PostGE2025 Ukimya wa Jeshi la Polisi kuhusu mauaji ya MC PILIPILI

PostGE2025 Ukimya wa Jeshi la Polisi kuhusu mauaji ya MC PILIPILI

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Ngengemkenilomolomo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
316
Reaction score
549
Guys
Yule binti wa mbeya aliyeuawa kikatili jeshi la polisi lilichukua wiki tuu watuhumiwa wote wakawa wamekamatwa na tukatangaziwa
Sasa huu ukimya kuhusu kifo cha MC PILIPILI unamaanisha kitu gani?
Jee ni kwel tulivyosikia kwamba mhusika ni mtu mkubwa na ndo maana hatuoni taharifa wala feedback yoyote?
 
Ndiyo maana tunahitajika tukaandamane wengi barabarani bila kujali wewe ni mwana CCM,Chadema na vyama vyote,hii inchi inamilikiwa na kikundu fulani ambacho hawaruhusiwi kuguswa
Nchi ya kifalme wakija kukukamata wanaangalia jina lako la mwisho kwanza
 
Sikiliza hili tamko kwa umakini,

 
Wasanii wenzake wanasemaje kwani

Ova
 
Guys
Yule binti wa mbeya aliyeuawa kikatili jeshi la polisi lilichukua wiki tuu watuhumiwa wote wakawa wamekamatwa na tukatangaziwa
Sasa huu ukimya kuhusu kifo cha MC PILIPILI unamaanisha kitu gani?
Jee ni kwel tulivyosikia kwamba mhusika ni mtu mkubwa na ndo maana hatuoni taharifa wala feedback yoyote?
Waliouawa mbeya, hawakuhusiana na yule binti.
 
Ccm na polisi wanahusika wote ndio tume za uchunguzi, mnategemea nini?
 
Kuna kitu Pilipili alikuwa anakijua ndio kimemtanguliza. Wenye ubavu wa kuua na kupiga simu mje mchukue mtu wenu ni genge la wahuni wa Samia tu hii Nchi. Washukuru Mungu hata wamemzika.🥲🥲
 
Back
Top Bottom