Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 316
- 549
Nchi ya kifalme wakija kukukamata wanaangalia jina lako la mwisho kwanzaNdiyo maana tunahitajika tukaandamane wengi barabarani bila kujali wewe ni mwana CCM,Chadema na vyama vyote,hii inchi inamilikiwa na kikundu fulani ambacho hawaruhusiwi kuguswa
Mbona ilisemekana wazi ni walinzi wa.......Pilipili kauliwa na hao hao wenyewe bwanaa.
Nonsense. Usimsemee marehemu uwongo mkuu ya kheri kunyamazaAlikula dem wa watu nasikia boss fulan huko mtu mzito walinzi wake sasa ....sijui kweli
guysMbona ilisemekana wazi ni walinzi wa.......
Coca na wewe Hauna walinzi? Yasije yakanikuta bure?Mbona ilisemekana wazi ni walinzi wa.......
Kuna mtu kachafukwa roho Tanzania hii kama Augustino polepole na Lisu?Huyo mc pilipili hana ndugu walio chafukwa roho??
Walikosana nini na huyo mtu mkubwa?Jee ni kwel tulivyosikia kwamba mhusika ni mtu mkubwa na ndo maana hatuoni taharifa wala feedback yoyote?
Waliouawa mbeya, hawakuhusiana na yule binti.Guys
Yule binti wa mbeya aliyeuawa kikatili jeshi la polisi lilichukua wiki tuu watuhumiwa wote wakawa wamekamatwa na tukatangaziwa
Sasa huu ukimya kuhusu kifo cha MC PILIPILI unamaanisha kitu gani?
Jee ni kwel tulivyosikia kwamba mhusika ni mtu mkubwa na ndo maana hatuoni taharifa wala feedback yoyote?