Kama bado ni wa maana, mngemchagua aendelee kuwaongoza. Ni bora akanyamaza maana hammpendiKwani mzee baba nini kimepata? Mbona hata hakemei? Ni yuleyule aliyeitisha maandamano ya Samia must go?
Uandishi wako unautambulisha ujinga wako kwa kiasi kikubwa sana!sio kiongozi wa chama tena na aliahidi wazi wazi wakati wa kung'atuka kwamba hatajihusisha na siasa ikiwa atashindwa uchaguzi na badala yake at jikita zaidi kwenye biashara zake.
Nadhani hakusahau kitu ndani ya chadema licha ya kutukanwa, kubezwa, kutwezwa na kutukanwa sana kisiasa na heche, na kwahivyo sidhani kama ana haja ya kuingilia masuala ya chama chenye uongozi kamili.
aliwahi kuwekwa korokoroni na hawa walioko ndani hawakutamani aachiliwe huru na mpaka wakapinga hata maridhiano yaliyomtoa mbowe jela wao wakitamani asalie huko 🐒
Mie sina ushahidi kama alinunuliwaAliyenunulika lakini
Mawazo yasiyo na maana kabisa... Sasa hata akijiunga na Ccm si hakiyake? yanini awazwe kilasaa?Nani kasema hawawezi kufanya bila Mbowe!? Mashaka ya watu ni ukimya wake kama mwanachama wa kawaida, kuna za chini ya kaepti kuwa yeye na genge lake bado wanatumika kukihujumu chama na hilo ndo linafanya wamuulizie.
Gentleman,Uandishi wako unautambulisha ujinga wako kwa kiasi kikubwa sana!
Mbowe ni kuwada tu yule, hakuwahi kuwa mpinzani wa ukweli.....alikuwa mwizi tu. Usione hapa anacheka na wana CCM wastaafu na kuwaambia wamshikishe adabu kijana LissuKwani mzee baba nini kimepata? Mbona hata hakemei? Ni yuleyule aliyeitisha maandamano ya Samia must go?
Kwani mzee baba nini kimepata? Mbona hata hakemei? Ni yuleyule aliyeitisha maandamano ya Samia must go?
Nashangaa kuna watu bado wanamuongelea Mbowe huyo ni zilipendwa kwa sasa. Akae kimya asikae 20yrs imemtosha. Tumeshafungua ukurasa mpya na hatujuti.Muacheni Mbowe apumzike Lissu alimtukana vya kutosha akishirikiana na Mariah sarungi,peter msigwa..
Alienda, mkamzodoa.akienda gerezani kumwona mwenyekiti wa sasa inatosha.....yanamwisho
Kwa hiyo kasusa kisa alishutumiwa kulamba asali? Alafu ndio mlikuwa mnamsifia ni baba wa demokrasia.Si tulimwambia hatoshi? Vipi leo tutake mtu aliyenunuliwa akemee aliyemnunua...nadhani tunasahau mapema.
Tulishasema Mbowe alinunuliwa.