Ukimya wa Freeman Mbowe kwa haya yanayoendelea unatisha sana

Ukimya wa Freeman Mbowe kwa haya yanayoendelea unatisha sana

Mbowe hana jipya na wala hawezi kusaidia katika mapambano haya, huyo alikuwa tapeli la siasa mtu wa ccm aliyefanikiwa kulaghai wtz. Hafai hata kidogo na akae pembeni KABISA.
 
Kwani mzee baba nini kimepata? Mbona hata hakemei? Ni yuleyule aliyeitisha maandamano ya Samia must go?
Mlisemq akapumzike acheni kusumbua wastaafu, pambaneni si mlisema hamtaki diplomatic ila mapambano
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Si tulimwambia hatoshi? Vipi leo tutake mtu aliyenunuliwa akemee aliyemnunua...nadhani tunasahau mapema.

Tulishasema Mbowe alinunuliwa.
Asante hawa ndugu hawakumbuki jana yao.
 
Mbona nyie hamtokei kisutu kwani yeye ndo haogopi kuvunjwa mguu
 
Kwani mzee baba nini kimepata? Mbona hata hakemei? Ni yuleyule aliyeitisha maandamano ya Samia must go?
sio kiongozi wa chama tena na aliahidi wazi wazi wakati wa kung'atuka kwamba hatajihusisha na siasa ikiwa atashindwa uchaguzi na badala yake at jikita zaidi kwenye biashara zake.

Nadhani hakusahau kitu ndani ya chadema licha ya kutukanwa, kubezwa, kutwezwa na kutukanwa sana kisiasa na heche, na kwahivyo sidhani kama ana haja ya kuingilia masuala ya chama chenye uongozi kamili.

aliwahi kuwekwa korokoroni na hawa walioko ndani hawakutamani aachiliwe huru na mpaka wakapinga hata maridhiano yaliyomtoa mbowe jela wao wakitamani asalie huko 🐒
 
Kwani mzee baba nini kimepata? Mbona hata hakemei? Ni yuleyule aliyeitisha maandamano ya Samia must go?
Mwacheni apumzike na mkewe mbona mnakuwa dhaifu sana? hamuwezi kufanya bila Mbowe? Mpaka mnabore kilasiku Mbowe-mbowe duh!!
 
Muacheni Mbowe apumzike Lissu alimtukana vya kutosha akishirikiana na Mariah sarungi,peter msigwa..
Mbowe sio tena Mwenyekiti ni mjumbe tu wa halmashauri kuu.
Yanayoendelea ndani ya Chadema yanabaraka za viongozi wakuu wa sasa.
Mbowe alisweka ndani miezi 8 kwa kosa la ugaidi.Sasa wanataka afanye nini zaidi?Reform sio ya Taifa,reform hata kwenye vyama vya siasa.
 
Si tulimwambia hatoshi? Vipi leo tutake mtu aliyenunuliwa akemee aliyemnunua...nadhani tunasahau mapema.

Tulishasema Mbowe alinunuliwa.
Kwahiyo alinunuliwa?
 
Mbowe mlimtimua. Sasa mnamtaka wa nini tena?

Everybody should hold their own nuts.
Nani alimtimua? Kwamba kutochaguliwa ndo kutimuliwa? Unataka kutuambia kuwa uanachama wake ulikuwa umeshikiliwa na nafasi ya uongozi? Wanachama wote kipindi hiki wameungana so siyo dhambi kumuulizia mwanachama mwenzao na katika hili anazidi kuwatia mashaka wale wachache waliokuwa na matumaini naye.
 
Mbowe hana jipya na wala hawezi kusaidia katika mapambano haya, huyo alikuwa tapeli la siasa mtu wa ccm aliyefanikiwa kulaghai wtz. Hafai hata kidogo na akae pembeni KABISA.
NAKAZIA.
 
  • Thanks
Reactions: Exy
Mwacheni apumzike na mkewe mbona mnakuwa dhaifu sana? hamuwezi kufanya bila Mbowe? Mpaka mnabore kilasiku Mbowe-mbowe duh!!
Nani kasema hawawezi kufanya bila Mbowe!? Mashaka ya watu ni ukimya wake kama mwanachama wa kawaida, kuna za chini ya kaepti kuwa yeye na genge lake bado wanatumika kukihujumu chama na hilo ndo linafanya wamuulizie.
 
Huu uzi unaona waz waz machungu ya wana ccm. Yan akitajwa Mbowe wao wanarukwa na kihoro kama nini 😂😂😂.
Leo hii ccm ndio watetez namba 1 wa Freeman.

Anyways, hana umuhimu wowote hata hivyo, hii ngoma acha vijana waicheze kwa style yao. Mbowe ya kwake alishamalizana nayo.
 
Back
Top Bottom