna anayeelewa yuko wapi.Wewe una uhakika ametekwa mkuu?
NB : Kila mtu atavuna alichopanda huruma sio malezi
Kwani nani kasema anaunga mkono utekaji mkuu?Sijui kama ametekwa, amenyamazishwa au yuko detention, hakuna anayeelewa yuko wapi.
Mimi kupinga utekaji, kupotezwa au watu kunyamazishwa sio huruma bali ni principle tu. Sikubaliani na yoyote kutekwa, kupotezwa au kunyamazishwa. Watu kama wana makosa wapelekwe mahakamani wahukumiwe.
Tunataka kujua kama amekufwa!Basi kama ni hivyo acha wasokotane
Ni kama mnajipa sana umuhimu hasa kwa huyo Ima heri hata Polepole alikua kama ametubu
Sijui kwanini watu wanashoboka sana
Muda utasemaTunataka kujua kama amekufwa!
ni lipi alilosema la uongo. lisemeSio kila mambo aliyosema Polepole ni ya kweli.
Polepole alikuwa mfuasi wa JPM aliyekunywa maji ya bendera na hakuwa anaelewa mtu yeyote aliyejaribu kumkosoa JPM kama alivyofanya Nchimbi.
Mema ni wajibu wake, mabaya ndiyo ya kumulika.Tutamkumbuka Jiwe kwa mema, sio kwa mabaya😂😁
ok.🐒Nawaza huenda walikuwa wameweka mizizi mirefu sana ya upigaji, Kuharibu kwa Nchimbi ni pigo kwa familia yake na watu wake kwa ujumla, si mke wala watoto.
Katika hali ya kawaida ni ngumu kupambaniwa kama watu wako wa karibu wapo kimya,
Wanakuwa vulnerable sana kuzuiwa kwasababu wana vingi vya kupoteza kukupazia sauti.
Kinachocho fanyika nikutisha kila mtu mwenye kujitambua katika chama chao , ila mbona naona yana mwishoo soon , tena ndandani waoNawaza huenda walikuwa wameweka mizizi mirefu sana ya upigaji, Kuharibu kwa Nchimbi ni pigo kwa familia yake na watu wake kwa ujumla, si mke wala watoto.
Katika hali ya kawaida ni ngumu kupambaniwa kama watu wako wa karibu wapo kimya,
Wanakuwa vulnerable sana kuzuiwa kwasababu wana vingi vya kupoteza kukupazia sauti.