ukiwashtua watatafuta mbuzi wa kafara watamuonesha kwa mbwembwe na yeye kukiri kumuua pilipili, jeshi la hovyo duniani ni hili la tz, very stupid, yamejivika uccm pure kabsaGuys
Yule binti wa mbeya aliyeuawa kikatili jeshi la polisi lilichukua wiki tuu watuhumiwa wote wakawa wamekamatwa na tukatangaziwa
Sasa huu ukimya kuhusu kifo cha MC PILIPILI unamaanisha kitu gani?
Jee ni kwel tulivyosikia kwamba mhusika ni mtu mkubwa na ndo maana hatuoni taharifa wala feedback yoyote?