Ukimya wa Lady Jaydee

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hivi Lady Jaydee yupo wapi siku hizi mbona kawa kimya sana? Ni kufulia kama tetesi zinavyosemekana au ndio anajipanga atoke vipi, binafsi nimemiss swagg zake na aina ya nyimbo anazoimba.

Mwenye udaku kumhusu please atujuze.
 

Attachments

  • 1447235037364.jpg
    103.6 KB · Views: 2,446
Kiti chake hakijashika vumbi bado, atarud
 
Pamoja na kipaji kikubwa alichonacho Jide bado issue ya kutengana kwake na Gadner kumemrudisha nyuma sana
Gadner was everything ktk mgt ya business za Jide pale Machozi Band
Mafanikio yao yalikuwa yanategemeana.
.Gadner was so doing alot on promoting and advertising Machozi Band ktk vipindi vyake maarufu kama Jahazi Maskani etc
Its so sad wawili hawa wametengana coz ilikuwa one of the beautiful and luvly couple in town
Ndoa ni ndoa nadhani kila mmoja yupo affected na break up ya marriage yao
Jay Dee hana show tena siku hizi kama zamani unajua ukienda Nyumbani Lounge utamkuta
Kiukweli inasikitisha mno
Wangenisikia wangesamehana waendelee na hustle zao za life kama ilivyokuwa
 

Kweli kabisa, toka waachane maisha yao yamekuwa magumu, si kwa jide wala Garder, warudiane tu for the sake of maisha yao ya baadae
 
Namuaminia sana Jide" kuanzia kuimba melody mashairi ndipo anapowapita hawa watt wa juzi. Atakua anatunga i hp tht even in ths difficult times sh has been thru
 
Nilikuwa namkubali sana huyu dada, ila alinivunja moyo alivyoanza kuongea hovyo baada ya kutengana na mumewe. Hakuwa na staha hata kidogo.
 

mbna nimeenda hapo wiki 2 zimepita pamefungwa
 

Naikumbuka slogan yake ile alivyoachana na mumewe ya say NO TO MORIO, mwanamke yule akalewa sifa za kijinga za wabongo.

Wabongo tulivyo wabaya, wakampamba na maneno kama strong women, jembe, kamando, basi akajiona akielea juu ya anga, sasa aombe Mungu iwe hajafulia kweli kama tetesi zinavyosema manake wabongo wale wale waliompa kiburi na jeuri WATAMFURAHISHA, manake hivyo vichambo watakavyompa atageuka kuwa mjusi badala ya anakonda.
 
Ukigombana na ruge uwez baki salama....anaziba mianya yote ya entertainments industry....

endeleeni kumsifia huyo ruge wenu we unafikiri yeye na genge lake wanachofanya kujidai wao ndo wanashikilia kila kitu kwenye game, wanatumia mali na akili zao kuendelea kusumbua ndugu na watoto wetu ! time will tell huo uhuni ndo lowasssa alitaka kuuuleta ccm eti akaunda genge kukishika chama yako wapi huyo ruge wenu ajue tu watu wako nje ya game lakini wanaumia! hakuna marefu yasiyo na ncha na mara nyingi mwisho huwa ni mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…