Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,051
- 3,620
Kwani mzee baba nini kimepata? Mbona hata hakemei? Ni yuleyule aliyeitisha maandamano ya Samia must go?
Mna mmiss eti?Kwani mzee baba nini kimepata? Mbona hata hakemei? Ni yuleyule aliyeitisha maandamano ya Samia must go?
Mbowe ni ccm niliwaambieni mkabisha ....ccm ilishaga mnunua kitambo sana hata ile kesi ya mbowe ilikuwa ni geresha tu .Kwani mzee baba nini kimepata? Mbona hata hakemei? Ni yuleyule aliyeitisha maandamano ya Samia must go?
Mbowe anakuhusu nini,?Kwani mzee baba nini kimepata? Mbona hata hakemei? Ni yuleyule aliyeitisha maandamano ya Samia must go?
Wewe nae hueleweki kweli uyo si bado mjumbe wa kamati kuu au hulijui hilo?Si tulimwambia hatoshi? Vipi leo tutake mtu aliyenunuliwa akemee aliyemnunua...nadhani tunasahau mapema.
Tulishasema Mbowe alinunuliwa.
Aliyenunulika lakiniWewe nae hueleweki kweli uyo si bado mjumbe wa kamati kuu au hulijui hilo?
Kwenye ukwaju ongeza na urojo!Alikamatwa yeye, mke na binti kama sio watoto wake. Wengine walikuwa wanakula ukwaju majumbani kwao
Naunga hojaMbowe ni mtu Serikali ya CCM miaka yote. Sasa hiki kilichotokea hivi karibuni cha kushindwa kutetea nafasi uenyekiti imemstua sana yeye pamoja na Serikali ya CCM.
kushindwa uchaguzi sio kutimuliwa, it is a democratic process na kura zake hazikutoshaMbowe mlimtimua. Sasa mnamtaka wa nini tena?
Everybody should hold their own nuts.