Ukimya wa Lady Jaydee

Ukimya wa Lady Jaydee

Ataimba nini wakati game imechange. Akiangalia huku Vanessa, huku Rubby

Wakati yeye anajua tu kuimba nyimbo za aina moja.
Yaan Una mfananisha ruby na jide haaah jide yupo na Ana nyimbo yke inaitwa give me love Ina pigwa MTV base uwezi Iona clouds TV watu wapo international
 
Yaan Una mfananisha ruby na jide haaah jide yupo na Ana nyimbo yke inaitwa give me love Ina pigwa MTV base uwezi Iona clouds TV watu wapo international

Naijua... Fluent yake na rythm ni ileile ya kuanzia machozi, mawazo n.k

No new story.
 
Nilikuwa namkubali sana huyu dada, ila alinivunja moyo alivyoanza kuongea hovyo baada ya kutengana na mumewe. Hakuwa na staha hata kidogo.

Desperation ndugu,hasa kwa mtu unaye mpenda lazima uropoke ili kujipa maconfidance, usisahau kuropoka ni tabia za wanawake.
 
Nilikuwa namkubali sana huyu dada, ila alinivunja moyo alivyoanza kuongea hovyo baada ya kutengana na mumewe. Hakuwa na staha hata kidogo.

Unataka kusema alitukana WAKUNGA wote sasa amebaki anapiga hesabu Leba hakuendeki tena.

Wenzake huwa wanajitahidi kutabasamu hata kama Mkunga amezengua, na kama ni matusi wanaenda kuyaporomoshea nyuma ya Camera.
 
Ataimba nini wakati game imechange. Akiangalia huku Vanessa, huku Rubby

Wakati yeye anajua tu kuimba nyimbo za aina moja.

Hao ulowataja wenyewe wanajua jide ni Nani... Umecoment kishambenga kinoma aysee
 
Pamoja na kipaji kikubwa alichonacho Jide bado issue ya kutengana kwake na Gadner kumemrudisha nyuma sana
Gadner was everything ktk mgt ya business za Jide pale Machozi Band
Mafanikio yao yalikuwa yanategemeana.
.Gadner was so doing alot on promoting and advertising Machozi Band ktk vipindi vyake maarufu kama Jahazi Maskani etc
Its so sad wawili hawa wametengana coz ilikuwa one of the beautiful and luvly couple in town
Ndoa ni ndoa nadhani kila mmoja yupo affected na break up ya marriage yao
Jay Dee hana show tena siku hizi kama zamani unajua ukienda Nyumbani Lounge utamkuta
Kiukweli inasikitisha mno
Wangenisikia wangesamehana waendelee na hustle zao za life kama ilivyokuwa

Hivi E fm ni Ya nan??
 
jide anakufa kimuziki kwasababu pia ameachana na Gadna hata kama alikuwa mario Gadna alikuwa anarun th show anampa connection jide, support etc..while jide ni m2 wa vinyongovinyongo cjawah kuona jesh la m2 mmoja likifanikiwa...Jide jipange ni maisha yako..

Kwan Katoa ngoma mpya afu haipigwi redion au kaamua kukausha kwa ajili Ya mitkas zake
 
Sawa,Nakubali kwamba, Ruge sio Mungu lakini jamaa anajua kumanage wasanii na wanamuziki wa Bongo,So ushauri wangu kwa JD akubali yaishe waombane msamaha yaishe ili aweze kurudi tena kwenye game,kwani hata yeye mwenyeweJD anatambua kwamba bila Ruge yeye asingefika pale alipofika kimuziki na hilo lipo wazi,anayebisha anapenda tu ubishi.

Anajua ku manage au kuwanyonya hebu tuweke sawa kuongoz
 
Mkuu hujui jinsi muziki wa kibongo unavyoendeshwa kwa maslahi ya nani

Kutoa wimbo mpya sio tija, unadhani tangu bifu la clouds lianze hajatoa wimbo?

Jibu ni rahisi tu,Jide aliendelea kufanya music kwa mafanikio hata baada kugombana na clouds media mfano joint kama Yahya mbona ilifanya poa na machozi band ilisonga vizuri tu pia kumbuka show kama ya miaka 16 ya Jide mbona aliwaburuza hapa ishu sio Ruge ila tatizo ni yeye mwenyewe Jide ndio maana nasema atoe ngoma nzuri tuone atabaniwa na nani.
 
Kweli kabisa, toka waachane maisha yao yamekuwa magumu, si kwa jide wala Garder, warudiane tu for the sake of maisha yao ya baadae

wee ukiambiwa urudiane na mpenzi mzee utakubali?
 
Hivi E fm ni Ya nan??

