kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Yaan Una mfananisha ruby na jide haaah jide yupo na Ana nyimbo yke inaitwa give me love Ina pigwa MTV base uwezi Iona clouds TV watu wapo internationalAtaimba nini wakati game imechange. Akiangalia huku Vanessa, huku Rubby
Wakati yeye anajua tu kuimba nyimbo za aina moja.