Ukimya wa Lady Jaydee

Ukimya wa Lady Jaydee

endeleeni kumsifia huyo ruge wenu we unafikiri yeye na genge lake wanachofanya kujidai wao ndo wanashikilia kila kitu kwenye game, wanatumia mali na akili zao kuendelea kusumbua ndugu na watoto wetu ! time will tell huo uhuni ndo lowasssa alitaka kuuuleta ccm eti akaunda genge kukishika chama yako wapi huyo ruge wenu ajue tu watu wako nje ya game lakini wanaumia! hakuna marefu yasiyo na ncha na mara nyingi mwisho huwa ni mbaya

Maneno ya mkosaji......?!!
 
Ukigombana na ruge uwez baki salama....anaziba mianya yote ya entertainments industry....

Duh Ruge mnamuonea sana ifike muda tuache mawazo mgando,Jide hana ngoma mpya wala hafanyi show ni kama kapumzika ila tunasema ni Ruge ivi tutamsikiaje bila kufanya kazi au Ruge kamkata ulimi asiimbe wala siamini wote wanao hit ni vile wana uswahiba na Ruge kama vipi mwambie Jide adondoshe mzigo kama kawaida uone kama hajurudi kwenye ramani.
 
Hivi Lady Jaydee yupo wapi siku hizi mbona kawa kimya sana? Ni kufulia kama tetesi zinavyosemekana au ndio anajipanga atoke vipi, binafsi nimemiss swagg zake na aina ya nyimbo anazoimba.

Mwenye udaku kumhusu please atujuze.

Huyu shosti atakuwa kaishiwa,
Atajiju.
 
jide anakufa kimuziki kwasababu pia ameachana na Gadna hata kama alikuwa mario Gadna alikuwa anarun th show anampa connection jide, support etc..while jide ni m2 wa vinyongovinyongo cjawah kuona jesh la m2 mmoja likifanikiwa...Jide jipange ni maisha yako..
 
Nilikuwa namkubali sana huyu dada, ila alinivunja moyo alivyoanza kuongea hovyo baada ya kutengana na mumewe. Hakuwa na staha hata kidogo.

Ha ha ndio ujue kny mapenzi hakuna ukomando,mtu yoyote anaweza kufanya chochote ili kupata relief ya stress za mapenzi....kule kuropoka hata yeye atakuwa amejuta baada ya maumivu kutulia .
 
Duh Ruge mnamuonea sana ifike muda tuache mawazo mgando,Jide hana ngoma mpya wala hafanyi show ni kama kapumzika ila tunasema ni Ruge ivi tutamsikiaje bila kufanya kazi au Ruge kamkata ulimi asiimbe wala siamini wote wanao hit ni vile wana uswahiba na Ruge kama vipi mwambie Jide adondoshe mzigo kama kawaida uone kama hajurudi kwenye ramani.

Ataandika nini akati alishagombana na mwandishi wake..
 
endeleeni kumsifia huyo ruge wenu we unafikiri yeye na genge lake wanachofanya kujidai wao ndo wanashikilia kila kitu kwenye game, wanatumia mali na akili zao kuendelea kusumbua ndugu na watoto wetu ! time will tell huo uhuni ndo lowasssa alitaka kuuuleta ccm eti akaunda genge kukishika chama yako wapi huyo ruge wenu ajue tu watu wako nje ya game lakini wanaumia! hakuna marefu yasiyo na ncha na mara nyingi mwisho huwa ni mbaya
Pole sana Dada Jaydee, Mungu huwa anajibu Hapa hapa duniani ulinitukana sana kwenye mitandao ukiniita mario kisa umepata mzungu, yuko wapi sasa huyo mfaransa? Nilifanya vita kupambana na Ruge nawe unajua, Nakutakia vita yenye ushindi
 
Tuungane kumuombea komando arudi , angegombea viti maalum chedema wasingemtupa
 
Pole sana Dada Jaydee, Mungu huwa anajibu Hapa hapa duniani ulinitukana sana kwenye mitandao ukiniita mario kisa umepata mzungu, yuko wapi sasa huyo mfaransa? Nilifanya vita kupambana na Ruge nawe unajua, Nakutakia vita yenye ushindi

Buha haaa haa,ina Gadna voice..
 
Ruge sio Mungu

Sawa,Nakubali kwamba, Ruge sio Mungu lakini jamaa anajua kumanage wasanii na wanamuziki wa Bongo,So ushauri wangu kwa JD akubali yaishe waombane msamaha yaishe ili aweze kurudi tena kwenye game,kwani hata yeye mwenyeweJD anatambua kwamba bila Ruge yeye asingefika pale alipofika kimuziki na hilo lipo wazi,anayebisha anapenda tu ubishi.
 
Sawa,Nakubali kwamba, Ruge sio Mungu lakini jamaa anajua kumanage wasanii na wanamuziki wa Bongo,So ushauri wangu kwa JD akubali yaishe waombane msamaha yaishe ili aweze kurudi tena kwenye game,kwani hata yeye mwenyeweJD anatambua kwamba bila Ruge yeye asingefika pale alipofika kimuziki na hilo lipo wazi,anayebisha anapenda tu ubishi.

Ruge sio Mungu
 
Duh Ruge mnamuonea sana ifike muda tuache mawazo mgando,Jide hana ngoma mpya wala hafanyi show ni kama kapumzika ila tunasema ni Ruge ivi tutamsikiaje bila kufanya kazi au Ruge kamkata ulimi asiimbe wala siamini wote wanao hit ni vile wana uswahiba na Ruge kama vipi mwambie Jide adondoshe mzigo kama kawaida uone kama hajurudi kwenye ramani.

Mkuu hujui jinsi muziki wa kibongo unavyoendeshwa kwa maslahi ya nani

Kutoa wimbo mpya sio tija, unadhani tangu bifu la clouds lianze hajatoa wimbo?
 
Hivi Lady Jaydee yupo wapi siku hizi mbona kawa kimya sana? Ni kufulia kama tetesi zinavyosemekana au ndio anajipanga atoke vipi, binafsi nimemiss swagg zake na aina ya nyimbo anazoimba.

Mwenye udaku kumhusu please atujuze.
Jide yupo last year alitoka na nyimbo forever love you ft dabo na mwaka huu Ana nyimbo inaitwa give me love ft Uhuru wa south Africa huwezi Iona wala kuisikia Kama unashinda always na clouds FM au clouds TV naionaga MTV base mie
 
Back
Top Bottom