Hao ndio wenye Ccm.... wengine wapambe tuCCM kimegeuka chama cha ndugu, jamaa na familia kabisa!
Ni kama zaidi ya nusu wa viongozi wa sasa ni ndugu, jamaa au wenza wa viongozi walio madarakani au waliopita.
Watakua blackmailedNawaza huenda walikuwa wameweka mizizi mirefu sana ya upigaji, Kuharibu kwa Nchimbi ni pigo kwa familia yake na watu wake kwa ujumla, si mke wala watoto.
Katika hali ya kawaida ni ngumu kupambaniwa kama watu wako wa karibu wapo kimya,
Wanakuwa vulnerable sana kuzuiwa kwasababu wana vingi vya kupoteza kukupazia sauti.
kaharibu nini?!Kuharibu kwa Nchimbi ni pigo kwa familia yake na watu wake kwa ujumla, si mke wala watoto.
ulitaka familia yake wafanye nini wakati mwenyewe yupo katulia tuu nyumbani kwake!https://www.jamiiforums.com/threads...ikiliwa-ni-ameamua-kutulia-kunyamaza.2469446/Katika hali ya kawaida ni ngumu kupambaniwa kama watu wako wa karibu wapo kimya,
Imekuaje gafla watu wana uchungu na huyu Nchimbi?
Au ni kwa sababu wa Tanzania sifa yao kuu ni upendo 😊
Umefika nyumbani kwake ukamkosa?Nchimbi ana tatizo gani na Watanzania mpaka washindwe kuulizia yuko wapi?
Tatizo mnachukulia poa maisha ya familia za viongozi hasa wale watatu wajuu
Hivi unadhani circle ya nchimbi wana njaa..?, vipi kama wanajua baba yao alipo
Siyo rahisi watoto au ndugu wa "aliyekuwa" vice president wawe hohehae, ni hivi wanajua ukweli na wapo sehemu nzuri kwa ustawi wa familia zao
Wengi wanaopiga kelele kuuliza nchimbi blah blah hawajui lolote na hilo haliwasumbui familia ya bwana EN.
Kama yeye hasemi na hajulikani alipo na alikiwa VP, wewe wadhani nini kitampata mtu baki akileta mdomo? Yesu alisema ikiwa mtu mbichi umetendewa hivi, itakuwaje kwa mti mkavu?Nawaza huenda walikuwa wameweka mizizi mirefu sana ya upigaji, Kuharibu kwa Nchimbi ni pigo kwa familia yake na watu wake kwa ujumla, si mke wala watoto.
Katika hali ya kawaida ni ngumu kupambaniwa kama watu wako wa karibu wapo kimya,
Wanakuwa vulnerable sana kuzuiwa kwasababu wana vingi vya kupoteza kukupazia sauti.
hizi dalili zinaonesha wazanzibari wana mpango wa kuendelea kuwatawala waTanganyika hata baada ya 2030. Mitanganyika imekuwa mindondocha mnoKinachocho fanyika nikutisha kila mtu mwenye kujitambua katika chama chao , ila mbona naona yana mwishoo soon , tena ndandani wao
Huyu mdogo mtu kakaa kimya,au anataarifa za aliko kaka yake?Picha linaanza mdogo wake Emmanuel Nchimbi, John Nchimbi, ni Mbunge wa Nyasa kwa tiketi ya CCM.
Hajasema lolote. Na yeye kadukuliwa, katishwa.Huyu mdogo mtu kakaa kimya,au anataarifa za aliko kaka yake?
ubinafsi. nae anaogopa kutekwa kufutwa uanachama na kufutwa duniani.Huyu mdogo mtu kakaa kimya,au anataarifa za aliko kaka yake?