E fm ni ya DJ Majizzo
Ilitokea uzushi zamani ni ya Lady Jay Dee...hana hata share wala umiliki wa hiyo radio..
Kumbuka Gadner aliajiriwa na E fm wakati kashatengana na Jay Dee
Jiongeze hapo
 
E fm ni ya DJ Majizzo
Ilitokea uzushi zamani ni ya Lady Jay Dee...hana hata share wala umiliki wa hiyo radio..
Kumbuka Gadner aliajiriwa na E fm wakati kashatengana na Jay Dee
Jiongeze hapo

Mbna kwa jazba?
 
Kweli kabisa, toka waachane maisha yao yamekuwa magumu, si kwa jide wala Garder, warudiane tu for the sake of maisha yao ya baadae

Gadner mbona kila mda anakula bata uku ma rhapsody na kidem chake chenye mimba kubwa tuu...
 
Gadner mbona kila mda anakula bata uku ma rhapsody na kidem chake chenye mimba kubwa tuu...

Kula bata haimaanishi kuwa yupo poa, jide mwenyewe kutwa yupo ulaya anakula bata ila moyo unavuja damu
 
Ruge alikua nani kwa Jide na wewe?? Ninachokiona Jide kaanguka baada ya kuachana na Gadner, pamoja na kashfa zake nyingi baada ya kuachana lakini Gadner alikua na mchango mkubwa sana kwa huyu dada. Watu wanashindwa kujua kua support sio lazima iwe pesa. Moral support ambayo Gadner alimpa Jide ina mchango mkubwa zaidi ya kupewa pesa. Baada ya Jide kuachana na Gadner, biashara kafunga, bendi imekufa anadai anarudi kivingine, which is not true. Pamoja na mchango mkubwa wa Gadner kwa Jide, bila aibu Jide alimdhalilisha sana Gadner as if hawakuwahi ku share kitanda. Gadner kwa busara zake na ushauri wa watu alikaa kimya na kumuacha mwenye nguvu aongee. Pamoja na kua Gadner pia kiasi ametetereka, I always believe a man is a man atabaki kuwa hivyo. Ila iwe tu fundisho kwa Gadner kua atafute na kuhangaika na kitu chake mwenyewe na sio kuhangaika kwa kutafuta kwa faida ya mtu mwingine. Jide nae ajifunze kua, mwenyewe hawezi pamoja na kuona alikua na pesa lakini wawili ni wawili, no matter what.
Binafsi naona jide kugombana na Ruge amejimaliza mwenyewe
 
Maana Ruge ndio mungu mtoa rizki... pyuuuu...!!! watu mkikosa ya kuandika. Eti Ruge... Who is Ruge in this world...
Ukigombana na ruge uwez baki salama....anaziba mianya yote ya entertainments industry....
 
Ruge ana manage wanamuziki au anawatumia na kuwanyonya. kawageuza mirija bila wao kujijua. Waliofanikiwa kama kina Chibu na Jide ni jitihada zao wenyewe. Aliyemfikisha Jide pale alipokua alikua Gadner, maana hata alipoachana na Gadner alishatoka kwa mnyonyaji Ruge for years and yet she was doing very well. baada ya kuachana na Gadner ndio kaanguka sasa lakini Ruge hana alichofanikisha kwa Jide maana kipaji hutoka kwa mungu na sio kwa huyu mungu mtu wenu Ruge.
Sawa,Nakubali kwamba, Ruge sio Mungu lakini jamaa anajua kumanage wasanii na wanamuziki wa Bongo,So ushauri wangu kwa JD akubali yaishe waombane msamaha yaishe ili aweze kurudi tena kwenye game,kwani hata yeye mwenyeweJD anatambua kwamba bila Ruge yeye asingefika pale alipofika kimuziki na hilo lipo wazi,anayebisha anapenda tu ubishi.
 
Pamoja na kipaji kikubwa alichonacho Jide bado issue ya kutengana kwake na Gadner kumemrudisha nyuma sana
Gadner was everything ktk mgt ya business za Jide pale Machozi Band
Mafanikio yao yalikuwa yanategemeana.
.Gadner was so doing alot on promoting and advertising Machozi Band ktk vipindi vyake maarufu kama Jahazi Maskani etc
Its so sad wawili hawa wametengana coz ilikuwa one of the beautiful and luvly couple in town
Ndoa ni ndoa nadhani kila mmoja yupo affected na break up ya marriage yao
Jay Dee hana show tena siku hizi kama zamani unajua ukienda Nyumbani Lounge utamkuta
Kiukweli inasikitisha mno
Wangenisikia wangesamehana waendelee na hustle zao za life kama ilivyokuwa

Ni ujinga kuendelea kukaa na mtu anaekuumiza na kukudhalilisha siku...
 
Back
Top Bottom